Uchaguzi 2020 CCM haifai, tatizo ni Upinzani hauna sifa za kutawala nchi. Inabidi tuvumilie tu

Bashite umetoswa hata ukilamba miguu October 28 mboko ziko pale pale.
 
Wewe unaongelea Industrial Revolution wakati hata Agricultural Revolution imekushinda! Huwezi kwenda sekondari wakati hata shule ya msingi imekushinda kwa miaka 60.

Hata kama anayenunua kahawa Uganda sio serikali hiyo sio hoja, swala ni kuwa mnunuzi wa Uganda ana offer nzuri kuliko wa Tanzania na ndio maana wauzaji wanaomfuata huko Uganda.

Kama waliompiga risasi ndio hao hao wanaotawala na wanajiona wako juu ya sheria kwa wakati huu wako madarakani kuna ubaya gani wakitolewa madarakani sheria ikachukua mkondo wake maanake hakuna aliye juu ya sheria.

Kuhusu wizi wa kura, ni nani asiyejua kuwa kwa zaidi ya miaka ishirini sasa ccm imekuwa ikitawala hii nchi through the dubious if not fake mandate owing to the lack of independent electoral commission to oversea the elections.
 

1. CCM inaonekana ipo imara kwa sababu inachanganya siasa na dola, ukumbuke kila mtanzania anahusika katika kujenga nchi, hivyo tenganisha technocrats na CCM,
2. Mhe. Membe ametoboa siri ya mbinu za CCM kupata ushindi - mbinu za chini ya jukwaa la siasa,
3. Kama vyama vingine vinashinda kihalali, kwa nini wasiaongoze nchi ili tuone uwezo wao, mbona tumejaribisha watu miaka ya nyuma wakawa wabovu na muda wao ulipoisha waliondoka?

Video kwa ajili ya namba 2.

 
Sisi tunazungumzia maendeleo wewe unaleta mambo ya kilimo, vipi wewe? Kuna nchi unayofahamu kwamba iliendelea kutokana na agric. revolution? Taja moja tu!

Wewe ni CHADEMA? Naona unatetea kama M/kiti vile! Binafsi naona kama unapoteza muda. Kama unajua kuna wizi wa kura, unashiriki uchaguzi ili ukusaidie nini? Usishiriki mchezo wa wezi, wa kijinga!
 

Mi sijakuelewa sifa ya kutawala nchi kivipi Kwani si kuna Sifa ya mtu kuhombea urais ambayo imeainishwa kisheria unataka sifa ya kutawala kivipi Kwani mtu mkishatawala anaruhusiwa kugombea tena ili aomekane ana usoefu.hivi kuna kazi gani kuwatawala watanzania
 
UPUUZI MTUPU! Hiyo tathmini kwamba upinzani hauna sifa ya kutawala Nchi uliufanya lini na wapi? Na ulitumia vigezo gani kufikia hitimisho lako? Tuondolee UPUMBAVU wako hapa!
Pole Boss! Ulidhani kazi yetu ni kuilaani CCM tu kila siku bila kuangalia baada ya CCM nani anafaa? Kwa mfano, Kama hata nawe una nafasi CHADEMA, hainekani kama unafaa kwa lolote, labda upate nafasi ya kusimama nyuma ya mgombea.
 
Kukosa mbadala ? Mbadala wa kina Gwajima na Sabaya na kina James ninaowajua mimi au ?
Sasa hawa utawaondoa na kuweka form 6 wa zamani? Mbowe? Mnyika? Kigaila? ........ naona wamekwisha wengine sijui darasa la 4?
 
Acha ujinga wewe! Nani alikuyekudanganya kila mtu anataka kuwa mwanasiasa? Kupinga maovu ya KICHAA na maccm haina maana nataka kuwa mwanasiasa.

Sasa unahitimisha vipi Chadema hawafai kwa kuimba kama kasuku tu? Ukiulizwa ni vigezo vipi ulivyovitumia unang’aa macho!? 😳

Pole Boss! Ulidhani kazi yetu ni kuilaani CCM tu kila siku bila kuangalia baada ya CCM nani anafaa? Kwa mfano, Kama hata nawe una nafasi CHADEMA, hainekani kama unafaa kwa lolote, labda upate nafasi ya kusimama nyuma ya mgombea.
 
Pole sana kwa maumivu! Historia ya michango yako mizuri kwa serikali ndani ya JF iliishia safari zilipozuiliwa. Ndo maisha hayo! Pokea haki yako, achana na misheni za kijiweni.
 
Acha kujibaraguza kama vile unanifahamu. Mie na kijiweni wapi na wapi? 😳😳

Pole sana kwa maumivu! Historia ya michango yako mizuri kwa serikali ndani ya JF iliishia safari zilipozuiliwa. Ndo maisha hayo! Pokea haki yako, achana na misheni za kijiweni.
 
Sasa hawa utawaondoa na kuweka form 6 wa zamani? Mbowe? Mnyika? Kigaila? ........ naona wamekwisha wengine sijui darasa la 4?
CHADEMA ina wasomi wengi tu. Wako majimboni. Na utawaona wengi tu bungeni msimu huu
 
Hapo kwenye jazba umenena,sijui waliambiwa wapi jazba na matusi Ni sifa.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…