CCM Fahamuni kabisa: Kilichofanywa na Asha Rose Migiro ni uhaini na atakilipia

Kama wabunge wakifutwa uanachama wanapoteza nafasi zao za ubunge katika majimbo ya wananchi wao waliowachagua basi pia ni hivyo hivyo kwa rais na makamu wa rais kwa sababu wote katiba inataka wawe na udhamini wa chama nyuma yao ili waweze kushika hizo nafasi. Spika wa bunge tu ndiye hawezi kuondolewa na chama madarakani kama ana sapoti ya wabunge wengi hata kama chama kikimfuta uanachama.
 
Serikali ya Tanzania haiwezi hata kumgomea Muajemi Rostam Aziz,

Ndiyo itaweza kuwagomea hawa watu weuepe wa Ulaya na Marekani ???
​
 
Inamaanisha chama kinaweza kumuondoa rais madarakani kwa kumvua uanachama wake!
Sa100 na Jiwe wameonyesha jinsi gani mifumo iliyopo ni mchanganyiko na mkorogano mtupu.
Swali zuri sana, leo Saa100 afukuzwe uanachama inakuwaje hapo?

Halafu katiba inaendelea kufinyangwa finyangwa tunaangalia tu? Je, nchi inaendeshwa kwa muongozo upi? Maana katiba ndio kila kitu, mawakili mpo au mmelala usingizi wa pono?
 
Yeah, sisi watanzania tunashindwa kufikiria mbele tunavyotunga vitu vyetu. Mara nyingi kanuni zinaanza kutungwa pale tatizo linapotokea.

Kuwa na akili mgando huwa ni kitu mbofu mbofu hivi 🤌
 
Mwenye kutoa tafsiri hizi bungeni ni Attorney General au nani? Na kwanini hakutoa tamko lolote la ukiukwaji wa katiba?
 
Mwenye kutoa tafsiri hizi bungeni ni Attorney General au nani? Na kwanini hakutoa tamko lolote la ukiukwaji wa katiba?
MWENYE MAMLAKA YA KUTAFASIRI SHERIA SIYO HAMZA JOHARI wala KABUDI bali MAHAKAMA ZA TANZANIA.

Hamza Johari na Palamagamba Kabudi wanatuambia kwamba ukivuliwa uanachama basi unapoteza haki ya kuwa Raisi au Makamu wa Raisi.

Kwamba Raisi ataeuliwe na watanzania milioni 20, halafu atolewa madarakani na kikundi cha watu 12 tu ???
​
 
Naona mwanasheria mkuu wa serikali anasema hapa kuwa" Nafasi ya Makamu wa Rais ilikoma baada ya nchimbi kuvuliwa uanachama."
Tafsiri yake kumbe chama linaweza kutoa maelekezo kwa serikali, ndio maana kunatakiwa kuwa na mipaka ya wazi kati ya chama na serikali, haya mambo yasipopata ufumbuzi wa haraka yataleta shida sana.
 
Ni wasi wasi wako Tu kila kitu kitakaa sawa
 
Kwanza hakuna mahala CCM wamekosea Wala kumvua mtu cheo chake ,wao wame deal na mwanachama wao.

Pili Kwa kutambua huo mchakato uliousema ndio maana Makamu hajafukuzwa Bali amejiuzulu lakini atakuwa ofisini Hadi September 4 lengo ni kukamilisha process za kukabidhiana madaraka.

Sasa sijui umeandika nini, nadhani chuki ndio zinakusukuma kuliko uhalisia.
 
MWENYE MAMLAKA YA KUTAFASIRI SHERIA SIYO HAMZA JOHARI wala KABUDI bali MAHAKAMA ZA TANZANIA.

Hamza Johari na Palamagamba Kabudi wanatuambia kwamba ukivuliwa uanachama basi unapoteza haki ya kuwa Raisi au Makamu wa Raisi.
​
Mmh!
Kazi kwelikweli,Muda mwingine utagundua shida sio Sheria Bali hamna wa kusimamia Sheria.
 
Swali zuri sana, leo Saa100 afukuzwe uanachama inakuwaje hapo?

Halafu katiba inaendelea kufinyangwa finyangwa tunaangalia tu? Je, nchi inaendeshwa kwa muongozo upi? Maana katiba ndio kila kitu, mawakili mpo au mmelala usingizi wa pono?
Akifukuzwa uanachama anapoteza sifa zake.
 
Hata urais unakoma pale anapovuliwa uanachama wake.
 
Leo hii CCM wachache waamue kumvua uanachama Samia nini kitatokea ???​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…