CCM Fahamuni kabisa: Kilichofanywa na Asha Rose Migiro ni uhaini na atakilipia

Famahamuni haya fika.

Mfumo wetu wa Uraisi ulioanza mwaka 1995 wa mgombea mwenza tumeuiga kutokea nchi ya Marekani, ambapo Raisi na Makamu wake wanateuliwa kwa pamoja, na wanaanza kazi siku moja. Hivyo kinga ambayo anaipata Raisi ndiyo hiyo-hiyo anaipata Makamu wake. Kitaalamu hii tunaiita Functional Immunity (From Civil & Criminal Proceedings).

Emmanuel Nchimbi, unaweza usimpende lakini analindwa na katiba kama ambavyo Raisi Samia alilindwa na Katiba mwaka 2021 wakati akiwa Makamu wa Raisi asiyekuwa anaifahamu hatma yake. Wengi hatukutaka Raisi Samia awe Raisi, lakini Kikwete na Mabeyo ndiyo walimfanya Samia akawa Raisi. Wengi hatukupinga wala kulalamika kwasababu lilifanyika kikatiba.

SASA BASI, nchini Tanzania kuna haya yafuatayo ambayo yako bayana kabisa:

MOSI, Mamlaka ya nidhani (Disciplinary Authority) ya Raisi na Makamu wake ni Bunge La Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Siyo Msajili wa vyama, siyo Jaji Mkuu, siyo Jeshi na wala siyo NEC ya CCM. Makamu wa Raisi hata kama Raisi hampendi anatakiwa apeleke mashitaka kwenye chama, halafu chama wapeleke mashitaka hayo bungeni ambako wataanzisha mchakato wa kumvua nafasi makamu wa Raisi (A motion of Impeachment), ambao utaishia na azimio maalumu ya kuthibitisha kwamba makamu atolewe au asitolewe (A Resolution Confirming Impeachment).

NEC ya CCM kumvua uanachama Makamu wa Raisi Emmanuel Nchimbi, ambaye kwa barua yake amesema ataondoka kwenye nafasi yake ifikapo tarehe 4 Septemba 2026 ni UHAINI. CCM imepoka madaraka ya Bunge na kutikisa taasisi ya Uraisi.

Fahamuni fika, kwamba leo hii akifariki Raisi Samia kabla ya tarehe 4 Septemba 2026, Raisi wetu atakuwa ni Dr. Emmanuel Nchimbi na siyo mtu mwingine. Hivyo ambacho mnakifanya sasa ni uhuni utakaokuja kuwatokea puani siku siyo nyingi, maana mshajenga mfano mbaya (A Bad Precedent)

PILI, Kinga ya Raisi ndiyo kinga ya Makamu Wake. Raisi na Makamu hawawezi kushitakiwa popote pale. Lengo la kumpa Raisi na Makamu wake kinga ni kuhakikisha ofisi ya Raisi inathibitika ili kufanikisha utekelezaji wa majukumu makubwa ya kitaifa. Hivyo madai yote dhidi ya Raisi na Makamu ni lazima yapitie bungeni kwanza. Mtu hawezi kuamka tu akasema leo hii hatumpendi fulani basi tumvue uanachama ili apoteze nafasi yake ya Uraisi au Umakamu. Kama hili litakuwa linafanyika, hatutakuwa na nchi bali gulio ya washenzi, ambapo kila muhuni anaamka tu na anamuondoa Raisi akijisikia.

========================================================================

JAMBO LOLOTE BAYA, likimtokea Makamu Wa Raisi, Dr.Emmanuel Nchimbi kipindi hiki hata baada ya kuachia nafasi, sisi tutalichukulia hili kama UHAINI. Kinara wa huo uhaini ni Dr. Asha Rose Migiro na wengine. Mlipoka madaraka ya bunge kwa kuifanya CCM ivumbe Ibara ya 50 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Na kwasababu mshaonesha nia ovu, hata baada ya 4 Septemba 2026, tutaangalia kwamba lolote litakalotokea kwa Dr.Emmanuel Nchimbi halikuanzia bungeni, hivyo ulikuwa ni UHAINI usio na uhalali.

