CCM Fahamuni kabisa: Kilichofanywa na Asha Rose Migiro ni uhaini na atakilipia

kwamba wewe mkuu unaona ni jambo jema cheo cha makamu kuweza kuenguliwa kwa njia ya kuvuliwa uanachama?



View: https://www.youtube.com/watch?v=Y09AUCPHpVs
 
Duh!.. mbeleni kama vile kunatisha...
 
Kikkwete kipindi cha urais wake alikuwa bado hajajua kuwa watanzania ni watu waoga hivyo na unaweza kufanya lolote na wakae kimya. Alipoingia Magufuli ndiyo akawa amemwekea blue print. Hivyo sasa anaonyesha unyama wake haswa. Halafu ana ajenda ya udini, ni siku nyingi tu. Kuwa tuna mfumo kristo na sasa hivi amepata nafasi ya ''kurekebisha'' mambo. Nasikia anasema mbona Magufuli aliua waislam wengi sana huko Rufiji? Na kingine..... wakati wa Kikwete CCM ilikuwa na strong personel kama kina Mkapa...
 
Anakuwa ofisini kama nani? Wakati kwa kuvuliwa uanachama anakuwa amepoteza na hiyo nafasi aliyokuwa nayo?
Huoni hapo ndiyo mkanganyiko unapotokea?
Hilo unalosema la kuwepo ofisini lingewezekana ikiwa chama kingesubiri kufanya mamuzi ya kumvua uanachama baada ya Sept.4, tena ingependeza bada ya kuapishwa kwa Makamu wa Rais mteule.
 
hawa vijana mashoga Mange Kimambi ameharibu akili zao kwa 100%
 
Yaani najiulizaga hivi hawajiskiagi vibaya au ile kuhisi guilty kwa jambo mnafanya unajua kabisa nafanya/nimefanya kosa.
 
Watafute hao wafuasi wa mudy wakujibu

Kwa upande wangu uliza chochote kuhusu anglicanism/ukristo
Umenisikia mwainne ndala ndefu.
 
Haswaaa
 
PARTY SUPREMACY (DICTATED BY A FEW)
 
1. Rais Samia hajamuondoa nchimbi uVP, Bali nchimbi ndiye alibandika huko instagram na akampa mh rais taarifa.
-hivyo mh. rais alithibitisha maamzi ya nchimbi (soma katiba kinukamto wewe)
That resignation was involuntary, same as Ndugai's.

And how come he's said to be in detention??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…