CCM ijitathmini irekebishe madhaifu yake, ijenge umoja iendelee kuongoza Taifa. Hatuna wapinzani nchi hii

Kwa miaka 60,Bado unataka ccm waendelee kupewa nafasi ya kujirekebisha!?unataka wapewe muda gani Tena?kama wameshindwa kwa miaka 60,wataweza kwa miaka mingapi?
Kama ufisadi wa Richmond,meremeta,escrow,haukuwabsdirisha,unataka nini kiwabadirishe?
Wapinzani umewapima kwa lipi?maana hawajawahi kutawala,
Kama ccm unaowazungumzia ni hawa wanaoomba waongezewe posho,na walipwe kwa dola kama wabunge wa Mataifa mengine.basi ndugu yangu inabidi uende mirembe ukapimwe kichwa
 
Wapinzani hawa type ya akina Mbowe, Sugu, Lema na huyu kichaa aliyetoka jela jana, ni bora ccm iongoze milele
 
Mkuuu umeandika kwa hisia sana ambae hatakuelewa basi .

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Poleni sana,
Kwa hiyo mwataka 'upinzani' wenu tu akina TLP, CUF, PONA na NCCR ndio uendelee kuwapo. Ili iweje?
Hata hao sio wapinzani ni wachumia tumbo tu.

Hakuna upinzani wa vyama vingi,upinzani unakuwa mmoja tu.

Hakuna NCCR wala CUF wala takataka gani hayo yote ni maigizo tu basi.

Hakuna upinzani nchi hii watu wote ni wachumia tumbo,wainzani wanapinga kwa maslahi ya matumbo yao
 
Two wrongs don't make a right. Kwa vile Nyerere alikaa madarakani miaka 24 ndio excuse ya kiongozi wa upinzani kukaa madarakani miaka 17? And why Nyerere na sio Mwinyi, Mkapa au Jk?

Uko sahihi sana kwa huu utetezi wako, lakini ccm bado inang'ang'ania madarakani. Hiyo inaleta urahisi wa hao viongozi wa ccm kupishana. Kwa maneno marahisi huko ccm wanabadili sura tu lakini chama ni kile kile. Fuatilia vizuri uchaguzi wa mwenyekiti wa ccm, umeshawahi kuona kiongozi anapata kura 100% bila hata kura moja kuharibika?! Chahali wakati mwingine ni bora kutulia tu.

Hata hivyo mimi sio muumini wa kiongozi kukaa madarakani zaidi ya miaka kwenye nafasi moja ya kuchaguliwa. Uzoefu unaonyesha baada ya miaka 10, ubora wa kiongozi huanza kushuka na kutawala kwa mabavu na mizengwe. Mifano halisi ya viongozi waliotawala kwa zaidi ya miaka 10 na kuishia kuharibu mazuri yao.
  1. Julius Nyerere
  2. Mugabe
  3. Moi
  4. Gaddaf
  5. Elbashir
  6. Hosni Mubaraka
  7. Paul Biya
  8. Museveni
  9. Kagame
  10. Fidel Castro
  11. Saddam Husseni
 
Wapinzani hawa type ya akina Mbowe, Sugu, Lema na huyu kichaa aliyetoka jela jana, ni bora ccm iongoze milele

Wapinzan wenyewe ndiyo hawa watu kama Vicent Mashinji, Mwita waitara, Joshua Nassari, Wibroad Slaa na wengine wengi,Peter lijualikali...

Waganga Njaa tuh,hawa unawapa nchi asbh tuh wanakusaliti kwa nchi za magharibi...

Hawana misimamo yenye kueleweka
 
Salaam Aleykum sheikh!Najua huipendi CCM ila kwa kuwa kiongozi aliyepo ni wa dini basi huna budi.

Bila shaka utabaki huko mpaka hapo mgalatia atakapopokea kijiti ndo urudi tena CUF ama ACT.

Udini ni sumu mbaya sana Dunia hii
 
Salaam Aleykum sheikh!Najua huipendi CCM ila kwa kuwa kiongozi aliyepo ni wa dini basi huna budi.

Bila shaka utabaki huko mpaka hapo mgalatia atakapopokea kijiti ndo urudi tena CUF ama ACT.

Udini ni sumu mbaya sana Dunia hii

Wapinzan gan SASA,

Mbowe??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…