JINAI haiozi, wote mliohusika na hili sakata, ombeni sana MUNGU hata siku moja asiingie mtu mwendawazimu kwasababu mtanyongwa na kupigwa risasi barabarani kama wanyama. Hili wala haliitaji ushahidi, tumeona mkivunja katiba waziwazi na kufanya mambo ambayo yanatishia usalama wa Makamu wa Raisi.

Wajinga wengi watatoa mfano wa kuondolewa kwa Aboud Jumbe Mwinyi, lakini ukweli ni kwambwa mwaka 1984, Mwinyi alikuwa Makamu wa Pili wa Raisi, ambaye aliongoza Zanzibar iliyokuwa haina hata KATIBA yake. Tena kubwa zaidi ni kwamba alikuwa anateuliwa na Wazanzibari tu, siyo watanzia wote.

Hili la sasa litasababisha matatizo makubwa mnoooo siku za karibuni.
=========================================================================

Wiki chache zilizopita wanasheria wa Tanzania wameenda ICC wakiongozwa na mwanasheria mkubwa ambaye jina lake hatutalitaja hapa. Kinachoendelea huko duniani ni kibaya na hata hii tume ya pili haitaweza kukizuia.

Binafsi huwa nasema hivi: NI SUALA LA MUDA TU..........

​

Unaweza kutuwekea ushahidi wa umakamo wa pili wa Raisi wa Jumbe ??

Naona unadanganya vijana mchana kweupe na ndoto zako

Aboud Jumbe alikuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, si Makamu wa Pili, wakati alipojiuzulu mwaka 1984.

Ofisi ya Makamu wa Rais wa Tanzania inaeleza wazi kwamba Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi alikuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na pia Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, kuanzia 1972 hadi 1984.

Aboud Jumbe: Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania — 1972–1984
Rashid Mfaume Kawawa:
Makamu wa Pili hadi 1977
Baada ya 1977, mfumo uliendelea kuwa na Makamu wa Kwanza na wa Pili, lakini Jumbe mwenyewe alikuwa wa Kwanza.
Alijiuzulu nyadhifa zake zote tarehe 29 Januari 1984, zikiwemo Makamu wa Kwanza wa Rais wa Muungano na Rais wa Zanzibar.
 
Nafahamu fika kwamba CCM hawawezi kujali.

Ila naandika tu kuwaonya mapema kabisa, ili siku watakavyoanza kuchinjwa kama kuku wasiseme ni chuki dhidi ya Uzanzibari au Uislamu, bali dunia ifahamu tutakuwa tunashughulikia wahaini.
​
Hii Paragraph inatia Sana matumaini tabaka la WANYONGE.
 
Huyo anaandika hivyo yuko nje ya nchi , akisikia kuna zoezi la usafi tu la vikosi vya ulinzi , anaanza kuharisha na huhama mjini. Akimsikia kamanda Wambura tu anakohoa basi anaanza kujamba mfululizo. Hamna kitu hapo
 
1787927821486.png
 
Nchimbi ameandika barua ya kujiuzuru ambako kutaanza tarehe 4 Septemba 2026.

CCM wakamfukuza uanachama na kutokomea naye kusikojulikana.

Mpaka sasa kikatiba Nchimbi bado ni Makamu wa Raisi na anachofanyiwa na uhaini.

Kama sababu ilikuwa ni kumuondoa kwenye cheo chake basi wangeacha aondoke kwanza.

Hili la kusema amejiuzuru kwasababu ameshurutishwa na chama ni uhaini mkubwa.

CCM haiwezi kumuondoa Raisi/Makamu bila kwanza kupitia bungeni.

