Uchaguzi 2020 CCM haifai, tatizo ni Upinzani hauna sifa za kutawala nchi. Inabidi tuvumilie tu

Uchaguzi 2020 CCM haifai, tatizo ni Upinzani hauna sifa za kutawala nchi. Inabidi tuvumilie tu

Serikali ya wananchi kwa ajili ya wananchi haihitaji uzoefu msingi wake ni haki, heshima umoja na amani. Ondoa ukiritimba wa kufikiri viongozi wanatoka mawinguni au ukoo au chama fulani bali kwa wananchi
 
JF ya miaka ile tulijadili mambo kama haya. JF ya leo inashabikia hata kama hakuna mantiki. Kuna mtu hapa JF aliuliza akitaka kuelezwa kama kweli hadi leo hii, mwaka huu, kwa mfumo huu wa nchi, kuna chama cha upinzani kinategemea kushinda uchaguzi? Wapo wapiga kelele kama hawana vichwa , wakaripuka! Wengi wao wako CHADEMA, wanaamini kila anayekosoa CDM ni CCM. Hata wabunge wao walipowakosoa, wao wakasema hameni kama munataka. Kuna umbumbumbu ndani ya chama kiasi kwamba huwezi kuwashauri. Ukweli hawatapata nafasi ya kushika dola.

Sasa wanasema tutaibiwa, ambao ni umbumbumbu pia. Kama unajua utaibiwa kwa nini uliingia kwenye uchaguzi? Unajua uwanja hauna magoli wewe unaingia na kupoteza muda wako kiasi hicho, huku ukijiandaa kulalama! Stupidity of highest order!
Hupo sahihi,kuna wafuasi wengi humu wana mapenzi ya kupindukia.
 
Bila hata kutumia neno upuuzi, hivi nawe unaamini TZ inaweza tawaliwa na chama kama CHADEMA? CUF?, ACT?, TLP? DP? nk. Hebu nichagulie chama unachoona kinaweza tawala TZ mwaka huu 2020. Hawa akina LIssu tulioona wanaingiza dada zao Bunge la katiba? Hawa akina Zitto walioingiza mama zao bunge la Katiba? Hawa akina Mbowe wanaoumia usiku wa ulevi ktk umri huo?
Magufuli kamweka mtoto wa dada kama mtia saini wa pesa zote za serikali!
Ndio maana utasikia akijidai kwenye rushwa zake majukwaani kwa wapiga kura,"usijiulize pesa zitatoka wapi,pesa nitatoa mimi"!!!!
 
Hufai wewe...katika vyama bora Africa CCM ni namba one, wakifuatiwa na ANC
Chadema ni Saccos. Hivi uongozi wanajifunzia wapi hawa watu?. Yani kule kuwa mnadhimu wa kambi ya upinzani anadhani anaweza ongoza nchi?. Viongozi karibu wote kwenye ile saccos ni vilaza wa hali ya juu kabisa. Membe ni bora kuliko Lissu, kwa weledi wa uongozi ila ndo vile tena yupo kwenye saccos ndogo isiyo na influence.
 
Hawa wanaojiita upinzani wako hoi, taaban. Hawajitambui kabisa
Ondoa utopolo huu humu.
Jiwe anajitambua? Anaongelea ngono tu muda wote.
Anawaza kuuwa na kuteka tu muda wote.
 
Ulichokisema ni kweli.

CDM hawajajipanga kuchukua dola, Hawana vigezo kwani Chama chao hakipo Imara na Kimejaa migawanyiko ya kimaslahi. Inabidi wakae chini wajipange na kukijenga chama chao Kama wakifanikiwa waje Tukutane Uwanjani kwa Miaka ijayo ila kwa sasa hapana
 
Kila mtu analia na lake. CCM ni system, Magufuli ni kiongozi wa system. Kipi unakiona hakifai. Kwa taarifa yako, ni kheri CCM mara 1000 kuliko kikundi cha wajasiriamali wachache wanaounda saccos pale Ufipa. Usipoteze kura yako, chagua JPM.
Ccm haifai, period. Hili genge ni ovu kuliko hata wakoloni asilia
 
Kubwabwaja kutupu.1961
Mwaka huo Chadema hata haijafikiriwa kuzaliwa
 
Serikali ya wananchi kwa ajili ya wananchi haihitaji uzoefu msingi wake ni haki, heshima umoja na amani. Ondoa ukiritimba wa kufikiri viongozi wanatoka mawinguni au ukoo au chama fulani bali kwa wananchi
Ni kweli na tuna mifano ya watu wa aina hiyo, lakini ukifuatilia siyo watu wa aina ya Lissu. Ignorance aliyonayo Lissu juu ya Dunia na nchi ni kubwa sana! Ndo maana ulimuona anazunguka ulaya akiamini ndo support ya kumfanya mtawala iliko. Yupo na Nyarandu aliyehamia huko aliyesema Marekani wanataka mimi niwe rais wa TZ.

Lissu amefikia hatua ya kuahidi kuruhusu watu wa Karagwe kuuza kahawa Uganda. Namuona kama mtu mwenye ufahamu mdogo sana. Inavyoonekana agenda yake mfukoni ni kurekebisha sheria tu! Baada ya marekebisho hayo, hatujui kitafuata nini, Sisi tunahitaji maendeleo! sasa sijui kama sheria zinaleta maendeleo.
 
Ukitaka kujua werevu na wapumbavu basi usihangaike njoo tu hapa JF wamejaa tele.

