Uchaguzi 2020 CCM ikianguka, kitachofuata ni Magufuli na timu yake kutakiwa kujiuzulu nafasi zao ndani ya CCM

Wewe sio masikini ila ni mvivu tuu. Na hata baada ya miaka 10000 bado watu kama nyie mtakuwepo tuu.
Naweza kuwa mvivu lakini wewe mpumbavu, Korea kusini kwenye 60s walikuwa masikini leo matajiri, je hazikuwa approach sahihi ya viongozi wao? Au walikuwa masikini sababu ya uvuvi? Pathetic fool
 
Ndoto za mchana!!
 
Anyway, where is Jiwe as he was supposed to be in Iringa if am not misteken

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Afu mbona hamkubali mdahalo ?

midahalo si watu waliosoma arts ndo wanaweza. magufuli mdahalo sio rahisi awe mtalamu wa midahalo maana yeye route yake ni PCM.
PHD ya chemistry, na uyo aliechukua diploma ya HGE huoni tafauti apo? its very unlikely utakuta mtu wa science yupo kwenye midahalo rather than research and activities, tuseme mfano corona ilivoingia tanzania
ingekua ni president wa midahalo waulize kenya wanapitia nn saaahv, sasa uzuri wa phd ya chemistry unajitokeza apa! kwanza watu wa science hata mwandiko hua ni ugly, lakini kwenye decision kaa mbali
 
Afu mbona hamkubali mdahalo ?

madhara ya kua na mtu wa diploma si unaona sasa: anakwambia miundo mbinu haina kazi, ndege hazina kazi wakati wao wanapanda kama kawaida, anasema barabara hazina faida, treni naskia anasema haina umuhimu juzi nlikua naskiliza youtube kasema ongezeko la mazao pia sio maendeleo, WTF is wrong with you people
 
Anyway, where is Jiwe as he was supposed to be in Iringa if am not misteken

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app

His Ecellence the President will be in Iringa from tomorrow to lead the biggest assault to remove non-descript in Iringa and Mbeya.
Msigwa na Sugu nanihiii tayari imegota kwenye chupi.

A good opportunity, the Chadema party I want is coming into benign.
 

Ume nyoosha, hao mambulula wengine taabu kulijua hili.
 
Hio miradi inagusa wachache,mfano tz nzima wenye kumudu kupanda ndege awafiki hata milioni moja,ndege zote zimeajiri watu 404 zimegharimu zaidi ya tirioni moja, wakati hio tilioni moja ingewekwa kwwenye kilimo ingeajiri zaidi wa watu milioni 3 kwa faida endelevu.Hata hio sgr ikikamilika ambayo still chance ya kukamilika Ni zero Nani atamudu nauli yake.Usishangilie ndege Hali hata uwezo wa kununua muhogo huna
 
Yupo Dodoma na watendaji, wakurugenzi anapanga goli la mkono a.k.a. ushindi wa mezani
Asijaribu hilo wataishia the Hague milango ipo wazi kupokea wahalifu.
Yule mwanasheria wa Robert kiboko ya madikteta ana file kesi moja kwa moja the Hague,
Pia police sio wa kuwategemea itakula kwao Wana hasira mbaya ya miaka 5 bila nyongeza ya mishahara
 
Saccos yako ishajifia, Chadema sasa kila mtu akikataa mmebaki wakereketwa wa mitandaoni tu. October 28,tunawakata ngebe.
 
Unakosea sana, viongozi wa aina hiyo huwa hawatoki madarakani kwa style hiyo. Huwa wanang'ang'ania ila mambo yakigeuka husepa mapema, mpaka vumbi litulie matokeo yatoke, unakuta tayari kashafika kwa "Mr Nose"
 

ndo maana nkasema mwanzoni, wewe ni shangazi yake lissu! u will never understand economics,
1) kwenye uchumi wowote lazima kue na watu ambao maisha kwao ni magumu, na sio tatizo its slogan ya dunia ilivo,
2) umaskini sio sera, umaskini upo ndan ya mtu mwneyewe, unaweza zaliwa kama mkimbizi na ukatoka kimaisha, mf. ZIMBABWE hawana hata pesa ya nchi kwa sababu ilishakufa thamani , but wana bilionea kwenye list ya matajiri dunia, as i said before kuelewa economics hutaweza
3) serikali kazi yake ni kuweka sera tu, 99% depends on you! unaweza ukawa unaisha tanzania lakini unafanya kazi nje ya nchi na unalipwa nje ya nchi
4) hakuna mtu anakomolewa kwa sababu mm nko tanzania na nafanya biznez zangu na maisha yapo poa kabisa, sina cheo chochote na sjawhi fanya siasa na sjawahi ajiriwa na hata shule skumaliza
5) diplomasia sio sheria, i.e kama mahusiano hayana beneficiary hayana umuhimu kuwepo, saudi arabia, cuba, china, afganistan and russia hawana central bank kama BOT , hawahifadhi hata dola infact china wameshachoma majengo ya ubalozi wa marekani kitambo na kufungia mitandao yao, je wamekufa?

6)serikali haimiliki pesa, infact wenyewe wanategemea kodi kupata mapato ya kujiendesha,! unahitaji shule zaidi
7) hakuna nchi inaweza kuajiri wananchi wake wote, pesa sko zote ni limited, wale watakaofanya kazi kwa bidii watazipata! kuna mwanasayansi mmoja alishawahi kusema. ukichukua pesa zote duniani na kugawa kwa wananchi wote duniani, kila mtu atapata ~50M TSH lakini baada ya mwaka ztarudi kwa wale wale waliokua wanazimiliki kabla( wafanya biashara)


8) ndege sku zote znapandwa na watu wachache duniani kote na mashirika mengi tu duniani wanarusha ndege zkiwa na wtu wachache na zingine znaacha biashara kabisa, which is very normal but same time kuna umuhimu sana wa kuwepo nazo, fuatilia south african airways, thomas cook, kenya airways and many more mashirika yenye majina uone wanajiendeshaje na kwann lazima ziwepo, as usual unahitaji shule zaidi

9) sio kila mtu anafanya kilimo kwenye hii nchi, dunia tayar ishageuka kwenye mapinduzi, watu wanafanya kilimo cha kisasa, watu 20 tu wanaproduce mazao nchi nzima kwa technology we bado unaongea kuwawezesha wakulima, uko dunia hii kweli?
 

kwa kumalizia, staki kua mwalimu wako, nenda shule utajifunza mengi! but. watanzania wengi wanaelewa kila kitu kinachoendelea, magufuli has been the african person of the year on the african report magazine 2016, izo zote mnazosubiri magufuli aongee mpate cha kujibu wananchi kampeni tambueni sio mabwege, magufuli has ~ 1M fans himself as himself, you will add that with ccm fans, kwa kurahisisha kazi tegemeeni kuanzia 18% or 25% ya kura kwa chadema, but mostly itakua less than 20%
 
Sio kosa lako hukusoma uchumi ujui chochote kuhusu maendeleo ya watu.Vijarida uchwara vipo vingi yeyeto anaweza kuwa person of the year kwa vijarida vyao,lkn haiondoi ukweli halisi viatu vikubwa
 
Sio kosa lako hukusoma uchumi ujui chochote kuhusu maendeleo ya watu.Vijarida uchwara vipo vingi yeyeto anaweza kuwa person of the year kwa vijarida vyao,lkn haiondoi ukweli halisi viatu vikubwa

umeshakosa cha kujibu eeh, vizuri! next time make sure u get good studies before u dive yourself into any battle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…