CCM Dodoma: Hakuna haja ya Katiba Mpya Tanzania kwa sasa, Katiba ya Mwaka 1977 bado inafaa

CCM Dodoma: Hakuna haja ya Katiba Mpya Tanzania kwa sasa, Katiba ya Mwaka 1977 bado inafaa

katiba sio ndo solution ya mambo.inshu ni nchi na wananchi kuwa kitu kimoja.utaifa na uzalendo.Taifa likiwa na spirit ya utaifa kwanza na uzalendo ,watu watawaza kulijenga taifa na kulilinda kwa udi na uvumba,just like China.Naamini hiyo katiba inayoliliwa na wachache sio kwa muktadha wa kulilinda taifa ,Bali kwa muktadha wa namna ya kupenyeza maslahi ya wazungu.

Kama ndio hivyo wameshindwa🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Waambie pia ni wapumbavu maana Samia akisema anataka katiba ibadilishwe wao watakuwa wa kwanza kumpongeza kwa sababu ni wapumbavu.

Lakini nawaonya tu msigina katiba ashaondoka katiba itakuwa kaa la moto kwenye uchaguzi wa 2025.

Ccm wajue hakuna tena wa kuwabeba hiyo 2025 uchaguzi utakuwa mgumu kupindukia katika historia ya Taifa letu.
 
Rejea naomi ya watanzania kwenye Katina pendekezwa ya Jani Warioba,na sii ile ya kuchakachuliwa na walafi wachache ndani ya chama cha kijani.

Nitamuuliza kaka Paul na madame President manna wao ndio walikua kwenye team
 
katiba sio ndo solution ya mambo.inshu ni nchi na wananchi kuwa kitu kimoja.utaifa na uzalendo.Taifa likiwa na spirit ya utaifa kwanza na uzalendo ,watu watawaza kulijenga taifa na kulilinda kwa udi na uvumba,just like China.Naamini hiyo katiba inayoliliwa na wachache sio kwa muktadha wa kulilinda taifa ,Bali kwa muktadha wa namna ya kupenyeza maslahi ya wazungu.
Na matumbo yao

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kwa taarifa maslahi ya taifa baadae. Wale majamaa wanaangalia ya kwao kwanza. Tena si upinzani Wala ccm

Kama wale majamaa wanaangalia kwao wenyewe unadhani walivyo wengi na ikipigwa kura nani atashindwa!? Maana kura lazima

Kama kweli kama wanaojiita wapinzani wanahitaji mabadiliko kwenye katiba inabidi wakue.... wajue maana ya upinzani ni mchuano mkali na owaache siasa za zimamoto, wajikite kwenye kujenga vyama imara vyenye misingi imara kwa wananchi

Mabadiliko ya kisiasa yanahitaji watu, na kuwapata hao watu kunahitajika kujitoa kwelikweli! Kujitoa kwa muda na pesa....
Sio wakule ruzuku na kusubiria mtu akatwe CCM wamdake ili kuongeza kura, wala sio kusubiri kampeni wapige blahblah halafu wakishindwa wakimbie nchi

Upinzani ni muhimu sana kwa afya ya taifa lakini uwe upinzani kwa vitendo na sio upinzani wa viongozi kujipatia ulaji huku vyama vikizidi kudumaa
 
Naunga mkono hoja,CCM ni chama mama kukitoa madarakani itakuwa ngumu,ikitokea siku hiyo dunia itasimama,hitaji la wananchi sio katiba Bali ni Maisha bora kwa kila mtanzania.

Katiba haiwezi kuleta sukari nyumbani kwa wanaoitaka,wala haiwezi kuinua kiwango cha Maisha yao.

Sijutiii kuwa na kadi ya CCM,hiki ndo chama chenye nia thabiti ya kupigania masrahi ya watanzania.

Zidumu fikira za mwenyekiti!.
 
katiba sio ndo solution ya mambo.inshu ni nchi na wananchi kuwa kitu kimoja.utaifa na uzalendo.Taifa likiwa na spirit ya utaifa kwanza na uzalendo ,watu watawaza kulijenga taifa na kulilinda kwa udi na uvumba,just like China.Naamini hiyo katiba inayoliliwa na wachache sio kwa muktadha wa kulilinda taifa ,Bali kwa muktadha wa namna ya kupenyeza maslahi ya wazungu.
Ficha upumbafu wako wewe.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
katiba sio ndo solution ya mambo.inshu ni nchi na wananchi kuwa kitu kimoja.utaifa na uzalendo.Taifa likiwa na spirit ya utaifa kwanza na uzalendo ,watu watawaza kulijenga taifa na kulilinda kwa udi na uvumba,just like China.Naamini hiyo katiba inayoliliwa na wachache sio kwa muktadha wa kulilinda taifa ,Bali kwa muktadha wa namna ya kupenyeza maslahi ya wazungu.
Same kwa katiba iliyopo. Ipo kwa aili ya maslahi ya CCM.
 
