CCM: Chama changu semeni kwa nini hatutaki tume huru ya uchaguzi

Mjadala nyeti hivi sasa kwenye Taifa letu ni kuwepo kwa tume huru ya uchaguzi.

Pamoja na ukweli huu, ukweli ni kuwa chama changu CCM kimeshindwa kuwaeleza watanzania kwa nini hakitaki tume huru ya uchaguzi?.

CC: Wasirra

Warioba,
Amos Makalla,
J.M.Kikwet
Wapenda haki wote na taifa hili.
Hawajipendi?
 
CCM wanajua wote kwamba free election HAWATOBOI - Na hawajawahi kutoboa.

No Reforms No elecrion ni mkuki mbaya sana kwa CCM.
Kitoboa watatoboa,ila vizee vya bunge vitamuvuzishwa,kijitu kina Miaka hamsini Bungeni na kinakalia kiti cha mwenyekiti unategemea mabadiriko no way
 
Saa nyingine mkikosaga mgawo wa LB7,000 kwa wiki moja tu akili huwa zinawarudia na kutambua kuwa mnapaswa kutafuta zenu kwa jasho lenu badala ya kutegemea zile za kupewa zinazonuka damu za watu...

By the way, hivi wewe ndiye MamaSamia2025 kwa jina jingine au..??
Huyo ni nyumbu wa Ufipa.
 
Mjadala nyeti hivi sasa kwenye Taifa letu ni kuwepo kwa tume huru ya uchaguzi.

Pamoja na ukweli huu, ukweli ni kuwa chama changu CCM kimeshindwa kuwaeleza watanzania kwa nini hakitaki tume huru ya uchaguzi?.

CC: Wasirra

Warioba,
Amos Makalla,
J.M.Kikwete
Wapenda haki wote na taifa hili.
Hoja ya kwanza ni kutunza amani ya nchi kwa kutoweka watu wasio waadilifu pia wasio na uzoefu na hofu ya Mungu ambao wanaweza leta taharuki nchini

Pili tunasubiri CHADEMA wajijenge kwanza walau 2060 kama chama hakitomfia Lissu ndio tutaanza mchakato

Tatu,tunasubiri mmalize mivutano ndani ya CDM na walau mpate walau 25•/• ya uwakilishi bungeni 😆😆😆ndio walau serikali tuishawishi tuanze kuwajadili isije kuwa kupoteza muda na rasilimali tu kama katiba ya 2010 na kusahau maendeleo ya kiuchumi

Nne,mnapaswa kuwa na sera zenye mlengo wa uchumi kwamba kama Kodi mtaongezaje,fursa za kiuchumi kwa wananchi mtazikuzaje Sio kukosoa tu na kutowaeleza wananchi vp watumie fursa nyingi zilizopo chini ya SSH

Tano,kati ya vyama vilivyopo chini kimoja tu ndio kinadai hivo hata akidi haikidhi, na sababu zenu ni finyu ukizingatia chama hakina wasomi wa kutosha ngazi ya taifa wenye uelewa wa kutosha hivo tunatia hofu labda hamjui dira ya nchi chini ya CCM

Sita, Kama demokrasia ni sauti ya wengi na CCM ndio yenye wawakilishi wengi tunashindwa kunajisi dhana hii kwa kutofuata utashi wa wengi

Saba,mnaonekana mna uchu wa madaraka hili ni dhahiri baada ya mgawanyiko kutokea kwenu watu mkajipa madaraka bila kanuni hivo mkikabidhiwa mamlaka makubwa mnaweza haribu nchi mfano angalieni Rwanda,Uganda zilivotulia.

Nane katiba sio kipaumbele cha CCM kwa sasa,chama chenye uzoefu mkubwa wa kutetea na kulinda amani yenye kuchochea ustawi wa jamii inaendelea kuboresha maisha Bora kwa kaya na mtanzania mmoja mmoja,umeme Kila Kijiji na sasa kinaenda kwenye vitongoji

Tisa,mfadhili wa CCM ni wananchi wenyewe wanaotumia fursa vizuri zinazowekwa na SSH, CDM chini ya kauli ya Lissu ni kwamba wanafanya vurugu Ili kuwafurahisha wahisani watoe pesa kwa CDM,je wahisani wananufaikaje( akili ku-mkichwa),kama CCM chama tawala hakiwezi kuruhusu kuja kulaumiwa na wananchi wengi kwa kuruhusu jambo lisilo hitaji kwa sasa, CCM Ina jukumu la kulinda amani ya nchi hii kwa gharama yeyote

