CCM Dodoma: Hakuna haja ya Katiba Mpya Tanzania kwa sasa, Katiba ya Mwaka 1977 bado inafaa

Dawa ni Kura ya Maoni ili Wananchi wenyewe waseme kama wanataka Katiba au la sio CCM Katiba ni ya Wananchi
 
Naunga mkono hoja,CCM ni chama mama kukitoa madarakani itakuwa ngumu,ikitokea siku hiyo dunia itasimama,hitaji la wananchi sio katiba Bali ni Maisha bora kwa kila mtanzania...
Kesho huyo unayesema fikra zake zidumu akisema anataka kuleta Katiba mpya, wewe na wapumbavu wenzako mtakuwa wa kwanza kupongeza na kuunga mkono.

Nyie Mataga misukule wafuata upepo mna akili fupi sana.
 
Haya sasa kakojoe ulale
 
Huyu akipekuliwa uskute Hana viungo vya uzazi vya kiume,unakuta aropokarpoka tuu..
Utadhani katiba ni mali Ya ccm....
 
CCM bana, hivi hawa jamaa huwa wanaogea kwa kutumia data halisi? mapungufu yote haya tuliyonayo mtu anasimama tena kwa ujasiri kabisa anasema katiba kwa sasa NO...

Jamani haya matumbo haya ni hatarii....
 
Apia wee duuh! wa Tz kufikiri wakati mwingine ni mzigo wala sikujua walakh
 
Watuambie

Kwa nini serikali ya CHADEMA kupitia Rais wake Tundu Lissu walitumia mabillioni ya Kodi yetu kuanza mchakato wa katiba mpya huku wakijua kuwa Katiba iliyopo inafaa...,?

CCM ulikuwa wapi kuwakemea CHADEMA?
 
uko vizuri nimekuelewa huo ndio uhalisia
 
Yupo sawa kwa upande wake, sab haimuathir! Sab hata walio pitisha kikokotoo wao hawalipi kodi kuanzia mshahara mpaka mafao yao!
 
Katiba sio takwa la Ccm ni haki/takwa la Watanzania. Watulize kama alivyosema yule jamaa wa Mbeya.
 
Kwenye maoni, wananchi walishasema Kuhusu wanataka Nini kwenye katiba mpya..

Mada Kwa Sasa je, Rasimu ya Warioba itekelezweje
 
Huyo jamaa, akapimwe akili, na msichukulie utani! Sab hata kichaa hsjui kua yeye ni kichaa! Kwan kwa ulimwengu huu amboa hata kuna kitu kinaitwa "climate change", yeye mwenyewe alivyo sasa ni tofaut na alivyo kua miaka kumi ikiyo pita, af anasema katiba haihitaji mabadiliko!!!? Mpekekeni hospitali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…