CCM/DOLA, Sasa mmepata Mpinzani wa kweli , hayumbishwi, hatetereki , hanunuliwi, Haogopi Kufa Wala Kufungwa !!.

CCM/DOLA, Sasa mmepata Mpinzani wa kweli , hayumbishwi, hatetereki , hanunuliwi, Haogopi Kufa Wala Kufungwa !!.

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Kama Kuna mwanaCCM kaisikiliza Hotuba ya LISSU kwa kutumia Akili zake with Open Heart and clear Mind , bila uchawa Wala kutanguliza matumbo na bila kushupaza Shingo.

Mtakubaliana namimi, MWAKA 2025 BILA MABADILIKO YA UCHAGUZI, NCHI HII KITANUKA KITU KIKUBWA AMBACHO HAKIKAWAHI KUTOKEA !!.

Na hapa nihimize , Dola isijitie kiburi Kwakua Ina Silaha, Mataifa yote ,na Vyama vyote vya muda mrefu Afrika , vimeanguka japo vilikua na Silaha

Kibaya zaidi kuliko ubaya wenyewe , JARIBIO LOLOTE LA KUONDOA UHAI WA LISSU , UTALIHARIBU TAIFA HILI.

Kwako CCM / DOLA.
 
MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
 
MENE MENE TEKERI NA PERESI

Belshaza kule kuzimu aliko ana kumbukumbu na maneno haya
Danieli 5 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
²⁵ Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI.
²⁶ Na tafsiri ya maneno haya ni hii; MENE, Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha.
²⁷ TEKELI, umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka.
²⁸ PERESI, ufalme wako umegawanyika, nao wamepewa Wamedi na Waajemi.
 
CCM ni gari lililoferi breki gia ndio hazingii kabisaaa, Lisu ni mteremko wenye kona kali kwa mbele iliyokwepa korongo kubwa.... Embu tuone Davoo anatokaje humo akiwa hai...

Hii imenikumbusha kale ka song ka Msitu na nyika...
"Mbele yangu kuna chui...sijui nifanye nn niweze kuokoka..."
 
Keyboard warriors ...mko vizuri sana ila field zero
 
Mkuu ,Duru za Kiroho zinaonyesha Watanzania wanaenda kubadilishiwa na kua na Mioyo mipya.
kwamba riasi zipigwe, mtu anakufa, maiti iko hapo mtanzania anaikanyaga, anasonga mbele kuzuia uchaguzi....bado sana.

Kenye Gen Z walifanya hivyo
 
Kwamba unaweka matumaini yako kwa individual ? Kama vile mtu au fikra za mtu ndio zitakutoa hapa kukufikisha pale na sio fikra hizi au zile ? Kwahio huyu mtu akifa na wewe Safari yako imekufa (Unless mtu huyo akiwa a Benevolent Dictator atakayeamua yeye nini afanye na hopefully atakachofanya kiwe Chema)

Otherwise bado tuna safari ndefu sana and as people bado tutaendelea kugawanywa na wanasiasa kwa kubadilisha Chupa badala ya Mvinyo...; Sababu demokrasia tunayotaka na kuitafuta ni ya kuchagua watu wa kutuamulia mambo na sio kushirikia katika maamuzi....

Asingekuapo Nyerere , Mugabe , Nkwameh , N.k, hizo Nchi zingekua wapi?.

Bila MTU Sahihi, hamna Mfumo Sahihi.

Bila MTU Sahihi, hamna Demokrasia sahihi.

Uwepo wa LISSU, unàchocheka watu wengi kua nyuma yake na wako tayari kuambatana naye.

Achana na Demokrasia bya kwenye makaratasi uloyasoma DARASAN.
 
kwamba riasi zipigwe, mtu anakufa, maiti iko hapo mtanzania anaikanyaga, anasonga mbele kuzuia uchaguzi....bado sana.

Kenye Gen Z walifanya hivyo
Nchi inahitaji hayo yatokee ili Mabadiliko ya kweli yapatikan.

Kwan Wangapi wamepigwa Risasi ?? Wangapi wamepotea mpaka Sasa? Mzee Kibao sialikufa??.

Kuna faida gan Kufa kinyonge?? Sibora Kufa unampambania kitu??.
 
Huyu aliyekimbilia ubelgiji ndio haogopi kufa?kwanza sasa hivi ndio yuko mbele, kipindi kile Mbowe alikuwa anamziba asionekane
 
Lissu ni chaguo la Mungu!
Mungu mbariki Tundu Lissu na vizazi vyake vyote sabaa
 
Back
Top Bottom