CCM/DOLA, Sasa mmepata Mpinzani wa kweli , hayumbishwi, hatetereki , hanunuliwi, Haogopi Kufa Wala Kufungwa !!.

Kama Kuna mwanaCCM kaisikiliza Hotuba ya LISSU kwa kutumia Akili zake with Open Heart and clear Mind , bila uchawa Wala kutanguliza matumbo na bila kushupaza Shingo.

Mtakubaliana namimi, MWAKA 2025 BILA MABADILIKO YA UCHAGUZI, NCHI HII KITANUKA KITU KIKUBWA AMBACHO HAKIKAWAHI KUTOKEA !!.

Na hapa nihimize , Dola isijitie kiburi Kwakua Ina Silaha, Mataifa yote ,na Vyama vyote vya muda mrefu Afrika , vimeanguka japo vilikua na Silaha

Kibaya zaidi kuliko ubaya wenyewe , JARIBIO LOLOTE LA KUONDOA UHAI WA LISSU , UTALIHARIBU TAIFA HILI.

Kwako CCM / DOLA.
Maua mkuu🙏🏿👉💐💐🌻🌻💐🌻💐💐🌻💐💐🌻💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌸💐💐💐💐💐
 
Niliwaambia 2035 ndiyo zamu yenu sasa hivi mnakimbilia wapi ,, msitupe sisi CCM matumbo joto+kuhara jamani_____
 
Vijana wapo imara kumlinda kijana wao
CCM tullieni mama Samia awaonyeshe jinsi ya kutafuta kura kwa wananchi.
 
Asingekuapo Nyerere , Mugabe , Nkwameh , N.k, hizo Nchi zingekua wapi?.
Asingekuwepo Nyerere Mugabe au Kwame wangekuwepo wengine na zingekwenda vizuri au vibaya kulingana na nani yupo kwenye driving seat kama nchi hio haina taasisi imara na watu wasiojua wanataka nini hence kupelekwa..., Na hata alivyokuwepo Kaisari na Rome kuendelea haimaanishi kwamba haikushuka baadae..., Na hata kama systems zina loopholes siku yoyote anaweza akaja mwingine na kuharibu (Case in Point Trump na USA); Hivyo narudia tena umuhimu wa uelewa wa watu na kufahamu wanataka nini na kuweza kupinga au kukataa kupelekeshwa ndio solution na sio nani yupo wapi...
Bila MTU Sahihi, hamna Mfumo Sahihi.
Mtu sahihi ni mtu muhimu kwenye dictatorship na akiwa benevolent mambo yatakwenda ila mfumo sahihi hata mtu asipokuwa sahihi atapelekwa na mfumo so long as hana meno ni symbolical.., Tena nakwenda step moja zaidi nasema inabidi watu wenye uelewa pia wanachotaka na watu ambao ni involved na wana question na kuhakikisha uwajibikaji palepale na sio kungojea uchaguzi mwingine.., na nchi inahitaji watendaji professional na sio wanasiasa kuingilia mambo technical
Bila MTU Sahihi, hamna Demokrasia sahihi.
Demokrasia inayojali mtu hio ni demokrasia ya wapi hio ni Dictatorship sababu ni maamuzi ya mtu kuchagua usahihi wa mambo ila hilo halina neno kama huyu mtu akiwa mtu safi ila sio sahihi kufanya betting kwamba huyu hatakuwa ndivyo sivyo.., unahitaji watu sahihi ambao ni involved sababu demokrasia ya kuchagua wa kukuchagulia unakuwa haujachagua...
Uwepo wa LISSU, unàchocheka watu wengi kua nyuma yake na wako tayari kuambatana naye.
Hio ni haki yao kama ilivyo haki ya wanayeona sio mtu sahihi, hilo halina shida, ila ndio hivyo kuchagua wa kukuamulia na sio kuamua nini kifanyike ndio hio demokrasia ya sasa as you know it, sio peoples power in real sense
Achana na Demokrasia bya kwenye makaratasi uloyasoma DARASAN.
Demokrasia as in the wording haijawahi nyingi ni just an illusion ili kujiona kwamba you are involved ila mwisho wa siku wengi ni ngazi za watu kupitia kwenda kufanya yao until next elections
 
