Upinzani ni debe tupu linalovuma upepo.UPUUZI MTUPU! Hiyo tathmini kwamba upinzani hauna sifa ya kutawala Nchi uliufanya lini na wapi? Na ulitumia vigezo gani kufikia hitimisho lako? Tuondolee UPUMBAVU wako hapa!
Bila hata kutumia neno upuuzi, hivi nawe unaamini TZ inaweza tawaliwa na chama kama CHADEMA? CUF?, ACT?, TLP? DP? nk. Hebu nichagulie chama unachoona kinaweza tawala TZ mwaka huu 2020. Hawa akina LIssu tulioona wanaingiza dada zao Bunge la katiba? Hawa akina Zitto walioingiza mama zao bunge la Katiba? Hawa akina Mbowe wanaoumia usiku wa ulevi ktk umri huo?UPUUZI MTUPU! Hiyo tathmini kwamba upinzani hauna sifa ya kutawala Nchi uliufanya lini na wapi? Na ulitumia vigezo gani kufikia hitimisho lako? Tuondolee UPUMBAVU wako hapa!
JF ya miaka ile tulijadili mambo kama haya. JF ya leo inashabikia hata kama hakuna mantiki. Kuna mtu hapa JF aliuliza akitaka kuelezwa kama kweli hadi leo hii, mwaka huu, kwa mfumo huu wa nchi, kuna chama cha upinzani kinategemea kushinda uchaguzi? Wapo wapiga kelele kama hawana vichwa , wakaripuka! Wengi wao wako CHADEMA, wanaamini kila anayekosoa CDM ni CCM. Hata wabunge wao walipowakosoa, wao wakasema hameni kama munataka. Kuna umbumbumbu ndani ya chama kiasi kwamba huwezi kuwashauri. Ukweli hawatapata nafasi ya kushika dola.Wapinzani wanaonekana hawana maana sababu ya unyonge, unyonge unagharimu upinzani.
Hata pale wanapotaka kufanya kweli wanatokea wavurugaji, mwaka 2015 walipotengeneza ukawa Zitto alijiondoa.
Lakini hata pale wanapoweza kuvunja vyama vikabaki vyama viwili hawataki.
Baya zaidi wapo double agents wale hata katiba mpya watapinga tu.
..mtoa mada unajichanganya.
..kama ccm haifai, maana yake haina sifa za kutawala.
Kwenye saccos kuna uongozi imara?. Mbona pesa za pigwa hakuna kuhoji?. Mbona mtu akitaka UENYEKITI ana timuliwa, mbona viti maalum mpaka watoe vitu maalum?. Aah kamanda, hakuna upinzani wa kuiondoa CCM kwa Sera gani walizonazo?. Watanzania sio watu wa kufanyiwa experiment za Ubelgiji hapa. Sisii twataka maendeleo tu. Kazi tu, kazi tu kazi tu. Jipangeni mje 2040.UPUUZI MTUPU! Hiyo tathmini kwamba upinzani hauna sifa ya kutawala Nchi uliufanya lini na wapi? Na ulitumia vigezo gani kufikia hitimisho lako? Tuondolee UPUMBAVU wako hapa!
Kwenye saccos kuna uongozi imara?. Mbona pesa za pigwa hakuna kuhoji?. Mbona mtu akitaka UENYEKITI ana timuliwa, mbona viti maalum mpaka watoe vitu maalum?. Aah kamanda, hakuna upinzani wa kuiondoa CCM kwa Sera gani walizonazo?. Watanzania sio watu wa kufanyiwa experiment za Ubelgiji hapa. Sisii twataka maendeleo tu. Kazi tu, kazi tu kazi tu. Jipangeni mje 2040.
Upinzani upi huo?. Huu wa kulalamika, na jazba juu?. Upinzani ulikuwa ule wa kina Dr. Slaa na Zitto kabla hamjawatimua. Hoja kwa hoja. Unyonge mnao wenyewe kwa kukubali kuwekwa mfukoni na kakikundi ka watu wachache. Fumbueni macho, muione Tanzania mpya yenye uchumi wa juu, juu, juu zaidi inayokuja. JPM, kazi tu.Wapinzani wanaonekana hawana maana sababu ya unyonge, unyonge unagharimu upinzani.
Hata pale wanapotaka kufanya kweli wanatokea wavurugaji, mwaka 2015 walipotengeneza ukawa Zitto alijiondoa.
Lakini hata pale wanapoweza kuvunja vyama vikabaki vyama viwili hawataki.
Baya zaidi wapo double agents wale hata katiba mpya watapinga tu.
Vichaa kama ninyi huwa sijisumbui nanyi. Mko very blind, na mtalijua hilo mtakapo tumbukizwa shimoni na hao mabeberu pamoja na mwenyekiti wa saccos. Wewe hata kadi ya saccos huna, ila hapa jukwaani wajifanya mjanjaa. FoolWapumbavu kama wewe ndiyo tatizo kubwa Nchi hii kwa kumvimbisha kichwa huyo KICHAA.
Ripoti UNDP 2019: Maendeleo ya Watanzania yamerudi nyuma kwa 25%
Vichaa kama ninyi huwa sijisumbui nanyi. Mko very blind, na mtalijua hilo mtakapo tumbukizwa shimoni na hao mabeberu pamoja na mwenyekiti wa saccos. Wewe hata kadi ya saccos huna, ila hapa jukwaani wajifanya mjanjaa. Fool
Lakini bado hatujaona watu wa kuwapa kutawala ndiyo maana inaendelea kutawala..mtoa mada unajichanganya.
..kama ccm haifai, maana yake haina sifa za kutawala.