Mzee Wa Republican
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 1,666
- 847
Afu mbona hamkubali mdahalo ?tunasubiria wala msijali, ongezeni jitihada angalau hii gap iwe balanced
View attachment 1582417
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu mbona hamkubali mdahalo ?tunasubiria wala msijali, ongezeni jitihada angalau hii gap iwe balanced
View attachment 1582417
Naweza kuwa mvivu lakini wewe mpumbavu, Korea kusini kwenye 60s walikuwa masikini leo matajiri, je hazikuwa approach sahihi ya viongozi wao? Au walikuwa masikini sababu ya uvuvi? Pathetic foolWewe sio masikini ila ni mvivu tuu. Na hata baada ya miaka 10000 bado watu kama nyie mtakuwepo tuu.
Ndoto za mchana!!Twende mbele turudi nyuma JIWE kila kitu chake kina utata, kuanzia elimu yake mpaka uraia, mark my words baada ya September Mh Lissu kuwa Rais kila kitu kitajulikana. Ndege wafananao huruka pamoja, refere Bashite na Jiwe
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Anyway, where is Jiwe as he was supposed to be in Iringa if am not mistekenHaya maneno ni yakuwaambia wana CCM ambao hawaifahamu Chadema, wakati CCM inafanya kampeni nchi nzima wakati huu, Kila jimbo, kila tarafa, kila Kata, Kila Kitongoji Chamema wameng'ang'ania Lissu na maeneo machache ya mijini halafu unategemea matokeo chanya, acheni kujidanganya.
Mimi najua tatizo liko wapi kwa Chadema, you can only fool the fools lakini sio waelewa. Na mnajidanganya kuwa chadema waelewa labda ? ndio maana mnaungozi wa juu kabisa wa Chama wa wajinga ni kujivika ujinga na kuuamini. Werevu karibu wote wamesepa.
The best faculties of this land belongs to CCM. You will only know this fact only when you cross over to this side. CCM Oyeeeeeeee.
Afu mbona hamkubali mdahalo ?
Afu mbona hamkubali mdahalo ?
Anyway, where is Jiwe as he was supposed to be in Iringa if am not misteken
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
midahalo si watu waliosoma arts ndo wanaweza. magufuli mdahalo sio rahisi awe mtalamu wa midahalo maana yeye route yake ni PCM.
PHD ya chemistry, na uyo aliechukua diploma ya HGE huoni tafauti apo? its very unlikely utakuta mtu wa science yupo kwenye midahalo rather than research and activities, tuseme mfano corona ilivoingia tanzania
ingekua ni president wa midahalo waulize kenya wanapitia nn saaahv, sasa uzuri wa phd ya chemistry unajitokeza apa! kwanza watu wa science hata mwandiko hua ni ugly, lakini kwenye decision kaa mbali
Aliyeelimika ustaarabikaNdoto za mchana!!
Hio miradi inagusa wachache,mfano tz nzima wenye kumudu kupanda ndege awafiki hata milioni moja,ndege zote zimeajiri watu 404 zimegharimu zaidi ya tirioni moja, wakati hio tilioni moja ingewekwa kwwenye kilimo ingeajiri zaidi wa watu milioni 3 kwa faida endelevu.Hata hio sgr ikikamilika ambayo still chance ya kukamilika Ni zero Nani atamudu nauli yake.Usishangilie ndege Hali hata uwezo wa kununua muhogo hunamadhara ya kua na mtu wa diploma si unaona sasa: anakwambia miundo mbinu haina kazi, ndege hazina kazi wakati wao wanapanda kama kawaida, anasema barabara hazina faida, treni naskia anasema haina umuhimu juzi nlikua naskiliza youtube kasema ongezeko la mazao pia sio maendeleo, WTF is wrong with you people
Asijaribu hilo wataishia the Hague milango ipo wazi kupokea wahalifu.Yupo Dodoma na watendaji, wakurugenzi anapanga goli la mkono a.k.a. ushindi wa mezani
Saccos yako ishajifia, Chadema sasa kila mtu akikataa mmebaki wakereketwa wa mitandaoni tu. October 28,tunawakata ngebe.Kuna watu ukiwaambia habari au uwezekano wa CCM kutoka madarakani, wanakuona unaongea jambo ambalo haliwezi kutokea leo wala kesho na zaidi wataishia kukushangaa tu na hii ni kwasababu wamekariri.
