Jamiitrailer
Member
- Oct 20, 2019
- 80
- 208
Mkuu, ccm ilishajifia zamani sana.Usilinganishe ccm na vyama vingine kwa kuwa kitu cha kwanza ni chama kilichokaa madarakani ivyo kinapata sapoti kutoka kwenye vyombo vya Dola kumshughulikia yeyote anayekwenda tofauti nao,,pili ni chama kikongwe kinajua Kila aina ya figisu na namna ya kuzikabili kimfumo,,kwa maana iyo uwezi kuwalinganisha na hivi vyama vingine ambavyo havina resource za kutosha,,wakati huo njaa ya baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani inatumiwa na chama tawala kuvivuruga vyama ivyo!
Hicho anachokisema huyo bwana kwamba ccm inafinya watu wake ndani,kimsingi siyo ccm..ni dola. Ukitaka kuamini hilo mfano mdogo tu wa Lowassa alipoweka nia kugombea urais 2015. Wajumbe wote wa NEC na Kamati kuu ya ccm karibu wote walikuwa upande wa Lowassa,..na kama dola isingeingilia na kulazimisha chaguo lao Magufuli awe mgombea wa ccm..,mgombea wa ccm angekuwa Lowassa,na kamwe Mafufuli asingeshinda kwa sababu alikuwa na watu wachache waliomuunga mkono. Na Jakaya alikuwa hana jeuri ya kukiuka maamuzi ya dola na kumbeba rafiki yake.
kimsingi Chadema inashindana na dola,siyo na ccm kivile...kwa vile dola ndo inayoiba kura kwa niaba ya ccm.
Nnachosema hapa ni kwamba ccm haina hata ubavu wa kumchagua mgombea au viongozi wao kwa nguvu ya mkutano mkuu. Wanapangiwa na dola.
Dola pia wanaingilia chaguzi za vyama vya upinzani..wakitaka watu ambao watakuwana ushaiwshi juu yao ndo wawe viongozi. Ikishafika hatua hiyo ndipo unaona hela zinamwagwa kwa baadhi ya wanachama ili wafanye dola inachotaka. Dola inaogopa mtu mwenye msimamo