Kumi,mkiwa na wabunge zaidi ya 40 mlishindwa kujenga hata makao makuu ya chama mkaishia kuangukia pua kwa wananchi kutowaamini,Leo msiturudishe nyuma tuna Kasi ya 5G,kuona Tanzania ya asali na maziwa ikijengwa

Kumi na moja,mkiwa viongozi wa mfano,mmeshindwa kustaafi kwa hiyari kupisha wengine,badala yake MTU anatoka nafasi ya mkoa anaenda taifa CCM kigaila,lema kwa kupeana bila uwazi

Nafikiri zimetosha
 
Tisa,mfadhili wa CCM ni wananchi wenyewe wanaotumia fursa vizuri zinazowekwa na SSH, CDM chini ya kauli ya Lissu ni kwamba wanafanya vurugu Ili kuwafurahisha wahisani watoe pesa kwa CDM,je wahisani wananufaikaje( akili ku-mkichwa)

Maelezo meengi.....content kidogo
 
Mjadala nyeti hivi sasa kwenye Taifa letu ni kuwepo kwa tume huru ya uchaguzi.

Pamoja na ukweli huu, ukweli ni kuwa chama changu CCM kimeshindwa kuwaeleza watanzania kwa nini hakitaki tume huru ya uchaguzi?.

CC: Wasirra

Warioba,
Amos Makalla,
J.M.Kikwete
Wapenda haki wote na taifa hili.
Hawajawahi kuingia kwenye uchaguzi wa kweli.
 
Hoja ya kwanza ni kutunza amani ya nchi kwa kutoweka watu wasio waadilifu pia wasio na uzoefu na hofu ya Mungu ambao wanaweza leta taharuki nchini

Pili tunasubiri CHADEMA wajijenge kwanza walau 2060 kama chama hakitomfia Lissu ndio tutaanza mchakato

Tatu,tunasubiri mmalize mivutano ndani ya CDM na walau mpate walau 25•/• ya uwakilishi bungeni 😆😆😆ndio walau serikali tuishawishi tuanze kuwajadili isije kuwa kupoteza muda na rasilimali tu kama katiba ya 2010 na kusahau maendeleo ya kiuchumi

Nne,mnapaswa kuwa na sera zenye mlengo wa uchumi kwamba kama Kodi mtaongezaje,fursa za kiuchumi kwa wananchi mtazikuzaje Sio kukosoa tu na kutowaeleza wananchi vp watumie fursa nyingi zilizopo chini ya SSH

Tano,kati ya vyama vilivyopo chini kimoja tu ndio kinadai hivo hata akidi haikidhi, na sababu zenu ni finyu ukizingatia chama hakina wasomi wa kutosha ngazi ya taifa wenye uelewa wa kutosha hivo tunatia hofu labda hamjui dira ya nchi chini ya CCM

Sita, Kama demokrasia ni sauti ya wengi na CCM ndio yenye wawakilishi wengi tunashindwa kunajisi dhana hii kwa kutofuata utashi wa wengi

Saba,mnaonekana mna uchu wa madaraka hili ni dhahiri baada ya mgawanyiko kutokea kwenu watu mkajipa madaraka bila kanuni hivo mkikabidhiwa mamlaka makubwa mnaweza haribu nchi mfano angalieni Rwanda,Uganda zilivotulia.

Nane katiba sio kipaumbele cha CCM kwa sasa,chama chenye uzoefu mkubwa wa kutetea na kulinda amani yenye kuchochea ustawi wa jamii inaendelea kuboresha maisha Bora kwa kaya na mtanzania mmoja mmoja,umeme Kila Kijiji na sasa kinaenda kwenye vitongoji

Tisa,mfadhili wa CCM ni wananchi wenyewe wanaotumia fursa vizuri zinazowekwa na SSH, CDM chini ya kauli ya Lissu ni kwamba wanafanya vurugu Ili kuwafurahisha wahisani watoe pesa kwa CDM,je wahisani wananufaikaje( akili ku-mkichwa)

Kumi,mkiwa na wabunge zaidi ya 40 mlishindwa kujenga hata makao makuu ya chama mkaishia kuangukia pua kwa wananchi kutowaamini,Leo msiturudishe nyuma tuna Kasi ya 5G,kuona Tanzania ya asali na maziwa ikijengwa

