Uchaguzi 2020 CCM ikianguka, kitachofuata ni Magufuli na timu yake kutakiwa kujiuzulu nafasi zao ndani ya CCM

Wewe unampenda sio watanzania wote kwa kipi kumfanya apendwe?sema wewe sio watanzania,wasingemzomea bukoba,umeona musoma mjini?hakuna kondeboy Wala Domo kaya.
Angalia hapa chini! Au hawa siyo watz?
Your browser is not able to display this video.
 
Nasema hivi sio msukuma bali analazimisha kutembelea nyota ya wasukuma. Imeisha hiyo.
Wasukuma wana nyota gani kama sio kugubikwa na ukabila!
 

Elimu sasa hivi ni bure, rudi shule ukajifunze kuandika, ukifaulu uje ujadiliane na wanaume hapa jukwaani. Imeisha hiyo.
 
Wasukuma wana nyota gani kama sio kugubikwa na ukabila!

Asingejinasibisha na usukuma kama hawana nyota yoyote. Anajua fika wasukuma ni kabila lenye watu wengi, hivyo akaiigiza yeye ni msukuma atapata kura zao. Tumemuona na kumsikia akiongea kisukuma kwenye kampeni hizi, mbona hajaongea kizinza kama sio anatembelea nyota ya wasukuma?
 
Hao profesaional hitmen wanaowafundisha kutunga props za uongo waambieni Tanzania ni zaidi ya waijuavyo.

Wewe mwenyewe kwa nafsi yako unajua kabisa Loketo hafikishi hata robo ya kura zitakazopigwa
 



Mbona huwa anaongea lugha nyingi tu hata kimasai, kigogo, kihehe, kichaga nk wacha ukabila ni sumu. Utamfahamu ndege kwa kuruka kwake, vipi mlevi wa Konyagi amepona?
 
Mbona huwa anaongea lugha nyingi tu hata kimasai, kigogo, kihehe, kichaga nk wacha ukabila ni sumu. Utamfahamu ndege kwa kuruka kwake, vipi mlevi wa Konyagi amepona?

Narudia tena huwa haongei lugha nyingine bali husalimia kwa kubabiababia kwa lugha nyingine, ila kwa kisukuma anaongea mfululizo, na wala haongei hivyo kwa bahati mbaya, bali anaongea hivyo rasmi ili kupata kura za kabila la wasukuma. Imeisha hiyo.
 
Wasukuma wenyewe hawamtaki huku
 
Wajaribu waone. Wakijaribu kufanya hivyo, hiyo tarehe ya jana wataikumbuka maisha yao yote, kama watakuwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app


Inategemea na wananchi wa Eneo husika

Kuna hujuma nyingi...Wanaweza kukataa kuwaapisha mawakala au kuchelewa au kupiga chenga

Siku ya Kura, wanazuia mawakala kuingia.

Je wananchi watachukua hatua gani
 
Hata Lissu mlisema hatoweza kurudi nchini.
Nilisikia na maneno mengine wakisema jina lake litakatwa NEC. Mpaka hapo ni ushindi kwa Lisu maana amebaki yeye peke yake anayemchallenge Rais, kibaya zaidi akiendelea na ile kauli yake ya kwamba akishinda asitangazwe hatamwachia Mungu, ni kauli inayofikirisha sana maana kwa spirit ninayoiona mtaani kwa vijana akisema watu waingie barabarani hakika patawaka moto.NEC wasimame na haki tu .
 
Time will tell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…