Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
SAWA.Kwanza naomba kuweka tahadhali kuwa upumbavu sio tusi bali ni hali ya kutokumia akili ili kug'amua na kufanya maamuzi sahihi.
Yaani, badala ya kutumia busara zaidi kwa kuwashirikisha wananchi wa maeneo hayo, na kujaribu kuwapa mantiki ya zoezi lako linaloendelea, sasa mie naona vile kutumia 'nguvu na raslimali nyingi' unnecessarilly' kama ndio italeta suluhisho la kudumu. Sie masikio yetu tu, labda 'wahamiaji ndio sababu kuu ya vurugu.Wameongezea na operation ya uhamiaji ya 10 days ngoja tuone ngonjera zao za kuwahadaa walipa kodi!
Kumbuka msemo wa Sugu; au huu: "tumbo likichafuka lazima uende wapi? Na usipoenda ndiyo mwisho wa safari yako!"Kwanza naomba kuweka tahadhali kuwa upumbavu sio tusi bali ni hali ya kutokumia akili ili kug'amua na kufanya maamuzi sahihi.
Mdee na wenzake wamepigwa chini kwenye ombi lao sasa ndio nini?
Mnapiga mayowee kama vile hamna akili? Mnasahau kuwa katiba ya nchi inasiginwa kila siku? Very stupid.
Duru za ndani zinadai kuwa Ngorongoro kuna crisisi kubwa na shaba zilitembea.
Wamasai kibao wameumizwa na kupotea japokuwa ukweli hauwekwi wazi. CCM wameona walinyamazishe hili kwa danganya toto ya katiba mpya.
Ccm hii ikubali kuwa na katiba itakayoruhusu tume huru? Itakayoruhusu matokeo ya urais kupingwa na wakurugenzi wasiibe uchaguzi?
Kwanza naomba kuweka tahadhali kuwa upumbavu sio tusi bali ni hali ya kutokumia akili ili kug'amua na kufanya maamuzi sahihi.

Nimekulia hapa hapa tz, sijafika hata Burundi, lakini lazima niseme sijui kama kuna watu wanajiofanya wanajua na wasioeleweka kama watz.........ni kulalama lalama tuuuu muda wote kama wanawake walioolewa matala. Hatueleweki tunataka nn, tunasimamia nn na wala tunamuhitaji nani!
Kwenye huu ujinga wa kuongeaongea kingese, nitaendelea kuihusudu ile mbinu ya marehemu ya kuwafirimbia mbali waropokaji maana hakuna maana na wala hakuna utofauti.
Inawezekana pana ukweli fulani kwenye hoja yako ila napenda ufahamu kuwa suala la Katiba Mpya ni letu Wananchi na siyo suala la CCM.Mgogoro wa Ngorongoro ni kati ya Wananchi na serikali ya CCM ambayo imeshauza ardhi ya Wananchi kwa wawekezaji na tutasimama nao hadi kieleweke.Kwanza naomba kuweka tahadhali kuwa upumbavu sio tusi bali ni hali ya kutokumia akili ili kug'amua na kufanya maamuzi sahihi.
Mdee na wenzake wamepigwa chini kwenye ombi lao sasa ndio nini?
Mnapiga mayowee kama vile hamna akili? Mnasahau kuwa katiba ya nchi inasiginwa kila siku? Very stupid.
Duru za ndani zinadai kuwa Ngorongoro kuna crisisi kubwa na shaba zilitembea.
Wamasai kibao wameumizwa na kupotea japokuwa ukweli hauwekwi wazi. CCM wameona walinyamazishe hili kwa danganya toto ya katiba mpya.
Ccm hii ikubali kuwa na katiba itakayoruhusu tume huru? Itakayoruhusu matokeo ya urais kupingwa na wakurugenzi wasiibe uchaguzi?
Hapa Tanzania kila anayehoji lolote linalotendwa na serikali ya CCM anapatikana na hatia ya kutokuwa raia,uchochezi au kukwepa kodi/uhujumu uchumi.Wameongezea na operation ya uhamiaji ya 10 days ngoja tuone ngonjera zao za kuwahadaa walipa kodi!