Kumi na moja,mkiwa viongozi wa mfano,mmeshindwa kustaafi kwa hiyari kupisha wengine,badala yake MTU anatoka nafasi ya mkoa anaenda taifa CCM kigaila,lema kwa kupeana bila uwazi

Nafikiri zimetosha
Makami kasema waipa kodi.wameoingia kutoka milioni tatu na laki tatu Hadi milioni mbili na laki mbili,hili ndo.katiba mpya tunayoiangali,Mimi ni ccm,katiba yetu ni uchumi imara kwa familia
 
We pampula Tlaatlaah njoo ujibu huku..!!
mtumishi unacheza na Apostle katika kipindi ambacho mama kanisa ulimwenguni kote yupo katika hali ya majonzi matakatifu anasubiria ufufuko wa bwana Yesu Kristo wa Nazareth,

hata hivyo,
nachelea kukutakia siku kuu njema ya Pasaka mtumishi 🐒
 
Hoja ya kwanza ni kutunza amani ya nchi kwa kutoweka watu wasio waadilifu pia wasio na uzoefu na hofu ya Mungu ambao wanaweza leta taharuki nchini

Pili tunasubiri CHADEMA wajijenge kwanza walau 2060 kama chama hakitomfia Lissu ndio tutaanza mchakato

Tatu,tunasubiri mmalize mivutano ndani ya CDM na walau mpate walau 25•/• ya uwakilishi bungeni 😆😆😆ndio walau serikali tuishawishi tuanze kuwajadili isije kuwa kupoteza muda na rasilimali tu kama katiba ya 2010 na kusahau maendeleo ya kiuchumi

Nne,mnapaswa kuwa na sera zenye mlengo wa uchumi kwamba kama Kodi mtaongezaje,fursa za kiuchumi kwa wananchi mtazikuzaje Sio kukosoa tu na kutowaeleza wananchi vp watumie fursa nyingi zilizopo chini ya SSH

Tano,kati ya vyama vilivyopo chini kimoja tu ndio kinadai hivo hata akidi haikidhi, na sababu zenu ni finyu ukizingatia chama hakina wasomi wa kutosha ngazi ya taifa wenye uelewa wa kutosha hivo tunatia hofu labda hamjui dira ya nchi chini ya CCM

Sita, Kama demokrasia ni sauti ya wengi na CCM ndio yenye wawakilishi wengi tunashindwa kunajisi dhana hii kwa kutofuata utashi wa wengi

Saba,mnaonekana mna uchu wa madaraka hili ni dhahiri baada ya mgawanyiko kutokea kwenu watu mkajipa madaraka bila kanuni hivo mkikabidhiwa mamlaka makubwa mnaweza haribu nchi mfano angalieni Rwanda,Uganda zilivotulia.

Nane katiba sio kipaumbele cha CCM kwa sasa,chama chenye uzoefu mkubwa wa kutetea na kulinda amani yenye kuchochea ustawi wa jamii inaendelea kuboresha maisha Bora kwa kaya na mtanzania mmoja mmoja,umeme Kila Kijiji na sasa kinaenda kwenye vitongoji

Tisa,mfadhili wa CCM ni wananchi wenyewe wanaotumia fursa vizuri zinazowekwa na SSH, CDM chini ya kauli ya Lissu ni kwamba wanafanya vurugu Ili kuwafurahisha wahisani watoe pesa kwa CDM,je wahisani wananufaikaje( akili ku-mkichwa),kama CCM chama tawala hakiwezi kuruhusu kuja kulaumiwa na wananchi wengi kwa kuruhusu jambo lisilo hitaji kwa sasa, CCM Ina jukumu la kulinda amani ya nchi hii kwa gharama yeyote

Kumi,mkiwa na wabunge zaidi ya 40 mlishindwa kujenga hata makao makuu ya chama mkaishia kuangukia pua kwa wananchi kutowaamini,Leo msiturudishe nyuma tuna Kasi ya 5G,kuona Tanzania ya asali na maziwa ikijengwa

Kumi na moja,mkiwa viongozi wa mfano,mmeshindwa kustaafi kwa hiyari kupisha wengine,badala yake MTU anatoka nafasi ya mkoa anaenda taifa CCM kigaila,lema kwa kupeana bila uwazi

Nafikiri zimetosha
Na huna like hata moja
 
Back
Top Bottom