Aidha afe au ajiuzulu mwenyewe kwa hiari yake......
​
Na kwa kuwa hajulikani alipo hadi sasa,Serikali itueleze yupo wapi
 
Huyo anaandika hivyo yuko nje ya nchi , akisikia kuna zoezi la usafi tu la vikosi vya ulinzi , anaanza kuharisha na huhama mjini. Akimsikia kamanda Wambura tu anakohoa basi anaanza kujamba mfululizo. Hamna kitu hapo

Mkuu usijifie ukatili wanaofinyia binadam mwenzo kwa kutofautina mawazo
 
Na kwa kuwa hajulikani alipo hadi sasa,Serikali itueleze yupo wapi
Waanze kutueleza walipo, akina Saleh Saadala, Othmani Sharifu , Twala, na maelfu ya watu waliokuwa wakikamatwa majumbani usiku na hawakuonekana tena kuanzia 1964 huku Zanzibar baada uvamizi wa Nyerere mpaka hawa akina Ben Saanane na wengine wa Chadema , watueleze wako wapi
 
Kwa nijuavyo chama cha majambazi hata kwa hiki walichokifanya basi kuna pahali pakubwa sana kuna vitu Nchimbi aliwagomea na kwenda kinyume nao, sio kawaida hadi wakifikia huko kwa mtu aliyekuwepo chamani muda mrefu kama Nchimbi.

Zile audio za akina Kinana na Makamba wakimnanga jiwe zilivyovuja waliitwa kwenye kikao kama Nchimbi wakaenda ila aliyegoma kuomba msamaha akabaki Membe akafukuzwa 2020 .

Ninaamini bado kuna kitu kikubwa Nchimbi alifanya hadi wamefikishana hapo.
 
Huyo anaandika hivyo yuko nje ya nchi , akisikia kuna zoezi la usafi tu la vikosi vya ulinzi , anaanza kuharisha na huhama mjini. Akimsikia kamanda Wambura tu anakohoa basi anaanza kujamba mfululizo. Hamna kitu hapo
Sawa.
Hoja haipigwi nyundo mkuu
 
Makamu wa Raisi akishapelekwa kwenye uchaguzi mkuu na kupita, basi CCM haina nguvu dhidi yake kwa namna yoyote ile. Sababu ni za kisheria kabisa na ziko dhahiri:

Mosi, makamu wa Raisi ni mtumishi wa ummah siyo mtumishi wa CCM.

Pili, makamu wa Raisi anateuliwa na watanzania siyo CCM.

Tatu, makamu wa Raisi anaongoza nchi ya Tanzania siyo nchi ya CCM.
​

Yule ni mtumishi wa Umma watu wanasahau ilo ukishakua mtumishi wa umma wewe unakua ni mali ya Umma pia umma una haki ya kujua kwanini amejiuzulu kama ni kodi zilipwa na Umma kuwatunza kuanzia rais na makamu wake kila palipo na kura ya Rais kuna ya makamu wake kila paliko na kula na Makamu kuna ya Rais watu wanachukulia poa aya mambo ni ya kuyachukia aya matendo ya kukemea Samia angeweza kucheza smart na kulamiliza mada wake akiwa na makamu wake nchimbi angalua CCM kwa hoja za Makamu zilikua zinarudi CCM kujadiliwa na watu midomoni mwa watu katiba
 
Iko hivi,

Kisheria na kikatiba, katiba ya kiingereza na katiba ya kiswahili zinapopingana, katiba ya kiswahili kushinda. Huu ndiyo msimamo wa kikatiba uliopo hapa nchini kwetu.

Tatizo ni kwamba, hizi tofauti zilizopo ni kubwa mno kimaana:

Kiingereza ni Makamu anatakiwa awe mwanachama endapo atagombea tu!

Kiswahili ni Makamu anatakiwa awe mwanachama kugombea na kukaa kwenye kiti.
=========================================================================
MKANGANYIKO NI MKUBWA MNO.....

Sasa bado nauliza, Je hata kama katiba imesema lazima awe na chama, CCM wanaweza kwenda tu na kusema kisa Nchimbi amevuliwa uanachama kwasababu za kinidhamu basi na Umakamu hana tena bila kupitia bungeni ???

