CCM Dodoma: Hakuna haja ya Katiba Mpya Tanzania kwa sasa, Katiba ya Mwaka 1977 bado inafaa

CCM Dodoma: Hakuna haja ya Katiba Mpya Tanzania kwa sasa, Katiba ya Mwaka 1977 bado inafaa

Huu ndio ushauri sahihi. Ni nadra sana waafrika kufanya mabadiliko yao ya mifumo ya kiutawala kwa amani bila machafuko kwanza. Mara zote machafuko ndio huleta kuheshimiana.
Kama huwezi kupigana na kupanda mpaka juu na kuibadili katiba basi tii katiba iliyopo.
 
Narudia tena, bila machafuko ni nadra mabadiliko kufanywa na waafrika. Njia ya kura inafahamika kuwa haiwezi kuwaondoa madarakani ving'ang'anizi wa madaraka. Chaguzi zote za kishenzi chini ya Magu zimethibitisha kuwa kura ni njia ya kupotezeana muda.
Ahaaa, najua unataka kurudi kujadili ulivyoshindwa ubunge Nov 2020. Huu sio mjadala halisi.
 
Kupigana kuna hatua zake boss, na haziko mbali kihivyo.
Sasa kama watanzania mil 12 waliiweka madarakani Ccm nyie mil mbili ndio mnataka mshike bunduki? Hao mil 46 waliobaki nao mnataka muwaletee matatizo?
 
Sasa kama watanzania mil 12 waliiweka madarakani Ccm nyie mil mbili ndio mnataka mshike bunduki? Hao mil 46 waliobaki nao mnataka muwaletee matatizo?

M12 ccm itoe wapi, wapiga kura wenyewe hawakufika 10m, ndio itakuwa 12m alizotangazwa nazo dhalimu? Ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Chama kinachoweza kufanya hili ni chadema ila Ccm weshawalegeza tena.

Thubutu, ccm uwezo huo hawana bali rais dhalimu ndio alijaribu hilo kwa muda mfupi. Kwa sasa dhalimu hayupo, na ccm sio imara hivyo. Toa mwaka tu utapata mrejesho.
 
Juzi tu walikiwa wanalalamika mwendazake anatawala peke yake na anawaminya mbavu Leo hii wamejisahau...


Lahaula lakwata....
 
Mkuu Kwan wewe upo upande wetu toka lini
giphy.gif
 
CCM wakikataa kutoka kwa mujibu wa katiba tutawakabidhi kwa Mungu ashugulike na wale vinara wanaotaka kujifanya wao ndo miungu wa Watanzania, watuamulie na kutupeleka peleka wanavyotaka
 
Ni maoni yao Kama Wana CCM.
Japo hawana hatimiliki ya katiba.

Siku wananchi wakiamua kuidai hakuna wa kuzuia.
 
Back
Top Bottom