CCM hawakurupuki kwenye mambo yao na mtu akizingua anafinywa ndani huwezi kuta wanaparuana nje. Hapa ndio CHADEMA mnafeli

Tufanye uchaguzi uwe huru sio siku ya uchaguzi uvccm wavamie vituo kutoa mawakala wa upinzani!
 
Tatizo mbowe alipata zero na hana elimu. Unategemea nini kikundi cha uanaharakati. Ni ajabu eti kila kiongozi hata wa ngazi za chini ana mkia. Yaani hawana kabisa utaratibu wa uongozi ni kama ilivyo kwa wana harakati
 
Issue ya rushwa za Abdul kwa Chadema sio propaganda .

Ukweli unamweka Tundu Lissu huru.
N8neshangaa sana hoja serious kama hii, tena ambayo haijajibiwa, ineitwa propaganda.

Tundu Lissu aliitwa na chama kuhojiwa, akahojiwa, tena kwa kurekodiwa mahojiano, kitu ambacho hakijawahi kutokea.

Ali protest kwa nini mnanirekodi? Mwisho akakubali.

Baada ya kuhojiwa, akaomba zike taoes alivyorekodiwa, CHADEMA wamekataa kumpa mpaka leo, na zike rekodi wamezificha hawataki zisikike.

Kwa sababu mambo anayosema Lissu hadharani hata robo ya mambo halisi hayafiki.
 
Tatizo mbowe alipata zero na hana elimu. Unategemea nini kikundi cha uanaharakati. Ni ajabu eti kila kiongozi hata wa ngazi za chini ana mkia. Yaani hawana kabisa utaratibu wa uongozi ni kama ilivyo kwa wana harakati
Mkuu,

Nikimsikiliza Mbowe na Lissu naona kabisa tofauti ya kielimu.

Kwa mtu anayejua mantiki ukimsikiliza Mbowe unaona kabisa huyu mjanjamjanja tu, hana logical consistency wala depth.
 
Daah vilaza mna taabu sana, ushaambiwa mambo yanayogusa umma hayaongelewi. Chumbani. Ndo maana CCM NI MAJIZI NA YANALINDANA
 
Mkuu,

Nikimsikiliza Mbowe na Lissu naona kabisa tofauti ya kielimu.

Kwa mtu anayejua mantiki ukimsikiliza Mbowe unaona kabisa huyu mjanjamjanja tu, hana logical consistency wala depth.
Lissu hana uelewa mpana wa uchumi kuliko Mbowe, anajua sheria na historia zaidi.
 
Mkuu, utatoka CCM na kwenda kurusha vijembe dola ikuache? Knachoisadia CCM ni kwa sababu ni chama-dola na kimeshika madaraka. Nadhani unakumbuka spika Ndugai alivyotolewa kibabe baada ya kusema ukweli. Utoke CCM halafu umseme Samia kama Msigwa anavyomsema Mbowe halafu wakuache mtaani? Labda ile CCM ya zamani ya kina Mwinyi ndiyo ilikuwa na uvumulivu kidogo. Hii ya sasa hata kukuua ni mara moja.
 
Mkuu,

Nikimsikiliza Mbowe na Lissu naona kabisa tofauti ya kielimu.

Kwa mtu anayejua mantiki ukimsikiliza Mbowe unaona kabisa huyu mjanjamjanja tu, hana logical consistency wala depth.
Lisu anaweza kujenga hoja na uwezo mkubwa wa kuchambua mambo. Tatizo lake kubwa tu ni hana flexibility, yaani akitokea kadanganywa basi anashikilia hicho hicho yaani akili ya kusikiliz wengine hana sana. Ndiyo maana hata akigombea tena urais hawezi shinda. Hiyo NGO wakitaka ipate unafuu waweke wenyeviti vijana kama Heche ila angalizo siasa za kuitukana CCM hazina afya zaidi ya kujenga chuki.
 
Wanatumia dola. Utatishwa kufikisiwa, kuondolewa upendeleo na vueo.

Sasa upinzani unataka watishane kwa ajili ya nini? Kuwa kiongozi tu wa chama ni mzigo.
 
Ccm
Chukua
Chako
Mapema

Sisiemu Asali inamfikia kila MTU hicho ndo kinawabeba nimewahi kufanya Kazi CCM katika level za chini Sana

So hela ya ruzuku na ya ..... Zilikuwa zinatufikia
CCM inasaidiwa na dola. Ikishindwa uchaguzi inafutika kwenye uso wa dunia.
 
Lissu hana uelewa mpana wa uchumi kuliko Mbowe, anajua sheria na historia zaidi.
Hakuna uchumi usio na legal framework.

Mbowe kafanya nini kwenye uchumi? Ana distinction gani?
 
Kuitukana CCM ni vipi na kuiambia CCM ukweli ni vipi na unatofautishaje?

Lissu kaitukana vipi CCM? Weka mfano hapa.
 
Ivii izi Uzii za Chadema mtaaziandikaa adi lini ngie machawaa??maaana mnazido kufanya Chadema inazidi kuwa popular.
 
So,
kwahiyo CCM wanafinyia kwa ndani right?

halafu chadema wana bwekabweka tu bila uratibu right?🐒
 
Haiwezekani rushwa ndani ya CHADEMA ikawa imeanza miaka 3 tu iliyopita?
Pesa za Sabodo zilikuwa rushwa kivipi??
Mkuu heshima kwako,

unadhani Marehem Sabodo alikuwa anaendesha agenda gani kufund CDM na CCM at the same time?

Hizo fedha zilikuwa zimetoka kwenye mapato gani yaliyolipiwa kodi?

Nani anajua?

Tunatengeneza watakatifu kwenye siasa only for dissapointment in the near future...
 
Pamoja na kauli za "SUMU HAIONJWI"
 
Ni kweli ccm, hawapendi ushetani wao uwekwe wazi wewe Lilia chinichini tu, hukumbuki yaliyompata Mzee Horace Kolimba (aliwahi kuwa katibu mkuu ccm)alivyoibuka na hoja ya ccm imepoteza dira, alivyoitwa kwenye kamati hakurudi tena, alipotea yeye mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…