CCM: Gazeti la Uhuru limepotosha; Rais Samia hakusema kuwa hatogombea 2025

CCM: Gazeti la Uhuru limepotosha; Rais Samia hakusema kuwa hatogombea 2025

Haya ndio maafa tunayopitia Watz kuwaendekeza CCM kwa zaidi ya miaka 60

Miwatu inabebana tu huko maofisini, yani inaonyesha muandishi mpaka mhariri wa hiyo habari hawakufuatilia ile interview

Mitano tena
 
Gazeti pendwa la Uhuru leo limeidhinisha rasmi kuwa Mama wa Zenji 2025 agombei tena

Screenshot_20210810-201647_OneDrive - Copy.jpg
 
CCM kwa madaraka bwana ni hatari as if hii nchi watatawala milele, mmeona walivyokuja fasta fasta kukanusha - Mengine yanayoendelea nchini kwao hayana umuhimu kama hili la Urais - hii ndio tafasiri yake.
 
Tunawachoka na ninyi sasa,
Si mngewatumia ujumbe wafanyakazi wenu ili kesho wakanushe kupitia gazeti hilohilo.
Hizo hatua mbona huwa hamsemi mkishazitoa.

Yule mbunge wa viti maalum Arusha mliropoka hivihivi.
 
Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Jumatano kimesikitishwa na habari ya “upotosha mkubwa uliofanywa na Gazeti la Uhuru” kwa kumlisha maneno Rais @SuluhuSamia. kimesema kitachukua hatua kali kwa waliohusika. Gazeti la Uhuru linamilikiwa na Chama Cha Mapindizi.

View attachment 1888159

View attachment 1888160
hii niliiona nikajiuliza mbn hakusema HIV kwenye Yale mahojiano na BBC?
 
Haya ndio maafa tunayopitia Watz kuwaendekeza CCM kwa zaidi ya miaka 60

Miwatu inabebana tu huko maofisini, yani inaonyesha muandishi mpaka mhariri wa hiyo habari hawakufuatilia ile interview

Mitano tena
Sio kwamba hawakufuatilia interview bali hayo ndiyo maelekezo ya wenye chama simple hawataki agombee 2025.
 
Nilishauri kuwa;

Sioni sababu ya kuwatoa watu kwenye nafasi zao kama wanapafomu vizuri kisa tu hukuwateua wewe (Nadharia, lakini alishiriki kuwateua hao 100% kama mshauri namba moja wa Rais), siasa za kizamani. Mwenyewe nilikuwa na wasiwasi na watu kama Kalemani na Dotto Biteko, walikuwa na ukaribu uliopitiliza kwa marehemu, lakini up to now ni kati ya mawaziri wanaofanya vizuri.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bavicha mnataka kuaminisha uma kwamba kuna watu wana mhujumu mama.

Mwanzo mlifikiri hata kukamatwa kwa Mbowe ni hujuma ndani ya chama ila juzi mwenyewe kakiri anajua kila kitu!

Kivuli cha Magu bado kinawatandika. Yani hata baada ya Magu kufariki bado mnafikiri kushindwa kwenu ni kwa sababu yake.

Hao watu wanaomhujumu muwe mnawataja kwa majina na kwa vipi wanamhujumu
Usiwe mbumbumbu kiasi cha kushindwa kuelewa makosa ya kimakusudi kabisa yaliyofanywa na gazeti la mbogamboga.
 
Rais Samia bila kuwafurusha hao masalia wa Magufuli atapata tabu sana,walilambishwa asali sasa wanataka kuchonga mzinga.
 
Sioni sababu ya kuwatoa watu kwenye nafasi zao kama wanapafomu vizuri kisa tu hukuwateua wewe (Nadharia, lakini alishiriki kuwateua hao 100% kama mshauri namba moja wa Rais), siasa za kizamani. Mwenyewe nilikuwa na wasiwasi na watu kama Kalemani na Dotto Biteko, walikuwa na ukaribu uliopitiliza kwa marehemu, lakini up to now ni kati ya mawaziri wanaofanya vizuri.
No problem aendelee nao tu, Kikwete hakuwa mjinga kumuondoa Lowassa na baraza lake alipoona litamwangusha.
 
Back
Top Bottom