MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
- Thread starter
- #101
Ndio ni Mtumishi wa umma,
Lakini yupo pale kukiwakilisha Chama Cha siasa kilicho shinda uchaguzi,
Kinacho Tawala ni chama sio Mtu.
Hayo ni maneno ya kikomunisti yaliyoletwa na Muhuni Nyerere wa Butuiama.
Anayetawala ni serikali (The Executive) inayoongozwa na Raisi (The President).
Hawa ndiyo watu ambao sisi tutawajibisha kupitia, Collective Ministerial Responsibility au Individual Ministerial Responsibility. Unachokisema hapa ni propaganda za kijamaa za chama kimoja ambazo ziko huko Uchina na Korea Kaskazini, mambo ya CHAMA DOLA. H