Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sisi wengine tupo mbali kumbe kuna ripoti ya BOT na ile ya CAG?Samia tunataka ripoti ya BOT isomwe haraka
Kesho huyo unayesema fikra zake zidumu akisema anataka kuleta Katiba mpya, wewe na wapumbavu wenzako mtakuwa wa kwanza kupongeza na kuunga mkono.Naunga mkono hoja,CCM ni chama mama kukitoa madarakani itakuwa ngumu,ikitokea siku hiyo dunia itasimama,hitaji la wananchi sio katiba Bali ni Maisha bora kwa kila mtanzania...
Kwa kuwa ni mnufaika wa hii iliyopo endelea kuipigia promo.Umefanya lini research na kugundua wengi wanataka katiba mpya.
Mimi binafsi sihitaji katiba mpya, iliyopo inatosha
Haya sasa kakojoe ulaleView attachment 1765327
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Godwin Mkanwa
HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, imesema hakuna haja ya kuwa na Katiba Mpya kwa sasa kwa kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 bado inafaa.
Kimesema katiba hiyo imewezesha kufanyika kwa mabadiliko ya uongozi wa juu serikali, Rais Samia Suluhu Hassan, akishika madaraka bila kuwapo na mgogoro wowote baada ya kutokea kwa kifo cha Rais John Magufuli.
Akizungumza jana na waandishi wa habari mara baada ya kufanyika kikao cha halmashauri kuu hiyo, Mwenyekiti wa CCM mkoani humo, Godwin Mkanwa, alisema:
"Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dodoma tunaona Katiba hii ya toleo la 1977 bado inafaa sana na hakuna ulazima wa kuichokonoa, hakuna ulazima wa kutafuta Katiba Mpya wakati hii imetupitisha salama."
Mkanwa alisema katika Katiba Pendekezwa, kuna kifungu kinasema kuwa endapo Rais akifariki dunia akiwa madarakani, lazima zipite siku 90 na baada ya hapo uitishwe uchaguzi wa kujaza nafasi hiyo.
"Halmashauri Kuu inaona kama Katiba Pendekezwa ingekuwa ndiyo Katiba inayotumika sasa, isingetutoa salama,” alisema.
Zikiwa zimebaki siku nne kabla ya kufanyika Mkutano Mkuu wa CCM wa kumpitisha Rais Samia kuwa Mwenyekiti wa chama hicho, halmashauri kuu hiyo ya Dodoma imewaomba wajumbe wa kumpitisha kwa asilimia 100 kutokana na uwezo alionao.
Mkutano huo maalum unatarajiwa kufanyika Aprili 30 mwaka huu jijini Dodoma.
Mkanwa aliwaomba wajumbe kumchagua kwa kishindo ili kumpa nguvu ya kutekeleza majukumu yake.
"Kama ambavyo tumemsikia kwa siku hizi 37 tangu awe Rais wetu, ameonyesha mwelekeo ambao kila mtanzania amekubali, tumchague kwa asilimia 100 ili sasa tumpe nguvu ya kutekeleza majukumu yake ipasavyo," alisema.
Vilevile, alisema halmashauri kuu hiyo imetoa azimio la kumpongeza Rais Samia na kumpa pole ya kuondokewa na aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dk. Magufuli.
Chanzo: Gazeti la Nipashe
Apia wee duuh! wa Tz kufikiri wakati mwingine ni mzigo wala sikujua walakhView attachment 1765327

uko vizuri nimekuelewa huo ndio uhalisiakatiba sio ndo solution ya mambo.inshu ni nchi na wananchi kuwa kitu kimoja.utaifa na uzalendo.Taifa likiwa na spirit ya utaifa kwanza na uzalendo ,watu watawaza kulijenga taifa na kulilinda kwa udi na uvumba,just like China.Naamini hiyo katiba inayoliliwa na wachache sio kwa muktadha wa kulilinda taifa ,Bali kwa muktadha wa namna ya kupenyeza maslahi ya wazungu.
Yupo sawa kwa upande wake, sab haimuathir! Sab hata walio pitisha kikokotoo wao hawalipi kodi kuanzia mshahara mpaka mafao yao!View attachment 1765327
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Godwin Mkanwa
HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, imesema hakuna haja ya kuwa na Katiba Mpya kwa sasa kwa kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 bado inafaa.
Kimesema katiba hiyo imewezesha kufanyika kwa mabadiliko ya uongozi wa juu serikali, Rais Samia Suluhu Hassan, akishika madaraka bila kuwapo na mgogoro wowote baada ya kutokea kwa kifo cha Rais John Magufuli.
Akizungumza jana na waandishi wa habari mara baada ya kufanyika kikao cha halmashauri kuu hiyo, Mwenyekiti wa CCM mkoani humo, Godwin Mkanwa, alisema:
"Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dodoma tunaona Katiba hii ya toleo la 1977 bado inafaa sana na hakuna ulazima wa kuichokonoa, hakuna ulazima wa kutafuta Katiba Mpya wakati hii imetupitisha salama."
Mkanwa alisema katika Katiba Pendekezwa, kuna kifungu kinasema kuwa endapo Rais akifariki dunia akiwa madarakani, lazima zipite siku 90 na baada ya hapo uitishwe uchaguzi wa kujaza nafasi hiyo.
"Halmashauri Kuu inaona kama Katiba Pendekezwa ingekuwa ndiyo Katiba inayotumika sasa, isingetutoa salama,” alisema.
Zikiwa zimebaki siku nne kabla ya kufanyika Mkutano Mkuu wa CCM wa kumpitisha Rais Samia kuwa Mwenyekiti wa chama hicho, halmashauri kuu hiyo ya Dodoma imewaomba wajumbe wa kumpitisha kwa asilimia 100 kutokana na uwezo alionao.
Mkutano huo maalum unatarajiwa kufanyika Aprili 30 mwaka huu jijini Dodoma.
Mkanwa aliwaomba wajumbe kumchagua kwa kishindo ili kumpa nguvu ya kutekeleza majukumu yake.
"Kama ambavyo tumemsikia kwa siku hizi 37 tangu awe Rais wetu, ameonyesha mwelekeo ambao kila mtanzania amekubali, tumchague kwa asilimia 100 ili sasa tumpe nguvu ya kutekeleza majukumu yake ipasavyo," alisema.
Vilevile, alisema halmashauri kuu hiyo imetoa azimio la kumpongeza Rais Samia na kumpa pole ya kuondokewa na aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dk. Magufuli.
Chanzo: Gazeti la Nipashe
Huyo jamaa, akapimwe akili, na msichukulie utani! Sab hata kichaa hsjui kua yeye ni kichaa! Kwan kwa ulimwengu huu amboa hata kuna kitu kinaitwa "climate change", yeye mwenyewe alivyo sasa ni tofaut na alivyo kua miaka kumi ikiyo pita, af anasema katiba haihitaji mabadiliko!!!? Mpekekeni hospitali.View attachment 1765327