CCM Dodoma: Hakuna haja ya Katiba Mpya Tanzania kwa sasa, Katiba ya Mwaka 1977 bado inafaa

CCM Dodoma: Hakuna haja ya Katiba Mpya Tanzania kwa sasa, Katiba ya Mwaka 1977 bado inafaa

JPM, akiwa mbunge alishiriki kwenye kutunga sheria inayowataka viongozi wake Dodoma... BAADAYE, BAADA YA YEYE KUWA RAIS, ALISEMA WAZI KUWA ALIIUNGA MKONO KWA VILE HAKUJUA KAMA SIKU MOJA ATAKUWA RAIS...

Ubinafsi huu..
Hii ndio nini mkuu?
 
Si kwa sababu inawabeba nyakati zote za uchaguzi! Tangu lini mtu akaukata mkono wake mwenyewe unao mlisha? Tunafahamu hiyo Katiba iliandaliwa na akina Msekwa mwska 1977 ili kuifanya ccm kutawala milele kama vikivyo vyama vingine vyw Kijwmaa duniani!

Muda utafika tu wa kuukata huo mkono kwa nguvu! Mtake msitake. Hakuna lenye mwanzo likakosa kuwa na mwisho.
 
Wanaotaka katiba mpya waitafute kwa nguvu. Ccm haiwezi badili katiba ili wawasaidie upinzani kuingia madarakani au wawarahisishie kumtikisa raisi. Piganeni.
Huu ndio ushauri sahihi. Ni nadra sana waafrika kufanya mabadiliko yao ya mifumo ya kiutawala kwa amani bila machafuko kwanza. Mara zote machafuko ndio huleta kuheshimiana.
 
Si kwa sababu inawabeba nyakati zote za uchaguzi! Tangu lini mtu akaukata mkono wake mwenyewe unao mlisha? Muda utafika tu wa kuukata huo mkono kwa nguvu! Mtake msitake.

Ni suala tu la muda.
Mkuu mbona unapindisha mada? Mtu kuukata mkono unaomlisha ni tofauti na katiba inayofaaa
 
Huu ndio ushauri sahihi. Ni nadra sana waafrika kufanya mabadiliko yao ya mifumo ya kiutawala kwa amani bila machafuko kwanza. Mara zote machafuko ndio huleta kuheshimiana.
Huu sio wakati wa kuhamasisha vita, kama Ccm haifai itaondolewa kwa kura na wananchi.
 
Huu sio wakati wa kuhamasisha vita, kama Ccm haifai itaondolewa kwa kura na wananchi.
Narudia tena, bila machafuko ni nadra mabadiliko kufanywa na waafrika. Njia ya kura inafahamika kuwa haiwezi kuwaondoa madarakani ving'ang'anizi wa madaraka. Chaguzi zote za kishenzi chini ya Magu zimethibitisha kuwa kura ni njia ya kupotezeana muda.
 
Correct 100%.Wanaodai katiba mpya wanatumiwa na mabeberu wakidhani kwamba watapata nafasi ya kupenyeza ujinga wao.Hongereni NEC,simameni imara kwa maslahi mapana ya nchi yetu.

Narudia,wanaodai katiba mpya ni makuadi wa mabeberu kwa hiyo hatuna budi kuwapuuza.Kwa swala hili,NEC fumbeni masikio kabisa.
 
Back
Top Bottom