CCM hawakurupuki kwenye mambo yao na mtu akizingua anafinywa ndani huwezi kuta wanaparuana nje. Hapa ndio CHADEMA mnafeli

CCM wanatumia polisi kuwatisha watu wao mumesahau ya NAPE bila polisi ccm 🚻
 
CCM ukiongelea hadharani unauawa. Ndugai alitoa maoni ya kweli kabisa unakumbuka alivyosulubiwa?
Alijisulubu yeye mwenyewe. Barua ya kujiuzulu alisema ameamua kwa hiari yake bila kushurutishwa na mtu. Na akaangua na Saini.
Alipotea kidogo tu barua aliipeleka kwa katibu wa chama badala ya katibu wa bunge. Na kupotea bungeni kwa muda mrefu watu wakadhani alikua amewekwa under house arrest, kumbe ni Soni tu ya kuachia ukubwa.
 
Kitu ambacho Chadema wanafanyia ndiyo demokrasia ya kweli. Mtu ana uwezo wa kumpinga mwenyekiti bila kuogopa. Siamini kama nyiye man uwezo wa kushindana na mwenyekiti. Wengi wanaogopa kuliwa kichwa. CCM Ina wenyewe mkuu wengine ni wasindikizaji. Kuna mengi ya CCM tunajua tunabaki kuangalia tu.
 
Wakuu nawasilimia kwa jina la kivumbi cha Lissu :BearLaugh:

Hii ndio sehemu CCM inawapiga gap sana CHADEMA na vyama vingine vya upinzani.

CCM hawakurupuki kwenye moves zao, kuanzia juu mpaka kwa mjinga wa mwisho. Yaani wanahakikisha kila mtu kaelewa script yake, iwe ni mambo kishetani au mazuri wanahakikisha mambo yanakuwa executed flawlessly.

Ikitokea kuna mjinga kaenda nje ya script fasta anashughulikiwa kuhakikisha anarudi ndani ya mstari na ikishindikana kabisa analiwa kichwa na kupumzishwa kwa muda au inakuwa ntolee, yaani wanampoteza kabisa kisiasa (au kwa namna ile).

Nadra sana kuona CCM wanarushiana vijembe hovyo hovyo halafu ikawa out of hand.

Sasa kwa wenzangu na mimi CHADEMA na vyama vingine vya upinzani, wakigombana kila kitu kiko wazi hadi adui anapata pa kuwachapia, mkifanyiwa fitna badala ya kudeal nayo mnaparuana wenyewe kwa wenyewe adui anapata point.

Hapo mlipo mpo wachache, bado manendeleza ujinga! Mtapotea kama walivyopotezwa wenzenu, na hata hawahangaiki sana, wanatumia mbinu zile zile sababu wanajua hamuwezi kuchomoka. Badala ya kuwa kitu kimoja mnaonana threats.

CCM wana ujinga mwingi ila kwenye kupanga mipango yao na kuhakikisha inafanikiwa kwa umoja wapo vizuri. Chukueni somo humo wananchi tupate upinzani wa kweli wenye faida. Shughulikieni hivyo virusi na mjifunze kwa wenzenu.

Mmeangusha sana watanzania waliokuwa na matumaini angalau CHADEMA ina ka nuru ka kuitetemesha CCM, mmekuwa wapumbavu ambao hamna maana, bogus kabisa. Vijana CHADEMA ndio upuuzi kabisa, badala ya matusi wekezeni kwenye kuimarisha vijana wenye akili, wanaowakabili wapinzani wao kwa hoja.

Embu jiokoteni na kuleta upinzani wenye tija, mnatuchosha na mambo kipuuzi.
CCM wana serekali bila serekali CCM ni zaidi ya genge la machokoraa.
 
Mkuu ukweli ni very subjective Topic..

Kwenye siasa hakuna mkweli wala ukweli, kuna muda na wakati....

Usimwamini mwanasiasa hata siku moja.. angalia trend...

