Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu nawasilimia kwa jina la kivumbi cha Lissu 
Hii ndio sehemu CCM inawapiga gap sana CHADEMA na vyama vingine vya upinzani.
CCM hawakurupuki kwenye moves zao, kuanzia juu mpaka kwa mjinga wa mwisho. Yaani wanahakikisha kila mtu kaelewa script yake, iwe ni mambo kishetani au mazuri wanahakikisha mambo yanakuwa executed flawlessly.
Ikitokea kuna mjinga kaenda nje ya script fasta anashughulikiwa kuhakikisha anarudi ndani ya mstari na ikishindikana kabisa analiwa kichwa na kupumzishwa kwa muda au inakuwa ntolee, yaani wanampoteza kabisa kisiasa (au kwa namna ile).
Nadra sana kuona CCM wanarushiana vijembe hovyo hovyo halafu ikawa out of hand.
Sasa kwa wenzangu na mimi CHADEMA na vyama vingine vya upinzani, wakigombana kila kitu kiko wazi hadi adui anapata pa kuwachapia, mkifanyiwa fitna badala ya kudeal nayo mnaparuana wenyewe kwa wenyewe adui anapata point.
Hapo mlipo mpo wachache, bado manendeleza ujinga! Mtapotea kama walivyopotezwa wenzenu, na hata hawahangaiki sana, wanatumia mbinu zile zile sababu wanajua hamuwezi kuchomoka. Badala ya kuwa kitu kimoja mnaonana threats.
CCM wana ujinga mwingi ila kwenye kupanga mipango yao na kuhakikisha inafanikiwa kwa umoja wapo vizuri. Chukueni somo humo wananchi tupate upinzani wa kweli wenye faida. Shughulikieni hivyo virusi na mjifunze kwa wenzenu.
Mmeangusha sana watanzania waliokuwa na matumaini angalau CHADEMA ina ka nuru ka kuitetemesha CCM, mmekuwa wapumbavu ambao hamna maana, bogus kabisa. Vijana CHADEMA ndio upuuzi kabisa, badala ya matusi wekezeni kwenye kuimarisha vijana wenye akili, wanaowakabili wapinzani wao kwa hoja.
Embu jiokoteni na kuleta upinzani wenye tija, mnatuchosha na mambo kipuuzi.