Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katu usitegemee ccm yeyeto akupe katiba mpya mapema saa Mbili asubui ccm wanalalaNi maoni yao Kama Wana CCM.
Japo hawana hatimiliki ya katiba.
Siku wananchi wakiamua kuidai hakuna wa kuzuia.
Halmashauri kuu sio Rais wa nchiHoja mojawapo ya Vyama vya Upinzani iliyotakiwa kujadiliwa Ikulu ishajibiwa na Kamati Kuu,
Ngoja tuzidi kuvuta subira kwakuwa siku zote inavuta kheri!!!
Katiba iliyopo inawafaa CCM ila haina maslahi kwa WATANZANIA , alafu kwani CCM ndio wanapaswa kutuambia kwamba katiba inafaa au haifai?
Urahisi wa kuitoa ccm madarakani na kumpunguzia raisi mamlaka.Dah...kumbe hii ndiyo sababu hasa ya kudai katiba mpya? [emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujapata madaraka.Nahisi Mimi sitokuja kuipenda.
Ccm ni system, sio chama cha siasa tu. Kuwatoa labda hao system wahamie chadema watawale kwa mtindo nje ya jina ccm, au kizazi cha sytem yote kife au kutokee vita.Thubutu, ccm uwezo huo hawana bali rais dhalimu ndio alijaribu hilo kwa muda mfupi. Kwa sasa dhalimu hayupo, na ccm sio imara hivyo. Toa mwaka tu utapata mrejesho.
Toba... hata weweKwa sababu mko madarakani!
Tunataka KATIBA MPYA
Uko sahihiWanaotaka katiba mpya waitafute kwa nguvu. Ccm haiwezi badili katiba ili wawasaidie upinzani kuingia madarakani au wawarahisishie kumtikisa raisi. Piganeni.
Huwa nakuelewa sana MkuuHapa tunazungumzia katiba ya nchi siyo ya chama bwashee!
Katu usitegemee ccm yeyeto akupe katiba mpya mapema saa Mbili asubui ccm wanalalaNi maoni yao Kama Wana CCM.
Japo hawana hatimiliki ya katiba.
Siku wananchi wakiamua kuidai hakuna wa kuzuia.
Katu usitegemee ccm yeyeto akupe katiba mpya mapema saa Mbili asubui ccm wanalala.Ni maoni yao Kama Wana CCM.
Japo hawana hatimiliki ya katiba.
Siku wananchi wakiamua kuidai hakuna wa kuzuia.
Ccm ni system, sio chama cha siasa tu. Kuwatoa labda hao system wahamie chadema watawale kwa mtindo nje ya jina ccm, au kizazi cha sytem yote kife au kutokee vita.
Bado yupo kule ila sometimes hua ana akili sana 🤣🤣Mkuu Kwan wewe upo upande wetu toka lini
Huku ndiko kufikiri ambako waTanzania wote wangefikiri hivi, tungekua mbali. CCM na baadhi ya watu ambao kufikiri kwao kunaishia mwisho wa pua, hawaoni madhara ya kuendelea na katiba iliyopo. Walioko madarakani hii katiba inawalinda waendelee kuwepo. Hawa wengine ni ushabiki unaotokana na uwezo mdogo wa kuelewa mambo.Kwa sababu mko madarakani!
Kikubwa amejitambuaMkuu Kwan wewe upo upande wetu toka lini