CCM chama changu mawakala wa chama hadi sasa hawajalipwa chochote tangu uandikishaji uanze hii ni hujuma kwa chama kikubwa kama hiki.

Mawakala tangu wameanza zoezi la kuandikisha hawaja pata chochote licha ya kushiriki kikamilifu kufanya uhamasishaji, wanajigharamia wenyewe chakula na hakuna posho yeyote wamepewa kwa kazi hii hadi sasa.

Je, hawakuwa na budget au kuna watu wa chama ngazi ya halimashauri wamekula? Hebu tuifute aibu hii!
Wewe sio Mwana CCM Wala sio Wakala bali ni mpuuzi fulani unayefikiri unaweza kukidhoofisha chama kikubwa duniani kama CCM kwa za kipumbavu!
 
Huo ndo uzalendo kwa Chama na Serikali, wawe watiifu watapata malipo zaidi ya hayo wanayolilia.....CCM ni serikali
 
Uzalendo ni kushindisha watoto wa watu na njaa kwa siku 10, na ni kwa hawa walio chini tuu ila nyie huko juu uzalendo ni kulipana miposho tuu, mbona hamuutaki kuuishi huo uzalendo mnao imbia wenzenu, hebu msiwe wabinafsi jaman
 
Wewe sio Mwana CCM Wala sio Wakala bali ni mpuuzi fulani unayefikiri unaweza kukidhoofisha chama kikubwa duniani kama CCM kwa za kipumbavu!
Unapanic nini , kwani kuwa CCM ni kukubaliana na kila jambo hata kama lina umiza wengine?mimi sio mwana CCM mpumbavu na wakujipendekeza pendekeza kwa uongo, kwa taarifa yako kiwango cha uanachama wangu ndani ya CCM sidhan kama unaweza kukifikia wewe,na sina hakika kama hata unaijua chupukizi wewe
 
Mawakala tangu wameanza zoezi la kuandikisha hawaja pata chochote licha ya kushiriki kikamilifu kufanya uhamasishaji, wanajigharamia wenyewe chakula na hakuna posho yeyote wamepewa kwa kazi hii hadi sasa.

Je, hawakuwa na budget au kuna watu wa chama ngazi ya halimashauri wamekula? Hebu tuifute aibu hii!
Mitano tena
 
Uzalendo ni kushindisha watoto wa watu na njaa kwa siku 10, na ni kwa hawa walio chini tuu ila nyie huko juu uzalendo ni kulipana miposho tuu, mbona hamuutaki kuuishi huo uzalendo mnao imbia wenzenu, hebu msiwe wabinafsi jaman
Wao wameshiba nyie muwe wazalendo
 
Mawakala tangu wameanza zoezi la kuandikisha hawaja pata chochote licha ya kushiriki kikamilifu kufanya uhamasishaji, wanajigharamia wenyewe chakula na hakuna posho yeyote wamepewa kwa kazi hii hadi sasa.

Je, hawakuwa na budget au kuna watu wa chama ngazi ya halimashauri wamekula? Hebu tuifute aibu hii!
Acha uoga wa maisha na mazoea,unaona nyie ni daraja tofauti na raia wa taifa hili.kama ni umaskini sii tu wa mnao waita wapinzani.
 
Hapo ndipo muisome namba! Chukuwachakomapema wanakula mpaka chakula ya watoto! Walahi hawa jamaa wameshindikana kabisa kabisa 🤣 😂 🤣
 
Uzalendo ni kushindisha watoto wa watu na njaa kwa siku 10, na ni kwa hawa walio chini tuu ila nyie huko juu uzalendo ni kulipana miposho tuu, mbona hamuutaki kuuishi huo uzalendo mnao imbia wenzenu, hebu msiwe wabinafsi jaman
Na sisi tulikua tu kama wao, ni process tu wanapitia kufikia kwenye minyama
 
Hapana hawajalipwa tuwe wakwelili tukisaidie chama isije ikawa fedha zimetolewa na zimeishia kwa watu halafu watoto wa watu wapo kazini wanataabika

..Ccm inapokea ruzuku 3.2 BILLION kila mwezi.

..sasa mabilioni waliyopokea mwezi huu yamefanyia kazi gani?
 
Unapanic nini , kwani kuwa CCM ni kukubaliana na kila jambo hata kama lina umiza wengine?mimi sio mwana CCM mpumbavu na wakujipendekeza pendekeza kwa uongo, kwa taarifa yako kiwango cha uanachama wangu ndani ya CCM sidhan kama unaweza kukifikia wewe,na sina hakika kama hata unaijua chupukizi wewe
Ahahahahaha!!!
 
Back
Top Bottom