THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
- Thread starter
-
- #21
Kwanza kitendo cha kuwa na vyama pinzani vingi tu ni ishara kwamba hata wao kwa wao ni wapinzani baina yao,hivyo hakuna cha maana watakacgofanya zaidi ya kelele
Kama kilivyo chama Cha mapinduzi kimejaza wasaka tonge, walafi na wanafiki tuNiwashauri tu vijana. Hii nchi haina wapinzani, ina wasaka tonge tu. Wasitumike kisiasa na hawa watu kwa maslahi yao na familia zao.
KATIBA mpya hata Mimi naihitaji,
Ila kwa kuongozwa na nani SASA??
Friends and Enemies,
From Monopartisim to Multipartism 1992 to 1995,nchi yetu imepitia chaguz kadhaa ambazo tunaweza sema nchi bado ilikua changa kwenye Siasa za vyama vingi,na wakati mwingine tunaweza sema kwamba tumepitia siasa ya aina yetu na ya kipekee kama Taifa ambayo hatuwez jifananisha na nchi yoyote ya kiafrika kwa ujumla,
Mfano mzur wa nchi ya kidemokrasia kwa Afrika ni Ghana,wengine tuna safar ndefu kidogo ila ni muhim kuzid kujenga vyama imara vya upinzan ambavyo vitakuwa tayar kuongoza nchi bila ya kuwa na chembe chembe za ubaraka kutoka nchi za magharibi,
Tuwe wakweli,kuongoza Taifa siyo jambo la kufanya Rehearsal ndug zangu,wapinzan tulionao bado wanatia shaka Sana kuwaamin na kuwapa Dola waongoze,labda kama watashirikishwa kwenye serikali ya mseto lakin kiukweli hawana misimamo yenye kueleweka kias Cha kufikia sisi kuwaamin na kuwapa ridhaa ya kuongoza Dola,
Wakati mwingine tuna piga Kura kuwapa upinzan siyo kwamba tuna amin Wana uwezo huo,Bali ni kukosa matumain na baadhi ya mienendo ya CCM,sasa CCM ikijirekebisha na kuwatumikia watanzania kwa haki na usawa,upinzan huu tulionao hautaweza fananishwa hata kidogo na uongoz wa ccm,
Wapinzani tunawahitaji kwa mustakabali wa Taifa letu lakini wana Kazi ya kufanya kwa miongo kadhaa kupata ukomavu huo wa kuongoza Dola.
Ningekuwa sijaolewa ningekushawishi tuoane halafu turudi CCM. Hakuna upinzani nchi hii kuna wachumia tumbo tu.Viongoz wenyewe wa upinzan hata ukiwangalia hawaish hiyo demokrasia wanayoihubir,mwangale profesa lipumba,kila siku yeye tuh,mwangale mbowe,kila siku yeye tuh,mwangalie mbatia na kadhalika,why hawatengenez generations za uhakika na kukasim madaraka kwao??
Nikipata nafasi ya kutoa maoni yangu kwenye mchakato wa katiba mpya nitapendekeza kila chama cha siasa kiwe na jeshi lako ili kuondoa utataWewe ndo huwa unaamua nani akamate dola au laah? Kama nchi iliweza kusimamiwa na wakolomije, nani atashindwa?! Imagine mwakilishi wa Rais wa nchi ktk wilaya ya Hai alikuwa Ole Sabaya. Aiseee?!
Ni hatari sana kumuweka mwenye njaa.Yaani utoe alieshiba ulete ambae hajala?
