Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Kwanza naomba kuweka tahadhali kuwa upumbavu sio tusi bali ni hali ya kutokumia akili ili kug'amua na kufanya maamuzi sahihi.
Mdee na wenzake wamepigwa chini kwenye ombi lao sasa ndio nini?
Mnapiga mayowee kama vile hamna akili? Mnasahau kuwa katiba ya nchi inasiginwa kila siku? Very stupid.
Duru za ndani zinadai kuwa Ngorongoro kuna crisisi kubwa na shaba zilitembea.
Wamasai kibao wameumizwa na kupotea japokuwa ukweli hauwekwi wazi. CCM wameona walinyamazishe hili kwa danganya toto ya katiba mpya.
Ccm hii ikubali kuwa na katiba itakayoruhusu tume huru? Itakayoruhusu matokeo ya urais kupingwa na wakurugenzi wasiibe uchaguzi?