Shida ilianzia π"Zidumu Fikra Sahihi za Mwenyekiti wa Chama Chetu"Nina swali Moja kwako, Kwa yanayoendelea hivi sasa, Je ni uthibitisho kuwa ikulu kwa maana ya Rais ana nguvu kuliko chochote katika nchi au chama kina nguvu kuliko ?
How comes Makamu wa Rais kufanyiwa uhuni na hakuna Reaction yoyote ndani ya mifumo?
πππUraisi wa Tanzania hata akipewa binti yako wa miaka sita huwezi kumpigia kelele!
ππShida ilianzia π"Zidumu Fikra Sahihi za Mwenyekiti wa Chama Chetu"
They just don't careβ
πππ
Basi nimeelewa kwanini namba 2 alisema Wananchi wapambane kupata katiba mpya.
Kuna namna ni ngumu sana kutaka kupindua meza au kufanya mabadiliko yoyote ukiwa na hii katiba.
Sawa sawaNafahamu fika kwamba CCM hawawezi kujali.
Ila naandika tu kuwaonya mapema kabisa, ili siku watakavyoanza kuchinjwa kama kuku wasiseme ni chuki dhidi ya Uzanzibari au Uislamu, bali dunia ifahamu tutakuwa tunashughulikia wahaini.
Sawa sawa
Mkuu mimi sio mtaalamu wa sheria.I don't want them to care!
I'm just giving them a heads up, so that when we start dealing with them it should be because of Treason not malicious intent because they're Zanzibaris or Muslims.
Naukumbuka vizuri huu Uzi kaka.[EMBED content="thr
Matatizo yote haya yalianza March 2021, baada ya JPM kufariki dunia.
Mkuu malcom hicho chama kwa sasa ni sikio la kufa na kwa sasa wanatembelea roho ya kukataliwa na tusubirie kinaenda kujifuta chenyeweFamahamuni haya fika.
Mfumo wetu wa Uraaja hapa. Kinachoendelea huko duniani ni kibaya na hata hii tume ya pili haitaweza kukizuia.
Binafsi huwa nasema hivi: NI SUALA LA MUDA TU..........
Factππ
Kwakifupi hakuna machinery yoyote ya kwenda against na namba 1
Makamu wa Rais ni mtumishi wa Umma au wa CCM?
Nakubali ni kama yale yaliyo tokea Burkina FasoJINAI huwa haiozi.....
Haya yote aliyaanzisha Nchimbi mwenyewe aliposema wakati wowote Samia asipomtaka, atajiuzulu.Famahamuni haya fika.
Binafsi huwa nasema hivi: NI SUALA LA MUDA TU..........
Mkuu malcom hicho chama kwa sasa ni sikio la kufa na kwa sasa wanatembelea roho ya kukataliwa na tusubirie kinaenda kujifuta chenyewe
CCM ni majambaziMakamu wa Raisi ni mtumishi wa ummah mwenye kinga dhidi ya mashauri yote ya kisheria.
Kama mahakama tu haziwezi kumshitaki au kumuwajibisha Makamu wa Raisi kwa kosa lolote lile bila idhidi ya bunge, iweje CCM ambacho ni kigenge cha wahuni wawe na nguvu zaidi ya mahakama kutuamilia watanzania milioni 60 hatma yetu ???