Kujikomba kwa ccm ndo shida kubwa nchi hii, hivi mazingira ya siasa nisafi kiasi cha kuwezesha vyama vikue na kujiimarisha kuchukua dola?Friends and Enemies,
From Monopartisim to Multipartism 1992 to 1995,nchi yetu imepitia chaguz kadhaa ambazo tunaweza sema nchi bado ilikua changa kwenye Siasa za vyama vingi,na wakati mwingine tunaweza sema kwamba tumepitia siasa ya aina yetu na ya kipekee kama Taifa ambayo hatuwez jifananisha na nchi yoyote ya kiafrika kwa ujumla,
Mfano mzur wa nchi ya kidemokrasia kwa Afrika ni Ghana,wengine tuna safar ndefu kidogo ila ni muhim kuzid kujenga vyama imara vya upinzan ambavyo vitakuwa tayar kuongoza nchi bila ya kuwa na chembe chembe za ubaraka kutoka nchi za magharibi,
Tuwe wakweli,kuongoza Taifa siyo jambo la kufanya Rehearsal ndug zangu,wapinzan tulionao bado wanatia shaka Sana kuwaamin na kuwapa Dola waongoze,labda kama watashirikishwa kwenye serikali ya mseto lakin kiukweli hawana misimamo yenye kueleweka kias Cha kufikia sisi kuwaamin na kuwapa ridhaa ya kuongoza Dola,
Wakati mwingine tuna piga Kura kuwapa upinzan siyo kwamba tuna amin Wana uwezo huo,Bali ni kukosa matumain na baadhi ya mienendo ya CCM,sasa CCM ikijirekebisha na kuwatumikia watanzania kwa haki na usawa,upinzan huu tulionao hautaweza fananishwa hata kidogo na uongoz wa ccm,
Wapinzani tunawahitaji kwa mustakabali wa Taifa letu lakini wana Kazi ya kufanya kwa miongo kadhaa kupata ukomavu huo wa kuongoza Dola.
Katika bandiko lake, ni kipengele gani kinaonyesha ana udini???Nimekusoma dogo una uccm asilimia 99 Ila udini unakusumbua.
Kwani mkuu haupo CCM?? Mbona unafeli sasa??Ningekuwa sijaolewa ningekushawishi tuoane halafu turudi CCM. Hakuna upinzani nchi hii kuna wachumia tumbo tu.
Chama cha mapinduzi ndio chama kilichopigania uhuru wa nchi hii.Kama kilivyo chama Cha mapinduzi kimejaza wasaka tonge, walafi na wanafiki tu
Kujikomba kwa ccm ndo shida kubwa nchi hii, hivi mazingira ya siasa nisafi kiasi cha kuwezesha vyama vikue na kujiimarisha kuchukua dola?
Kila siku dola inavikandamiza vyama visipate nguvu na ushawishi ili vichukue dola
Dola inaogopesha watu watu wenye nguvu na mvuto ujiunga na vyama I'll kuvipa nguvu
Kwa kuwa Raisi ni muislam umejitokeza kuviponda vyama, ili kuisifia serekali dhaifu kuliko hivyo vya
Mbona wakati Rais mkristo mliufyata? Mlikuwa kila siku mnaswekwa magerezani na hamkutishia kuandamana. Leo mmefutiwa kesi, mmepewa uhuru wa kufanya siasa ndio mnatishia kuingia barabarani...hatudanganyikiKujikomba kwa ccm ndo shida kubwa nchi hii, hivi mazingira ya siasa nisafi kiasi cha kuwezesha vyama vikue na kujiimarisha kuchukua dola?
Kila siku dola inavikandamiza vyama visipate nguvu na ushawishi ili vichukue dola
Dola inaogopesha watu watu wenye nguvu na mvuto ujiunga na vyama I'll kuvipa nguvu
Kwa kuwa Raisi ni muislam umejitokeza kuviponda vyama, ili kuisifia serekali dhaifu kuliko hivyo vyama
Tatizo mimi ni mraibu wa haki. Upande wa haki ndo naegemeaKwani mkuu haupo CCM?? Mbona unafeli sasa??
Mkuu, si umemuona mtenda haki mama yetu mama Samia Suluhu Hassan??? Tumuunge mkono yeye na chama chake aendelee kutenda haki.Tatizo mimi ni mraibu wa haki. Upande wa haki ndo naegemea
Succession Plan yao ni kina Mdude js imagine!!Viongoz wenyewe wa upinzan hata ukiwangalia hawaish hiyo demokrasia wanayoihubir,mwangale profesa lipumba,kila siku yeye tuh,mwangale mbowe,kila siku yeye tuh,mwangalie mbatia na kadhalika,why hawatengenez generations za uhakika na kukasim madaraka kwao??
Wanamlazimisha mama awaalike ikuluππππIkulu wataendelea kuiona kwenye TV
Kwa kejeli hizi?.Wanamlazimisha mama awaalike ikuluππππ