Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Upo sahihi. Kama hauna ulaji haujengwi. Mfano jezi, jamaa kakosa mgao akaamua kutumia cheo chake kuwa mkali japo apate kituHuu ndio ukweli wenyewe.
Makonda anajiona akisema ni dunia nzima imesema.Wewe Tulia acha hizo "Jezi za Taifa stars hazina ubora" Jezi za taifa stars ni bora"...Ukisikia Panya wanakimbizana ndani jua Paka hayupo au amelala.
Gharama zimepanda wajameni, hamuoni hapo nondo, mbao, cement na kokoto zimetumika ?Huu ndio ukweli wenyewe. Miradi mingi imekuwa ikionhezea bei tofauti na gharama halisi.
Barabara ya Morogoro imebomolewa na kujengwa zaidi ya mara tatu, kwanini wasingeipanua mara moja na kujenga barabara itakayodu kwa miaka 50 ijayo? Jibu ni kwamba kwenye ubomozi kuna hela na kwenye ujenzi kuna hela zinazopigwa. Pia kuna mambo ya upembuzi yakinifu, mshauri, na ujinga mwingi.
View attachment 3679259
Kile chama cha China cha Ji pingNi chama gani kina nia ya kuleta maendeleo?