CCM: Dharura Kamati Kuu & NEC, Kuna Nini Huko?

CCM: Dharura Kamati Kuu & NEC, Kuna Nini Huko?

- Mnyonge mnyongeni, katika hizo dharura 18, Lowassa, Msabaha, Karamagi, wameachia ngazi, Yona, Mramba, Mgonja, wameulamba rumande, EPA kiduchu wamefika kwenye sheria, Balali amefukuzwa kazi kwa hiyo mkuu si kweli kwamba hakuna dharura iliyoamuliwa, zipo ila tu bado inaelekea hazijakizdhi mahitaji yako, huu ni uwanja wa Great Thinkers tujifunze kukubali ukweli inapobidi sio uwanja wa kulia lia tu mpaka saa ya kulala na kusubiri kesho kulia lia tuuu!
Mkuu FMES inawezekana unachosema ni kweli. Lakini kuna maswali mengi ya kujiuliza. Nakumbuka kuna siku mkuu alimtetea wazi kabisa EL wakati sakata ya Richmond inaanza, wasn't he aware of what was going on? Sure he was, why did he defend him? This makes some of us skeptical and cynical, ni vigumu sana kukiamini chama sasa hivi. Kuna kila dalili za kuulinda ufisadi na kuwalinda mafisadi.

Pressure ya EL na wenzake kujiuzulu ilitoka kwa wabunge, na kauli aliyotoa mkuu ni "ajali ya kisiasa" hakusema ni ufisadi, and that in my opinion did not need kuitisha kikao cha dharura, ni uamuzi ambao upo ndani ya uwezo wake kwa mujibu wa katiba ya Chama na Katiba ya nchi, ilikuwa ni kueleza tu sababu za kufukia uamuzi na kuuetekeleza.

Pamoja na kuwa tunapenda kuona utawala wa sheria unafuatwa, lakini am not convinced at all kuwa kuwafikisha mahakamani kina Yona na wengine kulitokana na nia na dhamira halisi ya Muungwana. Naona ilitokana na pressure kutoka kwa wengine na political circumstances at the time zilimhitaji aonekane kuwa anachukua hatua, hasa kuwageresha diplomatic community kuwa hatua zinachukuliwa na serikali inafanya kazi yake ili wasije kata misaada, na ukweli kwa sasa unaonesha kuwa tunazugwa. Kwa sababu inaonekana kuwa ilikuwa ni buy time game.

Kuitisha vikao vya dharura zaidi ya 17 katika miaka mitano ni weakness, sio nia ya kudeal na matatizo. Inaonesha kuwa kuna weakness kubwa kwenye mfumo wa maamuzi na utekelezaji, na tulitegemea mkuu arekebishe hilo, na sio kuendelea kuplay na same weakness. Inatakiwa tuwe na utaratibu kuwa ikitokea A ni hatua B inachukuliwa, ikitokea C ni hatua D inachukuliwa, sio inatokea A mnakutana kuanza kujadili nini kifuate, we can not run the country this way. We are supposed to be working not meeting, we can meet once or twice a year. Sasa kuna ulazima wa kuweka utaratibu kuhusu vikao, visiwe holela.
 
Habari zilizopatikana jioni hii ni kuwa, kweli kaitisha vikao hivyo, LAKINI ni vya kuandaa na kushiriki Harambee yake ya kukusanya fedha za kampeini.Mkakati ni kufanya harambee ili kuharalisha fedha zilizoibwa kupitia stimulus package na wizi wa mabenki hivi karibuni. Kwa hiyo ni mkakati wa harambee huo.

Usanii tu wa CCM kama walikuwa ni wa kufanya kweli basi wangefanya wakati wa EPA, Richmond/Dowans na siyo wakati huu. Hivi vikao vya dharura havitakuwa na jipya lolote zaidi ya usanii wa kuelekea October 2010 ili kupanga mikakati ya kuiba kura na kutumia vyombo vya dola ili kuwaminya wapinzani wasifurukute kabisa. Kigumu chama cha maf.....! kigumu! Hakutakuwa na lolote jipya lenye maslahi ya nchi na kama litakuwepo nitashangaa sana.
 
