wanajua wapo madarakani kwa hisani ya polisi,tume na wakurugenziMjadala nyeti hivi sasa kwenye Taifa letu ni kuwepo kwa tume huru ya uchaguzi.
Pamoja na ukweli huu, ukweli ni kuwa chama changu CCM kimeshindwa kuwaeleza watanzania kwa nini hakitaki tume huru ya uchaguzi?.
CC: Wasirra
Warioba,
Amos Makalla,
J.M.Kikwet
Wapenda haki wote na taifa hili.
kwani mwanaccm hawezi kuwa upande wa haki,acha kujipambanua ulivyo zeroWewe sio mwana ccm tuanzie hapo🏃.
Tutamuweka Lucas Mwashambwa amejitahidi kukifia chama CCM, Chukua CHako MapemaChoicevariable na Lucas Mwashambwa please come here
Hueleweki unataka kujua kitu gani!Mtoa post, naomba unisaidie!
TUNADAI MABADILIKO, LAKINI WENGINE HAWATAKI MABADILIKO!
ni nani atakayekuwa wa mwisho kuthibitisha au kukubali kwamba mabadiliko tunayoyataka ni haya?
Kwani haya ni madai mapya?Tunataka ila muda ndiyo kikwazo kwani ni mfupi sana, hautatosha.
NI SHERIA NGAPI ZLITUNGWA KUHUSU MABADILKO YA KATIBA NA BADO MABADILIKO HAYO HAYO NA MICHAKATO HYO IKAPINGWA NA WABUNGE HAO HAO?Hueleweki unataka kujua kitu gani!
Hujui taratibu zinazofanyika katika kupitisha mabadiliko?
Kama ni mabadiliko ya Katiba, hujui ni hatua zipi zinafanyika hadi katiba mpya inapatikana?
"...kuthibitisha au kukubali kwamba mabadiliko tunayo yataka ni haya?" Hujui kuwa Bunge hutunga sheria; au hata taratibu za kutunga sheria huzijui?
Kabla ya saa 6 mchana upinzani watakuwa wameshamaliza mchezo... Miaka mingine hasa wakati wa Magufuli uliona mziki wa upinzani ulivyoUchaguzi ukiwa huru na haki green team inaenda kibra mapema
Mkuu, 'KERATO MOMBAA', inawezekana bado sielewi vizuri unayolenga katika maandishi yako haya. Lakini katika uelewa wangu wa taratibu za kufanya mambo haya, ni waTanzania wenyewe ndio wenye sauti ya mwisho; kupitia kwenye kura za maoni juu ya kupitisha Katiba Mpya; au kwa waTanzania wenyewe kulazimisha mabadiliko wanayoyataka. Wakisema hawataki uchaguzi ufanyike chini ya taratibu mbovu, hakuna yeyote mwenye madaraka ya kuzuia hilo. Ndiyo maana sasa hivi CCM inayo hofu kubwa juu ya hii kampeni ya kuwaelimisha wananchi kuhusu wajibu wao na HAKI zao za kuwachagua viongozi wanaowataka wao kwa kupiga kura kwa haki na uhuru kamili.ndo maana nauliza haya mabadlko tunayoyatafuta ni nan atahtimisha kuwa sasa mabadlko sahih n haya? kama ya mwanzon tu yalishndkana kwa hao uliowataja
Si mapya ila huletwa dakika za mwisho muda ukiwa umekwisha, hata hivyo tunalifanyia kazi kabla ya uchaguzi.Kwani haya ni madai mapya?
Lile ni jina tu,Unalijua jina la Tume ya Uchaguzi Tanzania?
Tena original.Wewe sio mwana ccm tuanzie hapo🏃.
Ni kweli kabisa—mjadala kuhusu tume huru ya uchaguzi ni wa msingi katika mustakabali wa demokrasia ya Tanzania. Kama kweli tuna nia ya kujenga taifa lenye misingi ya haki, uwazi na usawa, basi ni lazima tukubali kwamba chombo kinachosimamia uchaguzi kinapaswa kuwa huru, huru kweli kweli, bila ushawishi wa chama tawala au taasisi yoyote yenye maslahi binafsi.Mjadala nyeti hivi sasa kwenye Taifa letu ni kuwepo kwa tume huru ya uchaguzi.
Pamoja na ukweli huu, ukweli ni kuwa chama changu CCM kimeshindwa kuwaeleza watanzania kwa nini hakitaki tume huru ya uchaguzi?.
CC: Wasirra
Warioba,
Amos Makalla,
J.M.Kikwet
Wapenda haki wote na taifa hili.
Wasiotaka mabadiliko wana matatizo ya akili, na kikatiba mtu mwenye matatizo ya akili haruhusiwi kupiga kura.Mtoa post, naomba unisaidie!
TUNADAI MABADILIKO, LAKINI WENGINE HAWATAKI MABADILIKO!
ni nani atakayekuwa wa mwisho kuthibitisha au kukubali kwamba mabadiliko tunayoyataka ni haya?
Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka Marekani bado CCM itashinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzimaLucas Mwashambwa analo jibu
Hamlifanyii kazi kwa hiari, bali kwa shuruti. Hakuna njia nyingine.Si mapya ila huletwa dakika za mwisho muda ukiwa umekwisha, hata hivyo tunalifanyia kazi kabla ya uchaguzi.
Saa nyingine mkikosaga mgawo wa LB7,000 kwa wiki moja tu akili huwa zinawarudia na kutambua kuwa mnapaswa kutafuta zenu kwa jasho lenu badala ya kutegemea zile za kupewa zinazonuka damu za watu...Mjadala nyeti hivi sasa kwenye Taifa letu ni kuwepo kwa tume huru ya uchaguzi.
Pamoja na ukweli huu, ukweli ni kuwa chama changu CCM kimeshindwa kuwaeleza watanzania kwa nini hakitaki tume huru ya uchaguzi?.
CC: Wasirra
Warioba,
Amos Makalla,
J.M.Kikwet
Wapenda haki wote na taifa hili.