Hoja za Rushwa TL anaziibua kipindi anahitaji kugombea Chairmanships ya CDM.

For the solid 20 years TL hakuwahi kuona Rushwa CDM, imeanza leo?

Pesa za Sabodo zilikuwa ni za bure?
Fedha alizotoa Mustapha Sabodo hazikuwa rushwa.
Sabodo aliandika barua ya wazi kwa rais/mwwnyekiti wa ccm akilalamika upigaji unaofanywa serikalini, tofauti na malengo ya ccm kama ilivyokuwa wakati wa Nyerere.
Alisema anasikitika kuona yeye wafanyabiashara fulani wapigaji na wakwepa kodi wanavyohujumu nchi na serikali ya ccm kutochukua hatua.
Sabod hakujibiwa na mwenyekiti wake. Ndipo akasema hadharani atatoa mchango wake kwa Chadema ili zisaidie katika mikakati yao kwa vile kuibua kwao upigaji kunawafanya waonekane wazalendo kwa nchi kuliko walioko madarakani.
Hiyo utaiitaje rushwa?
 
Wakuu nawasilimia kwa jina la kivumbi cha Lissu :BearLaugh:

Hii ndio sehemu CCM inawapiga gap sana CHADEMA na vyama vingine vya upinzani.

CCM hawakurupuki kwenye moves zao, kuanzia juu mpaka kwa mjinga wa mwisho. Yaani wanahakikisha kila mtu kaelewa script yake, iwe ni mambo kishetani au mazuri wanahakikisha mambo yanakuwa executed flawlessly.

Ikitokea kuna mjinga kaenda nje ya script fasta anashughulikiwa kuhakikisha anarudi ndani ya mstari na ikishindikana kabisa analiwa kichwa na kupumzishwa kwa muda au inakuwa ntolee, yaani wanampoteza kabisa kisiasa (au kwa namna ile).

Nadra sana kuona CCM wanarushiana vijembe hovyo hovyo halafu ikawa out of hand.

Sasa kwa wenzangu na mimi CHADEMA na vyama vingine vya upinzani, wakigombana kila kitu kiko wazi hadi adui anapata pa kuwachapia, mkifanyiwa fitna badala ya kudeal nayo mnaparuana wenyewe kwa wenyewe adui anapata point.

Hapo mlipo mpo wachache, bado manendeleza ujinga! Mtapotea kama walivyopotezwa wenzenu, na hata hawahangaiki sana, wanatumia mbinu zile zile sababu wanajua hamuwezi kuchomoka. Badala ya kuwa kitu kimoja mnaonana threats.

CCM wana ujinga mwingi ila kwenye kupanga mipango yao na kuhakikisha inafanikiwa kwa umoja wapo vizuri. Chukueni somo humo wananchi tupate upinzani wa kweli wenye faida. Shughulikieni hivyo virusi na mjifunze kwa wenzenu.

Mmeangusha sana watanzania waliokuwa na matumaini angalau CHADEMA ina ka nuru ka kuitetemesha CCM, mmekuwa wapumbavu ambao hamna maana, bogus kabisa. Vijana CHADEMA ndio upuuzi kabisa, badala ya matusi wekezeni kwenye kuimarisha vijana wenye akili, wanaowakabili wapinzani wao kwa hoja.

Embu jiokoteni na kuleta upinzani wenye tija, mnatuchosha na mambo kipuuzi.
CCM DAIMA SAMIA MITANO TENA
 
Ungesema mtu akizingua anaweza pewa kesi uraia. Au uhujumu uchumi. Sasa chadema nje ya kumfuta mtu uanachama watafanya nini maana wao sio watawala hawawez kumpa mtu kesi
 
Kabla ya kumuamini Lisu moja kwa moja someni kitabu kinachoitwa "The dangers of a single story" mwandishi ni Chimamanda Adichie.
 
Unamkumbuka JAK ZOKA? Mtu yeyote anayejua siasa za Nchi hii huwezi kuilaumumu chadema kwa kushindwa kuwadhibiti wapenzi wake.

