CCM chama changu mawakala wa chama hadi sasa hawajalipwa chochote tangu uandikishaji uanze hii ni hujuma kwa chama kikubwa kama hiki.

CCM chama changu mawakala wa chama hadi sasa hawajalipwa chochote tangu uandikishaji uanze hii ni hujuma kwa chama kikubwa kama hiki.

Mawakala tangu wameanza zoezi la kuandikisha hawaja pata chochote licha ya kushiriki kikamilifu kufanya uhamasishaji, wanajigharamia wenyewe chakula na hakuna posho yeyote wamepewa kwa kazi hii hadi sasa.

Je, hawakuwa na budget au kuna watu wa chama ngazi ya halimashauri wamekula? Hebu tuifute aibu hii!
 
Attachments

  • Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
    Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
    420.8 KB · Views: 1
Back
Top Bottom