Vikao vya Dharura kila baada ya miezi kadhaa,na hakuna jipya linalojiri kwenye vikao hivyo.Nadhani wakati mwingine tunakuwa over-optimistic kutegemea lolote jipya from the so-called vikao vya dharura.Tatizo ni CCM,the same party tunachoambiwa M/Kiti wake anaitisha kikao cha dharura.

To make matter even worse,the same M/Kiti anayeitisha kikao cha dharura ndio Rais wa taifa letu linalozidi kuangamia kwa ufisadi huku yeye akiwa haonyeshi kuguswa kwa namna yoyote ile.He has got everything at his disposal lakini hawezi kufanya lolote si tu kwa vile ni kiongozi dhaifu bali pia ana deni kubwa la mafisadi waliomwezesha kuingia madarakani.

With all due respect,I completely disagree kuwa kuna chochote kilichofanyika kukidhi matakwa ya Watanzania.Kusema kuwa Yona na Mramba wamelazwa rumande (na kesi inaendelea) hakutoshi kwa vile the same Mramba amepewa ulaji huko Tanroads.Sasa kama sio mzaha ni nini hii?Let's not get fooled,hizi kesi ni mbinu tu ya CCM kuboresha takwimu zake za "mapambano dhidi ya ufisadi".

As to Lowassa,Karamagi na Msabaha kujiuzulu,swali la msingi kabisa ni JE INATOSHA?Na kuongeza chumvi kwenye kidonda,juzijuzi tu Pinda katamka bayana kuwa the same mafisadi waliojiuzulu wanaweza kurejea madarakani huko mbeleni.And yet tunasema kuna mambo ya kupongeza!

Hivi kweli tunaweza kuipongeza serikali kwa kumfukuza kazi Ballali?Umuhimu wetu kama Taifa ni kuona wahalifu wanafukuzwa kazi au wanafikishwa kwenye vyombo vya sheria?Na kama Ballali alifukuzwa,kwanini the same mwajiri (serikali) inasuasua kutuambia hatma ya Kagoda?Au jeuri ya kumfukuza Ballali ilitokana na ukweli kwamba walijua atakufa tu?Kwani basi hata kumchukulia hatua Chenge inakuwa ni suala gumu?

Kama kuna mtu au kundi la kumpongeza JK na CCM yake ni mafisadi,hususan hao waliotengenezewa stimulus package ya trilioni na ushee licha ya wale walionufaika na mabilioni ya Kikwete.

Ufanisi wa JK upimwe zaidi kwa kutekeleza ahadi alizojiwekea mwenyewe (na wala hakuna aliyemlzimisha kutoa ahadi hizo) na si kwa majambazi kujiuzulu kwa hiari yao au kesi za kisanii zinazoonyesha kila dalili ya ushindi kwa washtakiwa (by the way,kuwafikisha mahakamani Yona na Mramba then kusihi Mkapa aachwe apumzike inaeleza kwanini kesi hizo ni viini macho).

What we need ni dharura za kuikwamua nchi yetu na sio huu usanii unaowagharimu taxpayers kuwakusanya wazembe hawa kila baada ya miezi kadhaa only for them to come up with the same bul***t they have been feeding us for the past 5 yrs.
 