Waambie pia ni wapumbavu maana Samia akisema anataka katiba ibadilishwe wao watakuwa wa kwanza kumpongeza kwa sababu ni wapumbavu.

Lakini nawaonya tu msigina katiba ashaondoka katiba itakuwa kaa la moto kwenye uchaguzi wa 2025.

Ccm wajue hakuna tena wa kuwabeba hiyo 2025 uchaguzi utakuwa mgumu kupindukia katika historia ya Taifa letu.
Ikiwa hivyo ni vizuri keanu tutakuwa tunapata mawazo mbadala ya kulijenga taifa,na kurekebisha makosa ya kutazama maslahi ya wa chache.
 
Hivi kwenye katiba kuna kipengele cha ajira?
 
katiba sio ndo solution ya mambo.inshu ni nchi na wananchi kuwa kitu kimoja.utaifa na uzalendo.Taifa likiwa na spirit ya utaifa kwanza na uzalendo ,watu watawaza kulijenga taifa na kulilinda kwa udi na uvumba,just like China.Naamini hiyo katiba inayoliliwa na wachache sio kwa muktadha wa kulilinda taifa ,Bali kwa muktadha wa namna ya kupenyeza maslahi ya wazungu.
Hujielewi kabisa mkuu, unataka nchi na wananchi wawe kitu kimoja wakati katiba inamlindwa mbadhirifu na kiongozi mbaya? unataka wananchi wawe kitu kimoja wakati katiba inawapa mianya viongozi kufanya wanayoyataka bila sheria kuwabana wanapokosea? madaraka yanawalevya watu na wanafanya watakavyo wakijua katiba itawalinda alafu unataka wananchi wengine wawe nao kitu kimoja? unadhani spirit ya utaifa na uzalendo unaletwa na tumaandishi twako na tumaneno maneno kuwa watu wawe wazalendo? spirit ya utaifa na uzalendo inaletwa na mfumo mzuri wa uendeshaji wa nchi kupitia katiba iliokubaliwa na wananchi ,.katiba inayolinda maslahi ya wananchi na inayoheshimu maoni na juhudi za wananchi katika kuendeleza taifa lao, mfumo huo ndo utafanya wananchi wawe wazalendo kwa kuona kuwa serikali ipo kwa ajiri yao na kwa ajili ya kuendeleza taifa, hivyo watakua wazalendo kwa kussurpot na kulinda sheria zao, kulinda serikali yao na kwa.kufuata sheria wakijua kuwa hata akitokea kiongozi anaetaka kwenda tofauti sheria zitambana na atapay price, but kwa hii katiba ya kipumbavu iliyopo ambayo ina mkanganyiko mkubwa na umwinyi na protocal zisizoeleweka na yenye mianya mingi ya kuharibu nchi na kunufaisha wachache alafu unaandika upuuzi wako hapa eti watu inabidi wawe wazalendo... upuuzi kabisa na ujinga , pumbavu, yani napata hasira sana na panya yoyote anaekataa katiba isibadirishwe, anzeni nyinyi kuwa wazalendo kwanza kwa kutanguliza utaifa mbele na kukubali maoni ya wananchi katiba ibadilishwe ili nchi ikae kistandard sio mambo ya ukoloni katiba ya miaka ya 70 still we use it na tuna expect maendeleo na utendaji bora what the f@#/uck..... nchi ya ajabu sana yani, sjui watu huwa hata wanawaza nini yani.. tupo tupo tu mambo yanajiendea kama hayawani, report ya CAG imetoka na inatoka kila Mwaka na madudu ila tupo tu hakuna hatua zozote za maana zinachukuliwa , hakuna anaejari,.wananchi nao zumbukuku siku mbili washasahau cas hawaoni hasara yoyote kwa nchi ni kama haiwahusu inawahusu walioko kwenye serikali, yani tafrani, ni.kwa sababu wanachi katiba haiwagusi moja kwa moja wala hawahusiki moja kwa moja kwenye kuamua mambo ya nchi yao hivyo wanaona issue za ufisadi wala utawala bora hauwahusu, wapo tu wakila ugali wao na maji na soda na kuvaa mitumba wanaherekea wanasahau shida... yote ni katiba mbovu inauowatenga wananchi kujua na kushiriki mustakabali wa nchi direct na kuwapa wachache madaraka makubwa na wao kuwa kama ndio wenye nchi, and here you are stupid a....ss man telling people wawe kitu kimoja na wazalendo[emoji35][emoji35][emoji35]
 
Back
Top Bottom