Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Itakua haelewi,uishi karibu na Burundi ,Rwanda uelewe mikutano hiyoUnaelewa maana ya Mikutano ya siasa?
Mbona mmeanza kujihami mapema hivyo?. Mnajua bibi alikuwa anazunguka huko duniani na hakuna lolote alilofanya mnafikiri upinzani utaacha kusema ukweli?. Mnafikiri watageuka chawa na kuanza kumsifia?.WanaJf,
Salaam!
CDM, CUF, NCCR, ACT na vyama vingine vya siasa nchini - fahamuni kwamba kufunguliwa kwa mikutano nchini si sababu ya kutumia lugha za ajabu na zinazochafua image ya Rais wetu Samia Suluhu Hassan.
Watakashindwa kutumia Uhuru wa kutoa maoni, kukusanyika na kuanza siasa za kupakana matope, kuzuliana, na kukashifu kiti cha Rais nasema CCM tutashughulika nao. Lkn pia ifahamike kwamba CCM hatu tayari kupoteza Jimbo hata moja la uchaguzi ifikapo 2025. So, ndoto zenu zipunguzeni. Nitarudi kuwakumbusha.
Msakila Kabende
Kakonko.
Watu wako makini na taifa lao, Urais ni kitu GANI ? Taifa kwanza Urais uja na kuondoka ila taifa lipo miaka nenda Rudi ,acheni Mambo ya kitoto nyie mjiitao Wana ccmWana JF salaam,
CDM, CUF, NCCR, ACT na vyama vingine vya siasa nchini, fahamuni kwamba kufunguliwa kwa mikutano nchini si sababu ya kutumia lugha za ajabu na zinazochafua image ya Rais wetu Samia Suluhu Hassan.
Watakashindwa kutumia Uhuru wa kutoa maoni, kukusanyika na kuanza siasa za kupakana matope, kuzuliana, na kukashifu kiti cha Rais; nasema CCM tutashughulika nao. Lakini pia ifahamike kwamba CCM hatupo tayari kupoteza Jimbo hata moja la uchaguzi ifikapo 2025. So, ndoto zenu zipunguzeni. Nitarudi kuwakumbusha.
Msakila Kabende,
Kakonko.
Umeandika upumbavu mwingi sana. Mikutano ipo kikatiba, kama kuna watu wanachafua taswira ya Rais ni wa huko huko CCM ambao wamechukizwa na maridhiano yanayoendelea na si wengine bali ni wale wafuasi wa marehemu maarufu kama Sukuma Gang. Na tunazo taarifa zenu kuwa mumeandaa watu wa kuja kuleta fujo kwenye mikutano yetu ili ionekane kuwa mikutano hiyo ni chanzo cha uvunjifu wa amani ili kuweka uhali wa zuio haramu la mikutano hiyo kama alivyowadanganya yule mwovu.Wana JF salaam,
CDM, CUF, NCCR, ACT na vyama vingine vya siasa nchini, fahamuni kwamba kufunguliwa kwa mikutano nchini si sababu ya kutumia lugha za ajabu na zinazochafua image ya Rais wetu Samia Suluhu Hassan.
Watakashindwa kutumia Uhuru wa kutoa maoni, kukusanyika na kuanza siasa za kupakana matope, kuzuliana, na kukashifu kiti cha Rais; nasema CCM tutashughulika nao. Lakini pia ifahamike kwamba CCM hatupo tayari kupoteza Jimbo hata moja la uchaguzi ifikapo 2025. So, ndoto zenu zipunguzeni. Nitarudi kuwakumbusha.
Msakila Kabende,
Kakonko.
Watu kama wewe ndio mnafanya ccm ionekane ni Chama Cha Mambuzi.Wana JF salaam,
CDM, CUF, NCCR, ACT na vyama vingine vya siasa nchini, fahamuni kwamba kufunguliwa kwa mikutano nchini si sababu ya kutumia lugha za ajabu na zinazochafua image ya Rais wetu Samia Suluhu Hassan.
Watakashindwa kutumia Uhuru wa kutoa maoni, kukusanyika na kuanza siasa za kupakana matope, kuzuliana, na kukashifu kiti cha Rais; nasema CCM tutashughulika nao. Lakini pia ifahamike kwamba CCM hatupo tayari kupoteza Jimbo hata moja la uchaguzi ifikapo 2025. So, ndoto zenu zipunguzeni. Nitarudi kuwakumbusha.
Msakila Kabende,
Kakonko.