CCM wanakutana kujadili kuhusu watakavyomchagua Kikwete kuwa Mgombea Urais. Mimi sioni sababu yoyote kwa Kikwete kuchaguliwa tena kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM. Wakati wa Kampeni iliyopita Kiwete alikwenda Butiama na akapewa nakala ya Injili na Emil Magige,mtoto w Mwalimu Nyerere. Lakini Seriklai yake Kikwete haikutenda kufuatana na maadili ya Injili. Kwa hiyo sioni sababu ya Kikwete kuchaguliwa tena kuwa Mgombea Urais. Emil Magige pia hataafiki kuona mtu anachaguliwa ambaye Serikali yake haifuati kama Injili ilivyoandikwa. Na mimi pia napinga Kikwete kuchaguliwa tena. Nadhani Familia yote ya Nyerere inapinga. Hata kama yeyote katika Familia ataonekana kumuunga mkono Kikwete,lakini ukitazama key words na catch phrases ninazotumia,utaona kwamba hakuna yeyote anayepinga. Kwa hiyo Kikwete akichaguliwa kuwa Mgombea Urais wa CCM,atakuwa hana baraka ya Familia ya Nyerere.
Lakini kwa vie leo ni Jumapili ya Matawi,Palm Sunday,mwanzo wa Holy Week,the week that changed the world,tuzungumzie kuhusu Holy Week.
Jumapili asubuhi Yesu aliongea na wafuasi wake,kuwaambia kwamba watakwenda Jerusalem,kwamba yeye atahubiri,wafuasi wake hawatasema kitu. Walikuwa wapo Bethany,nyumbani kwa Simon,maili mbili kutoka Jerusalem.
Kama saa saba na nusu mchana wakatoka kuelekea Jerusalem. Yesu akawa anafikiria jinsi ya kuingia Jerusalem. Akafikria kuuhusu kupanda punda au farasi,akaamua kwamba kupanda punda itaonyesha unyenyekevu zaidi. Kwa hiyo akawatuma mitume wake wawili,Alphaeus twins kwenda kutafuta punda,meanwhile messengers wake Yesu walikuwa wamekwenda Jerusalem kutangaza kwamba Yesu atafika kwa mbwembwe.
Yesu akampanda punda,Alphaeus twins ndio walikuwa wapambe wake,wakatoa makoti yao wkayalaza chini punda apite,watu wengine wakaiga,Yesu akaingia Jerusalem. Yesu alipofika kilimani,Mt. Olivet,akaitazama Jerusalem na kulia,akasema,''Nyinyi watu mmekaribia kumkataa Mkombozi wenu anayehubiri amani na wokovu. Kwa vile mtaikataa zawadi yenu kutoka kwa Mungu,watu wote watawakataa nyinyi''.
Halafu Yesu akaingia Jerusalem kwa shangwe. Mafarisayo wakamwambia awaambie wafuasi wake waache kushangilia. Yesu akasema,'' Kwa nini wasimshangilie Mwana wa amani? Usiwazuie kushangilia,ama sivyo mawe yaliyopo pembeni mwa barabara yatapiga kelele.''
Yesu akaingia Yerusalem na kuhubiri. Jioni watu wote wakatawanyika. Alphaeus twins wakamrudisha yule punda. Yesu akabaki Hekaluni na wafuasi wake wanawatazama watu wanaweka sadaka katika Hekalu.' Akasema,''Yule bibi ameweka hela nyingi kuliko wote ,kwa sababu yeye ameweka kila kitu alichokuwa nacho,siyo tu ziada aliyokuwa nayo.''
Yesu aliingia Jerusalem kwa vishindo kwa vile amri ilikuwa imekwisha toka tayari kwamba akamatwe. Kwa hiyo kuingia vile Jerusalem,ndio ilikuwa njia pekee salama ya kuingia.
Yesu akarudi Bethany na wafuasi. Kuhusu mambo yaliyotokea Jumatatu,tunaweza kuyajadili Jumatatu,kesho.
Kuhusu Kikwete kama CCM watamchagua,hiyo ni juu yao. Hainihusu mimi. Mimi nimetoa maoni yangu,basi.
 
Duh!

Ingawa mi ni mfuasi wa YESU lakini nadhani kuna haja ya wahubiri au watumishi wa Mungu wanaohubiri kwa kufuata mafundisho ya YESU wakasoma na shule za KIMAGHARIBI. HII ITASAIDIA UWEZO WA KUPAMBANUA MAMBO
 
Mijitu mijinga imejazana mno Tanzania, hata tukisema tuwe na misimamo thabiti tutakuwa wangapi? achilia mbali ujinga, kuna wanaobeba dhiki na viroba, ndiyo maana ukaambiwa masikini hana mkataba, tonge moja la ugali tu linamgeuza, dawa ni kubeba mipini tuwapunguze kwanza, kama ilivyo Rwanda,sasa hivi heshima debe

