Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
CCM ni old version kwa ajili ya old version people.
Watanzania bado sana kuingia kwenye Dunia mpya.
Nina mashaka kwamba hawa wahitimu wa masomo ya uhandisi na famasia ambao walipaswa wawe wavumbuzi hawatagundua kitu chochote kipya.
Si kwamba hawana akili ila akili zao wamezikabidbi kwa Mitandao ya kijamii.
Leo hii Radio inachambua matokeo ya Simba na Yanga kwa masaa 3 then mchana tena wanachambua kwa masaa 3 na usiku tena wanachambua kwa masaa 3.
Taifa la namna hii ndo mnataka CCM itoke hamuoni kuwa hii ni hatari sana.
Huwezi kuweka kitu kipya kwenye mindset zisizojielewa, ni heri CCM waongoze mdogo mdogo mpaka watu akili zao zibadilike.
Leo hii mtu kama Mange Kimambi akianzisha uzushi kuwa Kikwete kafariki vijana wanaamini kwa 100% , sasa hapo kuna vijana wenye akili timamu ya kufanya reasoning kweli?