Kwamba leo Raisi/Makamu akiwa amekosana na wenzake ndani ya chama basi akivuliwa uanachama basi ndiyo anaondoka kwenye utumishi wa umman wa kuongoza watu zaidi ya milioni 60 ???

Kwamba Makamu ateuliwe na watu zaidi ya milioni 15, halafu aondolewe na kikundi cha watu 12 tu ???
​

chama cha mapinduzi kwa hakika hupambana sana kumpa rais nguvu kubwa, maneno yaliyopo kwenye toleo la kiswahili yanasikitisha sana, na jambo hili ni dhahiri walijiandaa nalo kabla uchaguzi wa vyama vingi Sheria ya 1994 Na.34 ib.11
 
Mbona ilikuwa ikisemwa zamani kuwa kuna Yuda au mumesahau??
 
Mkuu hebu tuulizane leo, nchimbi ndo kafanya! Haya wamemfyeka ....tupo kimya... Ikaja kutokea ... rais akaenda kinyume chao.. wakaamua kumvua uanachama.. nini kitatokea kwamba nchi itahamishiwa kwa makamu wa rais? Na je watu 5 au 10 ndo wanaamua nan awe rais au hapana? Sisi wengine ni bendera fuata upepo?

Kwan katiba inasemaje? Kwamba anapokuwa kwako ni wakwao na anapokuja kwetu pia ni wa kwao? Nadhani kunahaja ya kutafuta namna hizi nafsi wanaowajibika wake kwa wananchi si kwa chama..
kwenye kuenguliwa kihuni kwa namna hiyo rais amelindwa, ila makamu katiba inaonesha anaweza enguliwa kihuni
 
Famahamuni haya fika.

Mfumo wetu wa Uraisi ulioanza mwaka 1995 wa mgombea mwenza tumeuiga kutokea nchi ya Marekani, ambapo Raisi na Makamu wake wanateuliwa kwa pamoja, na wanaanza kazi siku moja. Hivyo kinga ambayo anaipata Raisi ndiyo hiyo-hiyo anaipata Makamu wake. Kitaalamu hii tunaiita Functional Immunity (From Civil & Criminal Proceedings).

Emmanuel Nchimbi, unaweza usimpende lakini analindwa na katiba kama ambavyo Raisi Samia alilindwa na Katiba mwaka 2021 wakati akiwa Makamu wa Raisi asiyekuwa anaifahamu hatma yake. Wengi hatukutaka Raisi Samia awe Raisi, lakini Kikwete na Mabeyo ndiyo walimfanya Samia akawa Raisi. Wengi hatukupinga wala kulalamika kwasababu lilifanyika kikatiba.

SASA BASI, nchini Tanzania kuna haya yafuatayo ambayo yako bayana kabisa:

MOSI, Mamlaka ya nidhani (Disciplinary Authority) ya Raisi na Makamu wake ni Bunge La Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Siyo Msajili wa vyama, siyo Jaji Mkuu, siyo Jeshi na wala siyo NEC ya CCM. Makamu wa Raisi hata kama Raisi hampendi anatakiwa apeleke mashitaka kwenye chama, halafu chama wapeleke mashitaka hayo bungeni ambako wataanzisha mchakato wa kumvua nafasi makamu wa Raisi (A motion of Impeachment), ambao utaishia na azimio maalumu ya kuthibitisha kwamba makamu atolewe au asitolewe (A Resolution Confirming Impeachment).

NEC ya CCM kumvua uanachama Makamu wa Raisi Emmanuel Nchimbi, ambaye kwa barua yake amesema ataondoka kwenye nafasi yake ifikapo tarehe 4 Septemba 2026 ni UHAINI. CCM imepoka madaraka ya Bunge na kutikisa taasisi ya Uraisi.