Mama hana tamaa ya madaraka, hana roho ya kukunja subiri uone show. Alishasema kuwa atafanya maamuzi ambayo anajua yataathiri hata nafasi yake ya Urais uchaguzi ujao ila hajali.Kwanza naomba kuweka tahadhali kuwa upumbavu sio tusi bali ni hali ya kutokumia akili ili kug'amua na kufanya maamuzi sahihi.
Mdee na wenzake wamepigwa chini kwenye ombi lao sasa ndio nini?
Mnapiga mayowee kama vile hamna akili? Mnasahau kuwa katiba ya nchi inasiginwa kila siku? Very stupid.
Duru za ndani zinadai kuwa Ngorongoro kuna crisisi kubwa na shaba zilitembea.
Wamasai kibao wameumizwa na kupotea japokuwa ukweli hauwekwi wazi. CCM wameona walinyamazishe hili kwa danganya toto ya katiba mpya.
Ccm hii ikubali kuwa na katiba itakayoruhusu tume huru? Itakayoruhusu matokeo ya urais kupingwa na wakurugenzi wasiibe uchaguzi?
Wameiiba katiba mpya kama walivuofanya wakati ule.CCM hawawezi kutaka katiba mpya.Kwanza naomba kuweka tahadhali kuwa upumbavu sio tusi bali ni hali ya kutokumia akili ili kug'amua na kufanya maamuzi sahihi.
Mdee na wenzake wamepigwa chini kwenye ombi lao sasa ndio nini?
Mnapiga mayowee kama vile hamna akili? Mnasahau kuwa katiba ya nchi inasiginwa kila siku? Very stupid.
Duru za ndani zinadai kuwa Ngorongoro kuna crisisi kubwa na shaba zilitembea.
Wamasai kibao wameumizwa na kupotea japokuwa ukweli hauwekwi wazi. CCM wameona walinyamazishe hili kwa danganya toto ya katiba mpya.
Ccm hii ikubali kuwa na katiba itakayoruhusu tume huru? Itakayoruhusu matokeo ya urais kupingwa na wakurugenzi wasiibe uchaguzi?
Kwanza naomba kuweka tahadhali kuwa upumbavu sio tusi bali ni hali ya kutokumia akili ili kug'amua na kufanya maamuzi sahihi.
Mdee na wenzake wamepigwa chini kwenye ombi lao sasa ndio nini?
Mnapiga mayowee kama vile hamna akili? Mnasahau kuwa katiba ya nchi inasiginwa kila siku? Very stupid.
Duru za ndani zinadai kuwa Ngorongoro kuna crisisi kubwa na shaba zilitembea.
Wamasai kibao wameumizwa na kupotea japokuwa ukweli hauwekwi wazi. CCM wameona walinyamazishe hili kwa danganya toto ya katiba mpya.
Ccm hii ikubali kuwa na katiba itakayoruhusu tume huru? Itakayoruhusu matokeo ya urais kupingwa na wakurugenzi wasiibe uchaguzi?
Hilo nalo ni swali fikirishi !!Kwanza naomba kuweka tahadhali kuwa upumbavu sio tusi bali ni hali ya kutokumia akili ili kug'amua na kufanya maamuzi sahihi.
Mdee na wenzake wamepigwa chini kwenye ombi lao sasa ndio nini?
Mnapiga mayowee kama vile hamna akili? Mnasahau kuwa katiba ya nchi inasiginwa kila siku? Very stupid.
Duru za ndani zinadai kuwa Ngorongoro kuna crisisi kubwa na shaba zilitembea.
Wamasai kibao wameumizwa na kupotea japokuwa ukweli hauwekwi wazi. CCM wameona walinyamazishe hili kwa danganya toto ya katiba mpya.
Ccm hii ikubali kuwa na katiba itakayoruhusu tume huru? Itakayoruhusu matokeo ya urais kupingwa na wakurugenzi wasiibe uchaguzi?
Akiweza atakuwa amejitengenezea legacy kubwa ya kukumbukwa !! Narudia ! Akiweza !!Mama hana tamaa ya madaraka, hana roho ya kukunja subiri uone show. Alishasema kuwa atafanya maamuzi ambayo anajua yataathiri hata nafasi yake ya Urais uchaguzi ujao ila hajali.
Imesababishwa na Katiba Tuliyo nayo imewabemenda!Kizazi kilichopo cha wapinzani hakina political readiness ya kwenda toe to toe na CCM. Wataendelea kukumbuka shuka kukishakucha!