CCM hatutakubali taswira ya Rais kuchafuliwa, kuruhusiwa mikutano isiwe kisingizio

Hivi unakaa Kakonko ipi na busara ndogo kiasi hiki? Kakonko ninayoijua Mimi, Busanda au Magamba?
 
Kama wewe ndo umepewa jukumu la kutangaza matokeo Basi mtashinda majimbo yote
 
Wale akina MABULA wa Ilemela na Nyamagana pressure imegoma kushuka.

Kila utakalowauliza wanajibu "mama" utadhani mama ndo atagombea ubunge ktk majimbo yao😃😃
 
Jpm hakuwa malaika, tutaanika usanii wake hadharani
 
Hivi unakaa Kakonko ipi na busara ndogo kiasi hiki? Kakonko ninayoijua Mimi, Busanda au Magamba?
Wewe unajua Kakonko ipi,chatuna Busanda (Kasanda); Magamba (Mabamba) hata hivyo hii iko Kibondo.
Wapi nimekosa busara?
 
Rais mwenyewe anakiri kuwa ni mchafu na ana chawa wengi
 
Bangi tu hizo, ungejua ccm ilivyo chosha watu ungekaa kimya tu badala ya kuandika huu upumbavu uliyo andika.

Ccm mpaka wanaamua kufanya kazi ya kuiba kura kwenye kila uchaguzi, wanajua maana yake.
 
Sisi watanzania wenye akili timamu hatuwezi kukubari kiongozi wetu wa nchi akachafuliwa kwaiyo asieweza kufranya siasa za kistaarabu ataaga mashindano mapema sana
 
Sisi watanzania wenye akili timamu hatuwezi kukubari kiongozi wetu wa nchi akachafuliwa kwaiyo asieweza kufranya siasa za kistaarabu ataaga mashindano mapema sana
Exactly!
Lzm ustarabu tuupe kipaumbele cha kwanza - hawa CDM hawa only time
 
Kaa ulee ujauzito wako dada angu mambo ya kujifanya unapiga mkwala wakati ur just a fuckn Lady ni kujivunjia heshima dada angu better ukae kimya kuficha stress zako narudia ur just nothing
 
Kama mtu ni msafi, uchafu anakuwanao kivipi? Kwani makubaliano si hoja kwa hoja, na sio hoja kwa mtutu wa bunduki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…