CCM chaweza kuwa chama bora endapo kitashindana na kushinda kwenye box la kura

Kindus

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
4,257
Reaction score
3,383
Ndiyo chama hiki bado ni bora chaweza kushinda ndani ya sanduku la kura na hili ndicho kilichotokea
 
Ndio ndio ccm hitoke kua kikundi cha watu kirudi kua chama cha siasa
 
CCM haiwezi kushinda uchaguzi kwa wepesi, pasipo msaada wa vyombo vya dola, hususani polisi na pia tume ya uchaguzi inayo ongozwa na wateule wa mwenyekiti wa chama!
 
CCM haiwezi kushinda uchaguzi kwa wepesi, pasipo msaada wa vyombo vya dola, hususani polisi na pia tume ya uchaguzi inayo ongozwa na wateule wa mwenyekiti wa chama!
Hii ndiyo canser iliyokiangamiza lkn bado tiba ipo
 
Na haitawahi kutokea kuwe na uwanja sawa kwenye uchaguzi maana CCM ni sawa na mtu aliyekuwa nyama ya mtu huwa hawachi.

ccm walipo fikia kwa sasa hata kama watakuwa wanafanya uchaguzi wao kwa wao wataibiana tuu
 
CCM haiwezi kushinda uchaguzi kwa wepesi, pasipo msaada wa vyombo vya dola, hususani polisi na pia tume ya uchaguzi inayo ongozwa na wateule wa mwenyekiti wa chama!
Ndiyo maana tunalilia kupatiwa katiba mpya ili huu ujinga ukomeshwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…