CCM huu mfumo wa uongozi wa Mwenyekiti wa Wilaya na mikoa unawasadiaje mbona wizi wa fedha za serikali ni mkubwa maeneo hayo?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Ukimsikiliza makonda kwenye mikutano yake ,inaonyesha ccm imeshindwa kuisimamia serikali ngazi ya wilaya na mikoa.

Hao wenyeviti wa ccm wilaya na mikoa,kupitia kamati za siasa wanashindwa kukagua miradi na kutoa taarifa mapema hadi milioni 600 zinaibiwa?

Hizo kamati za siasa za wilaya zinafanya biashara Gani kama sio kuisimamia serikali kwa kukagua miradi kabla makonda hajafika eneo husika!
 
Mwenyekiti jukumu lake ni kuasaini form ya mgombea uraisi akishirikiana na wajunbe wa kamati kuu ,kupokea viongozi wa juu wa chama. Lakini wajibu wake namba moja wa kuisimamia serikali wanajiweka pembeni.
 
Back
Top Bottom