Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,210
Mkuu FMES inawezekana unachosema ni kweli. Lakini kuna maswali mengi ya kujiuliza. Nakumbuka kuna siku mkuu alimtetea wazi kabisa EL wakati sakata ya Richmond inaanza, wasn't he aware of what was going on? Sure he was, why did he defend him? This makes some of us skeptical and cynical, ni vigumu sana kukiamini chama sasa hivi. Kuna kila dalili za kuulinda ufisadi na kuwalinda mafisadi.- Mnyonge mnyongeni, katika hizo dharura 18, Lowassa, Msabaha, Karamagi, wameachia ngazi, Yona, Mramba, Mgonja, wameulamba rumande, EPA kiduchu wamefika kwenye sheria, Balali amefukuzwa kazi kwa hiyo mkuu si kweli kwamba hakuna dharura iliyoamuliwa, zipo ila tu bado inaelekea hazijakizdhi mahitaji yako, huu ni uwanja wa Great Thinkers tujifunze kukubali ukweli inapobidi sio uwanja wa kulia lia tu mpaka saa ya kulala na kusubiri kesho kulia lia tuuu!
Pressure ya EL na wenzake kujiuzulu ilitoka kwa wabunge, na kauli aliyotoa mkuu ni "ajali ya kisiasa" hakusema ni ufisadi, and that in my opinion did not need kuitisha kikao cha dharura, ni uamuzi ambao upo ndani ya uwezo wake kwa mujibu wa katiba ya Chama na Katiba ya nchi, ilikuwa ni kueleza tu sababu za kufukia uamuzi na kuuetekeleza.
Pamoja na kuwa tunapenda kuona utawala wa sheria unafuatwa, lakini am not convinced at all kuwa kuwafikisha mahakamani kina Yona na wengine kulitokana na nia na dhamira halisi ya Muungwana. Naona ilitokana na pressure kutoka kwa wengine na political circumstances at the time zilimhitaji aonekane kuwa anachukua hatua, hasa kuwageresha diplomatic community kuwa hatua zinachukuliwa na serikali inafanya kazi yake ili wasije kata misaada, na ukweli kwa sasa unaonesha kuwa tunazugwa. Kwa sababu inaonekana kuwa ilikuwa ni buy time game.
Kuitisha vikao vya dharura zaidi ya 17 katika miaka mitano ni weakness, sio nia ya kudeal na matatizo. Inaonesha kuwa kuna weakness kubwa kwenye mfumo wa maamuzi na utekelezaji, na tulitegemea mkuu arekebishe hilo, na sio kuendelea kuplay na same weakness. Inatakiwa tuwe na utaratibu kuwa ikitokea A ni hatua B inachukuliwa, ikitokea C ni hatua D inachukuliwa, sio inatokea A mnakutana kuanza kujadili nini kifuate, we can not run the country this way. We are supposed to be working not meeting, we can meet once or twice a year. Sasa kuna ulazima wa kuweka utaratibu kuhusu vikao, visiwe holela.