CCM hatutakubali taswira ya Rais kuchafuliwa, kuruhusiwa mikutano isiwe kisingizio

Kunguni...
 
kawatishe babu yako na bibi yako huko kijijini kwenu sitimbi.
 
Uelewa wako mdogo sana kuhusu Mikutano ya Kisiasa
 
Natumai wewe ni mmoja wa waanzilishi wa.. CHAWA WA MAMA!!!
 
Natumai wewe ni mmoja wa waanzilishi wa.. CHAWA WA MAMA!!!
Hapana, hata fasiri ya neno chawa siifahamu ila kweli nina vimelea vya CCM
Hata hivyo opposition parties nawapenda pia na siungi dhuruma dhidi yao
 
Wewe ni kiazi....
 
Teuzii zimeishaaa, kaa kwa [emoji360].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha unaa wewe!
 
Umeandika weye peke yako au mlikuwa chawa mmejikusanya?
 
Kama ccm itakaa kimya marais wastaafu au marehemu kukashifiwa majukwaani kwa uongo basi wawe tayari kuona samia naye anakashifiwa.
Wapo wananchi wapo tayari kuwavaa wapinzani kama lissu wakileta zao za kumkashifu jpm nakuleta propaganda za kizandiki kama walivyoandaliwa huko the hague na mabeberu.
 
Kuna nini mbona mnajihami mno? Subirini mikutano ianze mjibu hoja kwa hoja
 
Muanze nyinyi kwanza kuacha kuchafua image za watu huku mitaani maana tunasikia mnacho kitengo maalumu cha kuchafua watu wale mnaowaogopa !!
 
Basi na mkemee yale ambayo yanachangia kuleta uhasama kwa jamii ya Mtanzania, yale ambayo ni hatarishi kwa afya ya Jamii za Watanzania! Msijizimie akili na kutazama Raisi tu au Dola tu ndizo sehemu mku tayari kuchora mstari chini....

Watanzania/Wananchi ndiye aliyewapa dhamana hivyo basi tunawategemea mtetee image ya Watanzania wote na sio Ofisi kuu tu! msitukoroge wapiga kura kwa vita zenu baridi baina yenu. Wacheni hadaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…