Uchaguzi 2020 CCM ikianguka, kitachofuata ni Magufuli na timu yake kutakiwa kujiuzulu nafasi zao ndani ya CCM

Hujawahi kumpenda Lissu hata siku moja maana usingemzushia uwongo wa kitoto namna hiyo. Lissu hajawahi kusema hivyo na hatawahi kusema hivyo. Uwongo wa bei rahisi kama huo hakuna mtanzania anayeweza kuutunga isipokuwa mmoja tu nae ni Meko maana ndo mwenye uwezo wa level hiyo ya kufikiri
 
Nani alisema hatarudi? Sisi tulijua mapema tu lini atarudi na kwa sababu gani na nia yake inajulikana lakini mpaka sasa ameshapigwa bao 3 kwa 0. Subiri uone baada ya uchaguzi ndiyo utajua TZ kwa intel ni mwisho wa maneno....!!
Je unajua mpaka polis kwa sasa hawamtaki Jiwe?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndiyo huelewi na hueleweki.
 
Kwao wapi? Huyo ni ngosha na sisi akina ngosha huwa hatutishwi na mtu kwa taarifa yako!
Twende mbele turudi nyuma JIWE kila kitu chake kina utata, kuanzia elimu yake mpaka uraia, mark my words baada ya September Mh Lissu kuwa Rais kila kitu kitajulikana. Ndege wafananao huruka pamoja, refere Bashite na Jiwe

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: UCD
Wapi alisema anatoa kodi halafu mishahara atalipaje. Nyie hata mtu aongeeje lazima tu mtaleta yenu.

Uelewa mdogo sana ndio maana hata darasani lazima wa kuvuta mkia wawepo tu.
 
Wakati huo naomba nikujibu kuwa mtafute na vitanda mkalale mana ccm hawezi shindwa hasa na chama ambacho kinataka kuweka rehani rasilimali za Taifa lake View attachment 1582062
Nilisoma upuuzi huu kama sikosei darasa la nne mwanzoni mwa 70s hadithi ya kibanga kampiga mkoloni, nikamuona ni shujaa mkubwa. Leo hii wapuuzi mnaleta hadithi za mazungumzo baada ya habari hivi nyinyi ni:

1,mmerogwa

2,vichaa

3,mnatumia matumbo yenu kufikiria

4,wapumbavu

5,wanafiki

6,majuha au?
 
Sasa mapovu ya nini? Tuamini upumbavu kama wewe?

Miaka 59 ya uhuru akina Magufuli na chama chao wamefanya nini kututoa kwenye umasikini?
 
Watanzania wapi hao? Watanzania timamu wote kwa pamoja tunasema ushindi kwa Lissu

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app

Haya maneno ni yakuwaambia wana CCM ambao hawaifahamu Chadema, wakati CCM inafanya kampeni nchi nzima wakati huu, Kila jimbo, kila tarafa, kila Kata, Kila Kitongoji Chamema wameng'ang'ania Lissu na maeneo machache ya mijini halafu unategemea matokeo chanya, acheni kujidanganya.

Mimi najua tatizo liko wapi kwa Chadema, you can only fool the fools lakini sio waelewa. Na mnajidanganya kuwa chadema waelewa labda ? ndio maana mnaungozi wa juu kabisa wa Chama wa wajinga ni kujivika ujinga na kuuamini. Werevu karibu wote wamesepa.

The best faculties of this land belongs to CCM. You will only know this fact only when you cross over to this side. CCM Oyeeeeeeee.
 
Sasa mapovu ya nini? Tuamini upumbavu kama wewe?

Miaka 59 ya uhuru akina Magufuli na chama chao wamefanya nini kututoa kwenye umasikini?

Wewe sio masikini ila ni mvivu tuu. Na hata baada ya miaka 10000 bado watu kama nyie mtakuwepo tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…