Kula tano mjeshi,dawa ni kufanya kama Rwanda then heshima itarudi otherwise tunatwanga maji kwenye kinu.Kila siku filimbi tu hamna jipya halafu huu ujinga wa kulinganisha Awamu ya kwanza na hizi zingine ni upumbavu wa hali ya juu sana.
Kwa kifupi awamu ya kwanza ilikuwa na vision na utawala wa sheria lakini hizi zingine zote ni zero,hakuna discipline kabisa kwenye utendaji na hapo ndo ninapomsifu Paul Kagame kwa uongozi wake kama China vile.BWM alijifanya mkali mwanzoni lakini mwishoni akalegea na kuwa FISADI nyangumi.
Hebu waTZ tuwe serious kidogo na hatma ya nji hii.Na hilo litatimia pale tu tutakapoipiga CCM chini.Thats it,Nothing more,nothing less.
 
- Wakuu JF heshima mbele sana, According to the dataz nilizozinasa sasa hivi, ni kwamba Mwenyekiti wa CCM taifa ameitisha vikao vya dharura, yaani Kamati Kuu ya CCM Tarehe 28/3/10 na kingine cha NEC Tarehe 8/4/10 na kwamba ameamuru vikao vyote vifanyike Dar, Karimjee Hall,

- Kinachotisha hapa according to the dataz ni agenda ya hiyo mikutano miwili muhimu ambazo inasemekana anazo yeye mwenyewe kinyume na kawaida ya kutayarishwa na Katibu Mkuu, ambaye inaelezwa aliachwa solemba na Mkulu, alipojaribu kuitisha Secretariat ili ku-set agenda ya hivi vikao!

- Tayari kuna viongozi wameanza kuingiwa na homa kali kuhusiana na hii dharura, ambayo inaaminika kwamba kuna la mgambo nyuma yake kutokana na lugha ya ukali aliyoitumia Mkulu! Hali ya hewa ikitulia nitamwaga some more dataz sasa hivi noma, aahhggrr JF Where we dare mwanangu!

Respect.

Field Marshall Es = Wazee Wa Sauti Ya Umeme!

NI staili ya kujinafasi kama Mwenyekiti hakuna Jipya hapo!
 
Vita hapana mkuu, tutakaa mezani na kuyamaliza haya

mkuu mezani tutakaa mara ngapi??Kila siku mezani!!!Haya banaa sometimes kukaa sana mezani kunasababisha usingizi ...watu watalala doroo.Haya bana.
 
Emil Magige pia hataafiki kuona mtu anachaguliwa ambaye Serikali yake haifuati kama Injili ilivyoandikwa. Na mimi pia napinga Kikwete kuchaguliwa tena. .

Who is magige katika mustakabali wa taifa la tanzania? Is Only familia ya nyerere important katika politics za tanzania? is that what you want to say?

. Kwa hiyo Kikwete akichaguliwa kuwa Mgombea Urais wa CCM,atakuwa hana baraka ya Familia ya Nyerere.

So what? Familia ya nyerere?? What do you really want to say? Unless i donot understand.