1. Ccm inatumia dola kudhibiti wapinzani wa nje na ndani.(tiss)
2. Upinzani ukitumia mbinu hizohizo za ccm za kudhibiti upinzani wa ndani mfano (kuteka na kuuwa) itakuwa ni jinai ambayo kule kwa ccm hutawaona polisi na mahakana ila yakifayika hayo kwa upinzani haraka sana utawaona policcm na mahakana on the crime scene.
Shortly ccm ni mafia gang.
 
Usilinganishe ccm na vyama vingine kwa kuwa kitu cha kwanza ni chama kilichokaa madarakani ivyo kinapata sapoti kutoka kwenye vyombo vya Dola kumshughulikia yeyote anayekwenda tofauti nao,,pili ni chama kikongwe kinajua Kila aina ya figisu na namna ya kuzikabili kimfumo,,kwa maana iyo uwezi kuwalinganisha na hivi vyama vingine ambavyo havina resource za kutosha,,wakati huo njaa ya baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani inatumiwa na chama tawala kuvivuruga vyama ivyo!
Nguvu kubwa ya vyama tawala kwa nchi masikini ni serikali na vyombo vya dola wakati upinzani hutegemea watu binafsi.
Vyama vingi vya upinzani hushindwa kujiendesha au kukua kwa sababu ya u masikini, hivyo kubaki kuwepo kwa majina tu.
 
Wakuu nawasilimia kwa jina la kivumbi cha Lissu :BearLaugh:

Hii ndio sehemu CCM inawapiga gap sana CHADEMA na vyama vingine vya upinzani.

CCM hawakurupuki kwenye moves zao, kuanzia juu mpaka kwa mjinga wa mwisho. Yaani wanahakikisha kila mtu kaelewa script yake, iwe ni mambo kishetani au mazuri wanahakikisha mambo yanakuwa executed flawlessly.

Ikitokea kuna mjinga kaenda nje ya script fasta anashughulikiwa kuhakikisha anarudi ndani ya mstari na ikishindikana kabisa analiwa kichwa na kupumzishwa kwa muda au inakuwa ntolee, yaani wanampoteza kabisa kisiasa (au kwa namna ile).

Nadra sana kuona CCM wanarushiana vijembe hovyo hovyo halafu ikawa out of hand.

Sasa kwa wenzangu na mimi CHADEMA na vyama vingine vya upinzani, wakigombana kila kitu kiko wazi hadi adui anapata pa kuwachapia, mkifanyiwa fitna badala ya kudeal nayo mnaparuana wenyewe kwa wenyewe adui anapata point.

Hapo mlipo mpo wachache, bado manendeleza ujinga! Mtapotea kama walivyopotezwa wenzenu, na hata hawahangaiki sana, wanatumia mbinu zile zile sababu wanajua hamuwezi kuchomoka. Badala ya kuwa kitu kimoja mnaonana threats.

CCM wana ujinga mwingi ila kwenye kupanga mipango yao na kuhakikisha inafanikiwa kwa umoja wapo vizuri. Chukueni somo humo wananchi tupate upinzani wa kweli wenye faida. Shughulikieni hivyo virusi na mjifunze kwa wenzenu.

Mmeangusha sana watanzania waliokuwa na matumaini angalau CHADEMA ina ka nuru ka kuitetemesha CCM, mmekuwa wapumbavu ambao hamna maana, bogus kabisa. Vijana CHADEMA ndio upuuzi kabisa, badala ya matusi wekezeni kwenye kuimarisha vijana wenye akili, wanaowakabili wapinzani wao kwa hoja.

Embu jiokoteni na kuleta upinzani wenye tija, mnatuchosha na mambo kipuuzi.
Sisi CCM hata sumu huwa tunapeana kimya kimya kama alivyofanywa Mangula.
 
