Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Haogopi kufa kwani ashakufa mara ngapi? Haogopi kufa kwanini alikimbilia Ubeleji na familia yake? Haogopi kufa kwanini baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2020 alikimbilia Ubalozi wa Ubeleji akidai maisha yake yapo hatarini?Kama Kuna mwanaCCM kaisikiliza Hotuba ya LISSU kwa kutumia Akili zake with Open Heart and clear Mind , bila uchawa Wala kutanguliza matumbo na bila kushupaza Shingo.
Mtakubaliana namimi, MWAKA 2025 BILA MABADILIKO YA UCHAGUZI, NCHI HII KITANUKA KITU KIKUBWA AMBACHO HAKIKAWAHI KUTOKEA !!.
Na hapa nihimize , Dola isijitie kiburi Kwakua Ina Silaha, Mataifa yote ,na Vyama vyote vya muda mrefu Afrika , vimeanguka japo vilikua na Silaha
Kibaya zaidi kuliko ubaya wenyewe , JARIBIO LOLOTE LA KUONDOA UHAI WA LISSU , UTALIHARIBU TAIFA HILI.
Kwako CCM / DOLA.
PUMBAVU!!!!!!