CCM bado inahitajika Tanzania, hata kama watu wengi wameichoka

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
CCM ni old version kwa ajili ya old version people.
Watanzania bado sana kuingia kwenye Dunia mpya.
Nina mashaka kwamba hawa wahitimu wa masomo ya uhandisi na famasia ambao walipaswa wawe wavumbuzi hawatagundua kitu chochote kipya.
Si kwamba hawana akili ila akili zao wamezikabidbi kwa Mitandao ya kijamii.
Leo hii Radio inachambua matokeo ya Simba na Yanga kwa masaa 3 then mchana tena wanachambua kwa masaa 3 na usiku tena wanachambua kwa masaa 3.
Taifa la namna hii ndo mnataka CCM itoke hamuoni kuwa hii ni hatari sana.
Huwezi kuweka kitu kipya kwenye mindset zisizojielewa, ni heri CCM waongoze mdogo mdogo mpaka watu akili zao zibadilike.
Leo hii mtu kama Mange Kimambi akianzisha uzushi kuwa Kikwete kafariki vijana wanaamini kwa 100% , sasa hapo kuna vijana wenye akili timamu ya kufanya reasoning kweli?
 
Raisi anashilikiana na chivayo kufanya biashara za silaha na madawa au hujasoma uzi unaotrend samia lazima ajiuzulu kwa hii kashfa ni nzito sana otherwise atakamatwa na kushitakiwa baada ya chivayo kugundua kuwa amegundulika ameamua kufeki ajali ya helicopter ila watamdaka tu
 
That's why nasema CCM iendelee kutawala tu.
Sasa vijana wajinga kama wewe mnaokula kila aina ya matapishi ya mitandaoni mna faida gani kwa Taifa ?
 
 
CCM imelaanika na haikubaliki
 
 

Attachments

  • 6415691-4b4d6201ed6b5b5735c16b5fa650b075.mp4
    19.1 MB
Yes,
na kwakweli itatawala nchi hii kwa miaka mingi sana ijayo aise politically speaking,

Na kabisa hayupo wa kuzuia hilo kutokea 🐒
 
Heche ndo kabisa hawezi kuizuia CCM
huyo ana msongo wa mawazo mkali sana baada ya kufilisika pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti, hana anachoweza zaidi ya kuropoka na kubwekabweka tu, lakini sio kuifanya CCM ishindewe kuitawala Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…