SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtwara amkeni na mfuate nyayo za Ken Sarowiwa la sivyo mtaisikia gesi kwenye bomba tuheshima yako mkuu
heshima yako sana
Muda wa kuingia msituni ukiwa tayari mtanistua,mie maneno maneno siwezi
muda wa kuingia msituni ukiwa tayari mtanistua,mie maneno maneno siwezi
THE BIG SHOW, SHERRIF ARPAIO,sawa umeongea vyema na nakubaliana nawewe kwa asilimia zote
sasa hoja zako zinahusiana vipi na suala la kuihamisha gesi hii tena ikiwa ghafi na kuipeleke sehemu nyingne tena kwa gharama za juu zaidi kuliko gharama ambazo zingetumika kuiprocess hii gesi eneo husika ilipopatikana ili kuwanufaisha watanzania wote kwa kuanzia na hawa wa eneo husika??hakuna aliepinga kushare manufaa ya gesi hii ndugu
kuna wizi na ujanja ujanja unataka kufanyika katika hili,wananchi na asasi zisizo za kiserikali wameshastukia jambo hilo
kweli mkuu kule watu wanauza utu kwa buku
Ccm habari hii iwakae sana akilini,na mkae mkijua ya kwamba suala la kuitoa gesi mtwara na kuihamishia sehemu zingne kutaathiri moja kwa moja maendeleo ya mkoa huo,,
kuna mpango ushaandaliwa wa kikwete kutaka kuipeleka gesi hii bagamoyo ili awalipe fadhila watu wa kwao pindi atapoondoka madarakani,,
suala hili halitavumilika hata kidogo,zipo juhudi za wanaharakati wa asasi zisizo za kiserikali zinafanywa kuupinga mpango hadi bungeni,,
gesi hii ingekua imegundulika arusha ccm ingethubutu kujenga bomba kuitoa arusha kuipeleka bagamoyo??ingethubutu??
Sasa kwa mtaji huu mmechokoza vita vingine,,ikibid hata msituni tutaingia,hata kujitenga tutajitenga,,
tuachieni gesi yetu tunufaike nayo,hatujakataa kugawa nishati kutokea mtwara kwenda sehemu zingne,tunachotaka ni uwepo wa gesi kanda ile ili kuwepo na ujenzi wa miundombinu,viwanda na kuongezeka kwa ajira za wananchi wa kanda ile
tutapigana sana katika hili
the big show, sherrif arpaio,
..mimi nadhani mngepigania umeme usambazwe wilaya zote ktk mikoa ya kusini.
..pia suala la elimu litafutiwe ufumbuzi ktk mikoa ya kusini.
..elimu ina matatizo sana maeneo ya kusini. Kuna maeneo waalimu wanabakwa, kwingine kuna migogoro ya udini, halafu uchanganye na suala la utoro na wazazi kuozesha watoto wa kike.
..bila kutatua matatizo ktk sekta ya elimu wananchi wa kusini hawawezi kufaidika na uchimbaji wa gesi ktk maeneo yao.
..pia kuwe na mfumo mzuri zaidi wa manunuzi ya mazao kama korosho na mengine yanayopatikana huko.
..shiyanga, geita, tabora, wana migodi ya dhahabu lakini hali zao hazina tofauti na wakati hawana migodi hiyo. Kwa msingi huo hoja ya wananchi wa kusini inapaswa kujumuisha mambo mengi sana na siyo kulazimisha tu "gesi haitatoka mtwara."
kwahiyo hayo mabomba ya gesi wanayoweka mtayalipua ama?
watu washaamka sasa,,pia washachoka kwa utumwa wao
wasubiri 2015
ushauri wako una uhalisia joka kuu
na tunachotaka wana mtwara ni mabadiliko ya kanda hii hasa hasa kutokana na rasimali zinazotoka huku,wilaya ya tandahimba ni ya pili kitaifa kwa kuingiza pato la kodi kila mwaka,,na hii nikutokana na ushuru wa zao la korosho,lakini ukiangalia hali za maisha ya watu wa eneo husika inatia hasira sana
enough is enough,kwa sasa imetosha
jana tarehe 21/12/12 katika kikao cha rcc mtwara mh, kanali mstaafu joseph simbakalia ameisoma live barua iliyoandikwa na vyama vya upinzani kwa ujumla kwamba kutakuwa na maandamano na anaombwa kuyapokea tarehe 27/12/12 kuhusu suala hil. Mbele ya mawaziri hawa ghasia na john mkuchik, mkuu wa mkoa ameuita mchakato huu ni upumbavu na amewahimiza wana mtwara kwenda shule kwani elimu ndio itakao waokoa, alisema even if gesi ikibaki mtwara what are u going to do with it kama ninyi ni shuleless na pia akasema mkikomaa sana gesi inaweza kuondokea juu kwa juu baharini huko huko na msipate kitu. Mheshimiwa alijitahidi kueleza fulsa zitazopatikana ikiwa ni pamoja na ujenzi wa viwanda kwa kuanza na kiwanda cha cement cha dangote.hata hivyo amesema waandamanaji wasijisumbue siku hiyp kwanza hatakuwapo.