Asingekuwepo Nyerere Mugabe au Kwame wangekuwepo wengine na zingekwenda vizuri au vibaya kulingana na nani yupo kwenye driving seat kama nchi hio haina taasisi imara na watu wasiojua wanataka nini hence kupelekwa..., Na hata alivyokuwepo Kaisari na Rome kuendelea haimaanishi kwamba haikushuka baadae..., Na hata kama systems zina loopholes siku yoyote anaweza akaja mwingine na kuharibu (Case in Point Trump na USA); Hivyo narudia tena umuhimu wa uelewa wa watu na kufahamu wanataka nini na kuweza kupinga au kukataa kupelekeshwa ndio solution na sio nani yupo wapi...

Mtu sahihi ni mtu muhimu kwenye dictatorship na akiwa benevolent mambo yatakwenda ila mfumo sahihi hata mtu asipokuwa sahihi atapelekwa na mfumo so long as hana meno ni symbolical.., Tena nakwenda step moja zaidi nasema inabidi watu wenye uelewa pia wanachotaka na watu ambao ni involved na wana question na kuhakikisha uwajibikaji palepale na sio kungojea uchaguzi mwingine.., na nchi inahitaji watendaji professional na sio wanasiasa kuingilia mambo technical

Demokrasia inayojali mtu hio ni demokrasia ya wapi hio ni Dictatorship sababu ni maamuzi ya mtu kuchagua usahihi wa mambo ila hilo halina neno kama huyu mtu akiwa mtu safi ila sio sahihi kufanya betting kwamba huyu hatakuwa ndivyo sivyo.., unahitaji watu sahihi ambao ni involved sababu demokrasia ya kuchagua wa kukuchagulia unakuwa haujachagua...

Hio ni haki yao kama ilivyo haki ya wanayeona sio mtu sahihi, hilo halina shida, ila ndio hivyo kuchagua wa kukuamulia na sio kuamua nini kifanyike ndio hio demokrasia ya sasa as you know it, sio peoples power in real sense

Demokrasia as in the wording haijawahi nyingi ni just an illusion ili kujiona kwamba you are involved ila mwisho wa siku wengi ni ngazi za watu kupitia kwenda kufanya yao until next elections
Nini kifanyike ?.
 
Huko Lumumba kunawaka moto, Hii kauli mbiu ya No Reform no Election inawachoma sana
 
Kama Kuna mwanaCCM kaisikiliza Hotuba ya LISSU kwa kutumia Akili zake with Open Heart and clear Mind , bila uchawa Wala kutanguliza matumbo na bila kushupaza Shingo.

Mtakubaliana namimi, MWAKA 2025 BILA MABADILIKO YA UCHAGUZI, NCHI HII KITANUKA KITU KIKUBWA AMBACHO HAKIKAWAHI KUTOKEA !!.

Na hapa nihimize , Dola isijitie kiburi Kwakua Ina Silaha, Mataifa yote ,na Vyama vyote vya muda mrefu Afrika , vimeanguka japo vilikua na Silaha

Kibaya zaidi kuliko ubaya wenyewe , JARIBIO LOLOTE LA KUONDOA UHAI WA LISSU , UTALIHARIBU TAIFA HILI.

Kwako CCM / DOLA.
Nyumbu katika ubora wake wa kutoa vitisho mwenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣
Karibu sana nyumbu uitokise nchi😃😃😃
 
Karibu sana nyumbu uitikise nchi😃😃😃
 
Nini kifanyike ?.
Things normally take their turn naturally, maisha yakiendelea hivi katika mkondo huu ambao wanasiasa karibia wote duniani wamekuwa makasongo wajali matumbo yao huku watu wanazidi kupigika na hakuna ujira wala future prospects basi Historia itajirudia na yaliyofanyika French Revolution yatajirudia yaliyotokea Kenya na Gen Z ilikuwa ni trailer ambayo walamba asali / Watawala ingebidi wajirudia na kujifunza kula na Vipofu

Tukifika huko hio ndio itakuwa reset button na cycle itajirudia tena kurudi for the worse.... Hakuna kitu kipya duniani bali kuna Historia ambayo wewe huijui...