Fahamuni fika, kwamba leo hii akifariki Raisi Samia kabla ya tarehe 4 Septemba 2026, Raisi wetu atakuwa ni Dr. Emmanuel Nchimbi na siyo mtu mwingine. Hivyo ambacho mnakifanya sasa ni uhuni utakaokuja kuwatokea puani siku siyo nyingi, maana mshajenga mfano mbaya (A Bad Precedent)

PILI, Kinga ya Raisi ndiyo kinga ya Makamu Wake. Raisi na Makamu hawawezi kushitakiwa popote pale. Lengo la kumpa Raisi na Makamu wake kinga ni kuhakikisha ofisi ya Raisi inathibitika ili kufanikisha utekelezaji wa majukumu makubwa ya kitaifa. Hivyo madai yote dhidi ya Raisi na Makamu ni lazima yapitie bungeni kwanza. Mtu hawezi kuamka tu akasema leo hii hatumpendi fulani basi tumvue uanachama ili apoteze nafasi yake ya Uraisi au Umakamu. Kama hili litakuwa linafanyika, hatutakuwa na nchi bali gulio ya washenzi, ambapo kila muhuni anaamka tu na anamuondoa Raisi akijisikia.

========================================================================

JAMBO LOLOTE BAYA, likimtokea Makamu Wa Raisi, Dr.Emmanuel Nchimbi kipindi hiki hata baada ya kuachia nafasi, sisi tutalichukulia hili kama UHAINI. Kinara wa huo uhaini ni Dr. Asha Rose Migiro na wengine. Mlipoka madaraka ya bunge kwa kuifanya CCM ivumbe Ibara ya 50 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Na kwasababu mshaonesha nia ovu, hata baada ya 4 Septemba 2026, tutaangalia kwamba lolote litakalotokea kwa Dr.Emmanuel Nchimbi halikuanzia bungeni, hivyo ulikuwa ni UHAINI usio na uhalali.

JINAI haiozi, wote mliohusika na hili sakata, ombeni sana MUNGU hata siku moja asiingie mtu mwendawazimu kwasababu mtanyongwa na kupigwa risasi barabarani kama wanyama. Hili wala haliitaji ushahidi, tumeona mkivunja katiba waziwazi na kufanya mambo ambayo yanatishia usalama wa Makamu wa Raisi.
========================================================================

Wajinga wengi watatoa mfano wa kuondolewa kwa Aboud Jumbe Mwinyi, lakini ukweli ni kwambwa mwaka 1984, Mwinyi alikuwa Makamu wa Pili wa Raisi, ambaye aliongoza Zanzibar iliyokuwa haina hata KATIBA yake. Tena kubwa zaidi ni kwamba alikuwa anateuliwa na Wazanzibari tu, siyo watanzia wote.

Hili la sasa litasababisha matatizo makubwa mnoooo siku za karibuni.
=========================================================================

Wiki chache zilizopita wanasheria wa Tanzania wameenda ICC wakiongozwa na mwanasheria mkubwa ambaye jina lake hatutalitaja hapa. Kinachoendelea huko duniani ni kibaya na hata hii tume ya pili haitaweza kukizuia.

Binafsi huwa nasema hivi: NI SUALA LA MUDA TU..........

​
Dah! Umelia sana lakini hata sisi tunaijua Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Makamu wa Rais HANA immunity yoyote.
 
Huwa najiuliza
Samia akifa leo kabla ya tarehe 4 , Rais anakua Ndejembi au anakua Nchimbi?
Maana Nchimbi tayari amefukuzwa uanachama na Chama chake kwa hiyo nafasi ya Rais inataka adhaminiwe na chama
Nauliza tu mkuu
Mtu aliyechaguliwa na wapiga kura akifukuzwa uanachama na chama kilichomdhamini, Tume ya uchaguzi ndio inatangaza kuwa kuna nafasi wazi. Sasa nafasi ya Makamu wa Rais mpaka sasa haijatangazwa kuwa ipo wazi, vinavyoendelea ni uhaini
 
Back
Top Bottom