Usilinganishe ccm na vyama vingine kwa kuwa kitu cha kwanza ni chama kilichokaa madarakani ivyo kinapata sapoti kutoka kwenye vyombo vya Dola kumshughulikia yeyote anayekwenda tofauti nao,,pili ni chama kikongwe kinajua Kila aina ya figisu na namna ya kuzikabili kimfumo,,kwa maana iyo uwezi kuwalinganisha na hivi vyama vingine ambavyo havina resource za kutosha,,wakati huo njaa ya baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani inatumiwa na chama tawala kuvivuruga vyama ivyo!
Kwani hao CHADEMA ni mawe hawawezi kujiongeza na kujifunza? Hata ukiweka dola pembeni, CCM wanajua jinsi ya kupangilia their 'shit'
 
1. Tunataka kutoka katika ushetani huo
2. Tunataka usafi uanzie ndani ya chama hadi serikalini.
3. Kwa tabia hiyo ya ccm ndio maana taifa limeoza kwa rushwa na hakuna msafi wa kukemea.
4. Timeanza matengenezo yenye maumivu makali kwa kuanza kusafishana uvundo wa miaka mingi ndani ya chama.
5. Mbowe pumzika imetosha umekula sana na genge lako
Hata sijaelewa, ushetani wa kujua jinsi ya kujipanga na kumvuruga mpinzani wako?
 
DEMOKRASIA ya CHADEMA ndio Demokrasia halisi, hata US watu huwa wanapeana MAKAVU hadharani, haya mambo ya kufichaficha ya CCM ni Legacy ya Ukomunisti wa Nyerere ya kuogopana.

Kudos CHADEMA kwa kuweka mambo hadharani kudos Lissu kwa kuwaumbua wala RUSHWA, huko CCM wala RUSHWA wanalindwa na kwenye Vikao vyao vya ndani ukiwasema wala RUSHWA unatengenezewa Zengwe au hata kuwekewa Sumu kwenye Kinywaji au Chakula.
Mkuu unatupiga hapa, kwamba nje unakuta upande mmoja unaparuana hivi bila stratergy utafikiri hawana vichwa?🤔
 
Membe aliwavua nguo mchana kweupe kabisa

Kolimba je? Mpaka akauwawa

Amnina chifupa je? Mpaka akauwawa

Hakuna kitu Kama hicho watu wajinga wajinga ndio uwa hawaelezi ukweli na ndio wengi CCM halafu na wengi ni mafisadi ndio maana uwa wanaogopa wakijua kabisa wakiongea tu kinaumana!!!
Hao mafisadi si ni chain Mkuu, mpaka mtu anatoka kuongea kuna mtu anakuwa kazingua, lkn huko mwanzo kote wanaenda kama timu... kama nilivyosema, wapo vizuri kwenye mipango iwe MIBAYA au mizuri, na ikitokea imeshindakana kudeal nae ndani wana🌚🌚..... unapojifunza kwa mwenzako hutakiwi kuwa zuzu na kubeba kila kitu hadi cha ovyo, inabidi uboreshe uwazidi na kete
 
..Ccm kuna nidhamu kwasababu Mwenyekiti ni Amiri Jeshi Mkuu kwa hiyo ukileta za kuleta anakutumia wanausalama.

..sijui kama unakumbuka tukio la Hussein Bashe kutekwa kabla ya vikao vya Ccm. Sasa mazingira kama hayo ndio yanayofanya Ccm waufyate na waonekane wana nidhamu.
Hili sina ufahamu nalo Mkuu, bila discipline sehemu yoyote lazima kitu kife, hawahitaji kuwa na amiri jeshi ili wawe disciplined
 
..Mwenyekiti wa Ccm anakata wagombea walioshinda kura ya maoni kwasababu anajua ana vyombo vya dola nyuma yake. Na waliokatwa hawafurukuti sio kwasababu wana nidhamu bali kwasababu ya kuogopa mamlaka ya kijeshi aliyonayo Mwenyekiti wa Ccm.
 
Back
Top Bottom