Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Wewe sio Mwana CCM Wala sio Wakala bali ni mpuuzi fulani unayefikiri unaweza kukidhoofisha chama kikubwa duniani kama CCM kwa za kipumbavu!Mawakala tangu wameanza zoezi la kuandikisha hawaja pata chochote licha ya kushiriki kikamilifu kufanya uhamasishaji, wanajigharamia wenyewe chakula na hakuna posho yeyote wamepewa kwa kazi hii hadi sasa.
Je, hawakuwa na budget au kuna watu wa chama ngazi ya halimashauri wamekula? Hebu tuifute aibu hii!