Tunachosau wanadamu wengi ni kuwa,katika huu ulimwengu ambao umekuwepo kwa mamilioni ya miaka, hakuna kinachotokea leo hii ambacho ni kipya, bali yote ni marudio tu na ndio maana mtu ukiwa muumini mzuri wa historia, watu wanaweza kukuona wewe kamaa Nabii au mtu mwenye maono wanasahau kuwa katika dunia ya leo, hakuna jipya zaidi ya teknolojia.
CCM hakitakuwa chama cha kwanza kaanguka baada ya kuwepo madarakani kwa muda mrefu kama ambavyo imetokea kwa vyama vingine duniani, na pia Magufuli hatokuwa mtawala wa kwanza asietarajiwa kuanguka kutoka madarakani, ila mwisho wa siku akaanguka kama ilivyotokea kwa watawala wengine tangu kuombwa kwa ulimwengu huu.
Eleweni tu hata dini ni historia katika imani na kwasababu historia(imani) hii inazingatiwa zaidi, ndio maana leo hii mnaona watu wanatumia mistari ya Bibilia(Maandiko Matakatifu) kutabiri anguko la Magufuli na ushindi wa Lissu.
Kwa msingi huu,Magufuli na CCM yake wanaweza kuanguka mara baada ya uchaguzi au kutokana na yatayojiri baada ya matokeo kutangazwa.
Kwahiyo, ikitokea Magufuli anashindwa uchaguzi, na Lissu akasimamia kauli yake na Magufuli akaondoka madarakani kwa amani au vinginevyo, kitachofuata ni wana-CCM kutaka Magufuli na timu yake kujiuzulu uongozi wa chama kama sehemu ya wao kuwajibika kisiasa-utabiri.
Hivyo,Magufuli,iwapo atashindwa uchaguzi, si tu atapoteza nafasi ya kuwa Raisi,bali ana hatari ya kupoteza na nafasi ya kuwa kiongozi mkuu wa chama(uenyekiti) na kuwa raia wa kawaida mwenye hadhi ya Raisi aleshindwa kutetea nafasi yake kwa mara ya pili.
Time will tell.
Kuna watu ukiwaambia habari au uwezekano wa CCM kutoka madarakani, wanakuona unaongea jambo ambalo haliwezi kutokea leo wala kesho na zaidi wataishia kukushangaa tu na hii ni kwasababu wamekariri.
Tunachosau wanadamu wengi ni kuwa,katika huu ulimwengu ambao umekuwepo kwa mamilioni ya miaka, hakuna kinachotokea leo hii ambacho ni kipya, bali yote ni marudio tu na ndio maana mtu ukiwa muumini mzuri wa historia, watu wanaweza kukuona wewe kamaa Nabii au mtu mwenye maono wanasahau kuwa katika dunia ya leo, hakuna jipya zaidi ya teknolojia.
CCM hakitakuwa chama cha kwanza kaanguka baada ya kuwepo madarakani kwa muda mrefu kama ambavyo imetokea kwa vyama vingine duniani, na pia Magufuli hatokuwa mtawala wa kwanza asietarajiwa kuanguka kutoka madarakani, ila mwisho wa siku akaanguka kama ilivyotokea kwa watawala wengine tangu kuombwa kwa ulimwengu huu.
Eleweni tu hata dini ni historia katika imani na kwasababu historia(imani) hii inazingatiwa zaidi, ndio maana leo hii mnaona watu wanatumia mistari ya Bibilia(Maandiko Matakatifu) kutabiri anguko la Magufuli na ushindi wa Lissu.