Kuna chuo gani watu waga wanaenda kuchukua mafunzo ya kuendesha serikali ndio waruhusiwe kutafuta uongozi wa nchi na je akina Nyerere, Kaunda, Kenyatta, Nkurumah nk walihudhuria katika hicho chuo???

Mleta mada, ficha ujinga, hatunufaiki chochote kwa kujua kuwa wewe ni mjinga.
 
Ni kweli na tuna mifano ya watu wa aina hiyo, lakini ukifuatilia siyo watu wa aina ya Lissu. Ignorance aliyonayo Lissu juu ya Dunia na nchi ni kubwa sana! Ndo maana ulimuona anazunguka ulaya akiamini ndo support ya kumfanya mtawala iliko. Yupo na Nyarandu aliyehamia huko aliyesema Marekani wanataka mimi niwe rais wa TZ.

Lissu amefikia hatua ya kuahidi kuruhusu watu wa Karagwe kuuza kahawa Uganda. Namuona kama mtu mwenye ufahamu mdogo sana. Inavyoonekana agenda yake mfukoni ni kurekebisha sheria tu! Baada ya marekebisho hayo, hatujui kitafuata nini, Sisi tunahitaji maendeleo! sasa sijui kama sheria zinaleta maendeleo.
Kwa nini watu wa Kagera wanapenda kuuza kahawa yao Uganda badala ya Tanzania.

Na unakumbuka kuna mtu aliwahi kusema Saddam alikuwa rais wa Libya kabla ya kubadili na kusema, "Hapana alikuwa rais wa Kuwait rais wa Libya alikuwa Gaddafi", sasa huyo ndio mwenye uelewa wa mambo. Huna hoja.
 
JF ya miaka ile tulijadili mambo kama haya. JF ya leo inashabikia hata kama hakuna mantiki. Kuna mtu hapa JF aliuliza akitaka kuelezwa kama kweli hadi leo hii, mwaka huu, kwa mfumo huu wa nchi, kuna chama cha upinzani kinategemea kushinda uchaguzi? Wapo wapiga kelele kama hawana vichwa , wakaripuka! Wengi wao wako CHADEMA, wanaamini kila anayekosoa CDM ni CCM. Hata wabunge wao walipowakosoa, wao wakasema hameni kama munataka. Kuna umbumbumbu ndani ya chama kiasi kwamba huwezi kuwashauri. Ukweli hawatapata nafasi ya kushika dola.

Sasa wanasema tutaibiwa, ambao ni umbumbumbu pia. Kama unajua utaibiwa kwa nini uliingia kwenye uchaguzi? Unajua uwanja hauna magoli wewe unaingia na kupoteza muda wako kiasi hicho, huku ukijiandaa kulalama! Stupidity of highest order!
Kwahiyo ulitaka wasishiriki uchaguzi ?
 
Mkuu TANU and Co walivyo chukua nchi walikuwa wamewahi kushika ofisi?
 
Mkuu TANU and Co walivyo chukua nchi walikuwa wamewahi kushika ofisi?
Tanzania ya 1961 ilikuwa ile yenye injinia 2, madaktari 2, n.k. Tanzania ya leo 2020 yenye graduate 500000 kwa mwaka unatuletea chama cha viongozi wa form 6!!!!!!!!!!!!!!!!! Rubbish!
 
Upinzani ni debe tupu linalovuma upepo.

CCM ni imara kwa maendeleo ya Tanzania

Basi itakuwa vyema zaidi ukishauri turejee kwenye mfumo wa chama kimoja - CCM, kama walivyotaka 80% kwenye utafiti wa Tume ya Nyalali 1992. Tuachane na gharama isiyo ya lazima. Sivyo?
 
Kwa nini watu wa Kagera wanapenda kuuza kahawa yao Uganda badala ya Tanzania.

Na unakumbuka kuna mtu aliwahi kusema Saddam alikuwa rais wa Libya kabla ya kubadili na kusema, "Hapana alikuwa rais wa Kuwait rais wa Libya alikuwa Gaddafi", sasa huyo ndio mwenye uelewa wa mambo. Huna hoja.
Nakumbuka sana! Ila naelewa kwamba kila mtu ana ignorance ya aina fulani ktk maisha yake. Tunataka watu wawe na ufahamu lakini ule ufahamu wenye manufaa. Kuniambia ibara ya 15 ya katiba inasema hivi na vile sioni kama ni uelewa utunaouhitaji ktk kuendeleza nchi, haina tofauti na kuniuliza mkwawa alipigana mwaka gani, what for? Ukitaka JF ya kuelimishana njoo kwa mjadala. Ukitaka JF ya kampeni na ushindi wa Lissu kuwa rais wa mtandaoni, nasema sina muda ila ataishia kulialia kwa madai ya kuibiwa kura.

Natamani Lissu afahamu Laws of Universe, atueleze njia ya kupita ili kufika fourth industrial revolution, atueleze technology acqusition (siyo transfer), aeleze industrial growth (siyo utapeli wa capital investment), yapo mengi ninayoweza kumuongoza kama angekuwa na kichwa kizuri. sasa yeye anakuja na hadithi za kutunga na kusimamia sheria! Ili iweje? Afunge waliompiga risasi au nini? Eti demokrasia, ipi hiyo wakati anajua CHADEMA ilifukuza wote waliotaka nafasi za wateule. Kama hawezi kuuliza kwa nini Uganda bei ya kahawa ni kubwa kuliko TZ, huyo utamshauri nini? Kwani anayenunua kahawa Bukoba na uganda ni serikali?
 
Back
Top Bottom