Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Wana JF salaam,
CDM, CUF, NCCR, ACT na vyama vingine vya siasa nchini, fahamuni kwamba kufunguliwa kwa mikutano nchini si sababu ya kutumia lugha za ajabu na zinazochafua image ya Rais wetu Samia Suluhu Hassan.
Wataokashindwa kutumia Uhuru wa kutoa maoni, kukusanyika na kuanza siasa za kupakana matope, kuzuliana, na kukashifu kiti cha Rais; nasema CCM tutashughulika nao. Lakini pia ifahamike kwamba CCM hatupo tayari kupoteza Jimbo hata moja la uchaguzi ifikapo 2025. So, ndoto zenu zipunguzeni. Nitarudi kuwakumbusha.
Msakila Kabende,
Kakonko.