Nakufananisha na kahaba mmoja hivi tena mpumbavu kabisa. Wewe ni nani nchi hii?Wana JF salaam,
CDM, CUF, NCCR, ACT na vyama vingine vya siasa nchini, fahamuni kwamba kufunguliwa kwa mikutano nchini si sababu ya kutumia lugha za ajabu na zinazochafua image ya Rais wetu Samia Suluhu Hassan.
Watakashindwa kutumia Uhuru wa kutoa maoni, kukusanyika na kuanza siasa za kupakana matope, kuzuliana, na kukashifu kiti cha Rais; nasema CCM tutashughulika nao. Lakini pia ifahamike kwamba CCM hatupo tayari kupoteza Jimbo hata moja la uchaguzi ifikapo 2025. So, ndoto zenu zipunguzeni. Nitarudi kuwakumbusha.
Msakila Kabende,
Kakonko.
Mental illness. It is called MNS, meaning Mental, Neurological disorder and Substance misuse(abuse). Ndicho kinachokusumbua mkuu. Ila usikate tamaa, matibabu yapo na unapona. Pole.Wana JF salaam,
CDM, CUF, NCCR, ACT na vyama vingine vya siasa nchini, fahamuni kwamba kufunguliwa kwa mikutano nchini si sababu ya kutumia lugha za ajabu na zinazochafua image ya Rais wetu Samia Suluhu Hassan.
Watakashindwa kutumia Uhuru wa kutoa maoni, kukusanyika na kuanza siasa za kupakana matope, kuzuliana, na kukashifu kiti cha Rais; nasema CCM tutashughulika nao. Lakini pia ifahamike kwamba CCM hatupo tayari kupoteza Jimbo hata moja la uchaguzi ifikapo 2025. So, ndoto zenu zipunguzeni. Nitarudi kuwakumbusha.
Msakila Kabende,
Kakonko.
Nilijua hamtakubali kuchafuliwa kwa mwenyekiti wa CCMWana JF salaam,
CDM, CUF, NCCR, ACT na vyama vingine vya siasa nchini, fahamuni kwamba kufunguliwa kwa mikutano nchini si sababu ya kutumia lugha za ajabu na zinazochafua image ya Rais wetu Samia Suluhu Hassan.
Watakashindwa kutumia Uhuru wa kutoa maoni, kukusanyika na kuanza siasa za kupakana matope, kuzuliana, na kukashifu kiti cha Rais; nasema CCM tutashughulika nao. Lakini pia ifahamike kwamba CCM hatupo tayari kupoteza Jimbo hata moja la uchaguzi ifikapo 2025. So, ndoto zenu zipunguzeni. Nitarudi kuwakumbusha.
Msakila Kabende,
Kakonko.
Mbona hujiamini, unatapatapa kana kwamba unataka kuzama kwenye maji.Wana JF salaam,
CDM, CUF, NCCR, ACT na vyama vingine vya siasa nchini, fahamuni kwamba kufunguliwa kwa mikutano nchini si sababu ya kutumia lugha za ajabu na zinazochafua image ya Rais wetu Samia Suluhu Hassan.
Watakashindwa kutumia Uhuru wa kutoa maoni, kukusanyika na kuanza siasa za kupakana matope, kuzuliana, na kukashifu kiti cha Rais; nasema CCM tutashughulika nao. Lakini pia ifahamike kwamba CCM hatupo tayari kupoteza Jimbo hata moja la uchaguzi ifikapo 2025. So, ndoto zenu zipunguzeni. Nitarudi kuwakumbusha.
Msakila Kabende,
Kakonko.
Ni vizuri sasa wasaidizi wa Rais wakamsaidia kwa ushauri ili asije akaboronga.Wana JF salaam,
CDM, CUF, NCCR, ACT na vyama vingine vya siasa nchini, fahamuni kwamba kufunguliwa kwa mikutano nchini si sababu ya kutumia lugha za ajabu na zinazochafua image ya Rais wetu Samia Suluhu Hassan.
Watakashindwa kutumia Uhuru wa kutoa maoni, kukusanyika na kuanza siasa za kupakana matope, kuzuliana, na kukashifu kiti cha Rais; nasema CCM tutashughulika nao. Lakini pia ifahamike kwamba CCM hatupo tayari kupoteza Jimbo hata moja la uchaguzi ifikapo 2025. So, ndoto zenu zipunguzeni. Nitarudi kuwakumbusha.
Msakila Kabende,
Kakonko.
Atakae mkashfu rais sheria zipotu, ashughulikiwe kikamilifu.Wana JF salaam,