CCM chama changu mawakala wa chama hadi sasa hawajalipwa chochote tangu uandikishaji uanze hii ni hujuma kwa chama kikubwa kama hiki.

CCM chama changu mawakala wa chama hadi sasa hawajalipwa chochote tangu uandikishaji uanze hii ni hujuma kwa chama kikubwa kama hiki.

kichongeochuma

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2024
Posts
1,669
Reaction score
2,864
Mawakala tangu wameanza zoezi la kuandikisha hawaja pata chochote licha ya kushiriki kikamilifu kufanya uhamasishaji, wanajigharamia wenyewe chakula na hakuna posho yeyote wamepewa kwa kazi hii hadi sasa.

Je, hawakuwa na budget au kuna watu wa chama ngazi ya halimashauri wamekula? Hebu tuifute aibu hii!
 
Mawakala tangu wameanza zoezi la kuandikisha hawaja pata chochote licha ya kushiriki kikamilifu kufanya uhamasishaji , wanajigharamia wenyewe chakula na hakuna posho yeyote wamepewa kwa kazi hii hadi sasa , je? Hawakuwa na budget au kuna watu wa chama ngazi ya halimashauri wamekula? hebu tuifute aibu hii!
wakimaliza kazi watavishwa taji 🐒
 
Chama chako wapi wewe acha usanii. We sema umefata pesa.

Wizi mtupu.
Hatujuani mzee yawezekana wewe umeanza uanachama wakati wa usajili wa kidigitali wenzio tuna kadi za gamba na usajili wetu ni chini ya namba 20000
 
Kwani hawawezi kujitolea tu. Nyie ndiyo mnaendekeza matumizi mabaya ya fedha. Serikali iwalipe wandikishaji tena unataka chama kiwalipe hao wanaongalia tu.
 
Chama kina resources nyingi ni vizuri kuwakumbuka hawa wanao jenga chama ngazi ya mashina
Ili wakumbukwe inabidi wajitolee kwanza ili kuwaondoa wenye tamaa ya either kufanya kazi za Chama kutegemea return, lakini pia kupata viongozi wajao wenye uchungu na Chama.
 
Kwani hawawezi kujitolea tu. Nyie ndiyo mnaendekeza matumizi mabaya ya fedha. Serikali iwalipe wandikishaji tena unataka chama kiwalipe hao wanaongalia tu.
Haupo sahihi , wange wagharamia hata chakula tuu, maana hizo siku zote wameacha kutafuta chakula cha familia zao majumbani
 
Back
Top Bottom