Ingawa ukiniuliza what is Utopian Idea ya nini kifanyike takwambia Demokrasia ya kweli ambayo ni direct ya kila mtu ambaye yupo involved na informed anaweza akaweka hoja yake mezani na kwa teknolojia tuliyonayo na Block Chain n.k that is possible; ingawa kwa urahisi zaidi ni watu kuchukua uamuzi wa kuwajibisha watawala pindi wanapokosea na sio kusubiri uchaguzi mwingine ili kucheza sandakarawe
 
Kama Kuna mwanaCCM kaisikiliza Hotuba ya LISSU kwa kutumia Akili zake with Open Heart and clear Mind , bila uchawa Wala kutanguliza matumbo na bila kushupaza Shingo.

Mtakubaliana namimi, MWAKA 2025 BILA MABADILIKO YA UCHAGUZI, NCHI HII KITANUKA KITU KIKUBWA AMBACHO HAKIKAWAHI KUTOKEA !!.

Na hapa nihimize , Dola isijitie kiburi Kwakua Ina Silaha, Mataifa yote ,na Vyama vyote vya muda mrefu Afrika , vimeanguka japo vilikua na Silaha

Kibaya zaidi kuliko ubaya wenyewe , JARIBIO LOLOTE LA KUONDOA UHAI WA LISSU , UTALIHARIBU TAIFA HILI.

Kwako CCM / DOLA.
Acha woga uchaguzi uko pale pale na hakuna kitu kitakachoharibika.
Kwanza anaanzia wapi
 
kwamba riasi zipigwe, mtu anakufa, maiti iko hapo mtanzania anaikanyaga, anasonga mbele kuzuia uchaguzi....bado sana.

Kenye Gen Z walifanya hivyo
Watapiga kura wafuasi wa ccm tu ndio uone kichekesho hapo mbeleni, huioni tu. Mwaka jana kuna wabunge waliingizwa kinyemela. Sasa safari tusubiri tuone.
 
Waovu wakumbuke jambo hili,

Lissu haiwezi kufa mara mbili.
 
Kama Kuna mwanaCCM kaisikiliza Hotuba ya LISSU kwa kutumia Akili zake with Open Heart and clear Mind , bila uchawa Wala kutanguliza matumbo na bila kushupaza Shingo.

Mtakubaliana namimi, MWAKA 2025 BILA MABADILIKO YA UCHAGUZI, NCHI HII KITANUKA KITU KIKUBWA AMBACHO HAKIKAWAHI KUTOKEA !!.

Na hapa nihimize , Dola isijitie kiburi Kwakua Ina Silaha, Mataifa yote ,na Vyama vyote vya muda mrefu Afrika , vimeanguka japo vilikua na Silaha

Kibaya zaidi kuliko ubaya wenyewe , JARIBIO LOLOTE LA KUONDOA UHAI WA LISSU , UTALIHARIBU TAIFA HILI.

Kwako CCM / DOLA.
Asiongeogopa kufa asingemkimbia Magufuli baada ya uchaguzi wa 2020!! Mna utoto mwingi sana!! Mbona yule malaya wa Nairobi kaogopa hata kuja kuzika kama mna huo ujasiri?
 
Kwamba unaweka matumaini yako kwa individual ? Kama vile mtu au fikra za mtu ndio zitakutoa hapa kukufikisha pale na sio fikra hizi au zile ? Kwahio huyu mtu akifa na wewe Safari yako imekufa (Unless mtu huyo akiwa a Benevolent Dictator atakayeamua yeye nini afanye na hopefully atakachofanya kiwe Chema)

Otherwise bado tuna safari ndefu sana and as people bado tutaendelea kugawanywa na wanasiasa kwa kubadilisha Chupa badala ya Mvinyo...; Sababu demokrasia tunayotaka na kuitafuta ni ya kuchagua watu wa kutuamulia mambo na sio kushirikia katika maamuzi....

Ongezea mtu aliyemkimbia Magufuli 2020 akisindikizwa na mabalozi 😂😂😂😊😊
 
Back
Top Bottom