Jumapili asubuhi Yesu aliongea na wafuasi wake,kuwaambia kwamba watakwenda Jerusalem,kwamba yeye atahubiri,wafuasi wake hawatasema kitu. Walikuwa wapo Bethany,nyumbani kwa Simon,maili mbili kutoka Jerusalem.
Kama saa saba na nusu mchana wakatoka kuelekea Jerusalem. Yesu akawa anafikiria jinsi ya kuingia Jerusalem. Akafikria kuuhusu kupanda punda au farasi,akaamua kwamba kupanda punda itaonyesha unyenyekevu zaidi. Kwa hiyo akawatuma mitume wake wawili,Alphaeus twins kwenda kutafuta punda,meanwhile messengers wake Yesu walikuwa wamekwenda Jerusalem kutangaza kwamba Yesu atafika kwa mbwembwe.
Yesu akampanda punda,Alphaeus twins ndio walikuwa wapambe wake,wakatoa makoti yao wkayalaza chini punda apite,watu wengine wakaiga,Yesu akaingia Jerusalem. Yesu alipofika kilimani,Mt. Olivet,akaitazama Jerusalem na kulia,akasema,''Nyinyi watu mmekaribia kumkataa Mkombozi wenu anayehubiri amani na wokovu. Kwa vile mtaikataa zawadi yenu kutoka kwa Mungu,watu wote watawakataa nyinyi''.
Halafu Yesu akaingia Jerusalem kwa shangwe. Mafarisayo wakamwambia awaambie wafuasi wake waache kushangilia. Yesu akasema,'' Kwa nini wasimshangilie Mwana wa amani? Usiwazuie kushangilia,ama sivyo mawe yaliyopo pembeni mwa barabara yatapiga kelele.''
Yesu akaingia Yerusalem na kuhubiri. Jioni watu wote wakatawanyika. Alphaeus twins wakamrudisha yule punda. Yesu akabaki Hekaluni na wafuasi wake wanawatazama watu wanaweka sadaka katika Hekalu.' Akasema,''Yule bibi ameweka hela nyingi kuliko wote ,kwa sababu yeye ameweka kila kitu alichokuwa nacho,siyo tu ziada aliyokuwa nayo.''
Yesu aliingia Jerusalem kwa vishindo kwa vile amri ilikuwa imekwisha toka tayari kwamba akamatwe. Kwa hiyo kuingia vile Jerusalem,ndio ilikuwa njia pekee salama ya kuingia.
Yesu akarudi Bethany na wafuasi. Kuhusu mambo yaliyotokea Jumatatu,tunaweza kuyajadili Jumatatu,kesho.

Hii imeangiaje tena kwenye hii topic??
 
- Wakuu heshima mbele sana, kikao kimehamishiwa Ikulu na kimeanza toka Asubuhi sana na sasa kinaendelea, the dataz huko ndani ni kwamba so far hakuna cha maana kilichokwisha zungumzwa, mi-agenda mingi imetajwa lakini nothing serious on masilahi ya taifa, kwa hiyo wale mliotabiri kwamba hakuna lolote huko, so far mko ahead of the game ingawa the game is not over yet!

Tutarudi kuleta dataz zaidi kama kutakua na lolote serious mwishoni mwa kikao kinachoendelea sasa hivi ninapoandika, otherwise tutasubiri NEC. Inakatisha tamaa na kusikitisha sana, lakini it is what it is tunaendelea ku-hold on to the hope kwamba one of this days au kwenye hii NEC, huenda Muungwana atafanya kweli

Mungu Aibariki Tanzania.

Respect.

FMEs!
 
Haya tunasubiri Mkuu lakini bado naamini hakuna jipya tutalosikia kutoka katika kikao hicho. Miezi sita kabla ya uchaguzi mkuu Kikwete hawezi kulikoroga kabisa atataka kila kitu kiwe shwari ili aendelee na awamu yake ya pili maana akiamua kulikoroga wakati huu wanaweza kabisa kumgeuzia kibao na akabaki na majuto mjukuu. Tusubiri lakini Mkuu.
 
Mkuu asante kwa dataz,duh hadi ikulu mafaili yametoboka?

Back to the issue at stake,talking about radical decision you'll have to leave Jk out of this.I've grown weary of it

Nimeshindwa hata kuona sababu za bendera zetu kupepea zikiwa juu na si upside down matching with the position of our priorities as a nation.
 
I still think JK is about to wake up. It might not be today or tomorrow but sometime soon. Admittedly, it is nearly imposible for JK to take action against Mafisadi who make up the most powerful bodies of CCM: CC & NEC. However, at some affordable costs to himself and to his party, as the president and chairman of CCM, JK can act independent of CC and NEC for the good of the country. I think he will.
 
- Wakuu kikao kimekwisha hakuna lolote la maana kwa masilahi ya taifa, isipokua ya chama tu labda tusubiri NEC ya tarehe 8, April 2010.

Respect.

FMEs!
 
Back
Top Bottom