Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,834
- 5,310
Unataka tuondoke madarakani?Mjadala nyeti hivi sasa kwenye Taifa letu ni kuwepo kwa tume huru ya uchaguzi.
Pamoja na ukweli huu, ukweli ni kuwa chama changu CCM kimeshindwa kuwaeleza watanzania kwa nini hakitaki tume huru ya uchaguzi?.
CC: Wasirra
Warioba,
Amos Makalla,
J.M.Kikwet
Wapenda haki wote na taifa hili.
Hawawezi eleza kwa sababu watabaki uchi kabisa. Pia wakati umefika na watalazimika kukubali tu mambo yaishe.Mjadala nyeti hivi sasa kwenye Taifa letu ni kuwepo kwa tume huru ya uchaguzi.
Pamoja na ukweli huu, ukweli ni kuwa chama changu CCM kimeshindwa kuwaeleza watanzania kwa nini hakitaki tume huru ya uchaguzi?.
CC: Wasirra
Warioba,
Amos Makalla,
J.M.Kikwet
Wapenda haki wote na taifa hili.
Unalijua jina la Tume ya Uchaguzi Tanzania?Mjadala nyeti hivi sasa kwenye Taifa letu ni kuwepo kwa tume huru ya uchaguzi.
Pamoja na ukweli huu, ukweli ni kuwa chama changu CCM kimeshindwa kuwaeleza watanzania kwa nini hakitaki tume huru ya uchaguzi?.
CC: Wasirra
Warioba,
Amos Makalla,
J.M.Kikwet
Wapenda haki wote na taifa hili.
Shida ni chawa,
Ccm pamoja na reforms kupata tume huru ya uchaguzi inaweza kushinda uchaguzi asubuhi na mapema.
Choicevariable na Lucas Mwashambwa please come hereMjadala nyeti hivi sasa kwenye Taifa letu ni kuwepo kwa tume huru ya uchaguzi.
Pamoja na ukweli huu, ukweli ni kuwa chama changu CCM kimeshindwa kuwaeleza watanzania kwa nini hakitaki tume huru ya uchaguzi?.
CC: Wasirra
Warioba,
Amos Makalla,
J.M.Kikwet
Wapenda haki wote na taifa hili.
Sijui kama wananifunzaIla CCM wajifunze kusoma alama za nyakati ..Watanganyika wa sasa sio wale wa mwaka 1947..Tunataka tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya iliyo bora
Yes huyu jamaa NI pandikizi Tu .CCM gani ameshindwa hata ktamka CPA Amosi Makalla.Wewe sio mwana ccm tuanzie hapo🏃.
Tunataka ila muda ndiyo kikwazo kwani ni mfupi sana, hautatosha.Mjadala nyeti hivi sasa kwenye Taifa letu ni kuwepo kwa tume huru ya uchaguzi.