Kwa msingi huu,Magufuli na CCM yake wanaweza kuanguka mara baada ya uchaguzi au kutokana na yatayojiri baada ya matokeo kutangazwa.
Kwahiyo, ikitokea Magufuli anashindwa uchaguzi, na Lissu akasimamia kauli yake na Magufuli akaondoka madarakani kwa amani au vinginevyo, kitachofuata ni wana-CCM kutaka Magufuli na timu yake kujiuzulu uongozi wa chama kama sehemu ya wao kuwajibika kisiasa-utabiri.
Hivyo,Magufuli,iwapo atashindwa uchaguzi, si tu atapoteza nafasi ya kuwa Raisi,bali ana hatari ya kupoteza na nafasi ya kuwa kiongozi mkuu wa chama(uenyekiti) na kuwa raia wa kawaida mwenye hadhi ya Raisi aleshindwa kutetea nafasi yake kwa mara ya pili.
Time will tell.
Nawasikitia watz wenzangu wamefanyiwa masikini kimakusudi.Mimi sukari hata iuzwe elf 10 namudu,
We kula kulala utayajulia wapi maumivu ya watz.Kama we ni mnufaika wa upigaji dili utaujulia.Umasikini unaletwa na sera mbovu za ujima Kama mtawala anawakomoa watu ili wawe masikini ili awatawale kwa kuwabomolea nyumba zao, kuzulumu fedha zao, mazao yao,Kodi komozi ili wafilisike,unajua malori mangap ya watz yamehamishiwa nchi jirani ili wasifilisiwe je Ni ajira ngapi, quality plaza tu ya manji ilitoa ajira zaidi ya watu elf 2 Leo kumeota nyasi sababu ya chuki, wafanyakazi wamezulumiwa Hali zao sababu ya chuki hapa vibarua wangapi wamekosa ajira.ukiuwa diplomasia,ukiuwa sekta binafsi,ukizuia mzunguko wa pesa umeua ajira na ukiuwa ajira umeleta umasikini nchini hizi Ni mbinu watumiazo madikteta sababu awajiamini madikteta wote ni lzm wawashughulikie matajiri na wasomi sababu wanaogopa kukosolewa sababu ni weupe kichwani.
Ni kundi dogo lenye kumudu kupanda ndege nauli tu ya dar Mwanza bila laki 5 ujasafiri . Ndege zimetoa ajira watu 404 wakati zingetumika kwenye kilimo zaidi ya watu milioni 6 wangepata ajira,mfano mto mmoja tu ruvu ungeweza ajiri si chini ya watu laki 7 kupitia kilimo, viwanda, usafiri, huduma,nk.Toka kwa shemeji jiajiri uone Hali halisi

Sio kosa lako hukusoma uchumi ujui chochote kuhusu maendeleo ya watu.Vijarida uchwara vipo vingi yeyeto anaweza kuwa person of the year kwa vijarida vyao,lkn haiondoi ukweli halisi viatu vikubwakwa kumalizia, staki kua mwalimu wako, nenda shule utajifunza mengi! but. watanzania wengi wanaelewa kila kitu kinachoendelea, magufuli has been the african person of the year on the african report magazine 2016, izo zote mnazosubiri magufuli aongee mpate cha kujibu wananchi kampeni tambueni sio mabwege, magufuli has ~ 1M fans himself as himself, you will add that with ccm fans, kwa kurahisisha kazi tegemeeni kuanzia 18% or 25% ya kura kwa chadema, but mostly itakua less than 20%
Sio kosa lako hukusoma uchumi ujui chochote kuhusu maendeleo ya watu.Vijarida uchwara vipo vingi yeyeto anaweza kuwa person of the year kwa vijarida vyao,lkn haiondoi ukweli halisi viatu vikubwa
Kweli wamitandaoni ndiyo tunaojaza kwenye compaignSaccos yako ishajifia, Chadema sasa kila mtu akikataa mmebaki wakereketwa wa mitandaoni tu. October 28,tunawakata ngebe.