CCM ikiendelea kupuuza misingi ya uongozi ya Hayati Dkt. Magufuli, ni dhahiri watakosa kura 2025

Mimi sijawahi kuwa CCM lakini ni muumini wa mapenzi mema kwa nchi yangu yeyote ataye kuwa tayari kuipiginia nchi yangu kama Magufuli huyo amebeba kura yangu pamoja na jamii yangu yote.

Except Lissu huyu anafaa kufungiwa jiwe la kusagia na kutupwa.
Wewe ni ccm, rejelea uzi wako wa "chombo bila nahodha " wa 2015 ,ulijifanya eti mwana cdm mnafiki mkubwa wewe. Una mapenzi mema na nchi hii wewe??
 
Nawaonya CCM kwa mara ya kwanza kwamba, kupuuza na kutupilia mbali mtindo wa kuendesha nchi kwa alivyokuja nao hayati JPM, 2025 lazima iwagharimu

Ninao uhakika juu ya hili, endapo CCM Kitaendelea kupuuza yote mema, na misimamo thabiti ya namna alivyokuwa nayo kiongozi wa awamu iliyopita hayati JPM kwa kuitupilia mbali, 2025 siyo mbali, Historia itaenda kuandikwa upya na kwa mara ya kwanza, Tanzania itakuwa mikononi mwa msiowapenda!

Bibafs, kwa chama chochote kitakachokuja na slogani ya Magufulification kitapata kura yangu, na nitakuwa wa kwanza kufanya kampeni ili kumng'oa CCM, naamini stakuwa peke yangu, ni wimbi kubwa la Watanzania watakaounga mkono chama hiko

Kwani Magufuli alikuwa anapata kura, zaidi ya kuagiza mauji, utekaji, uporaji wa kiburi cha madaraka? Au unadhani siasa za kishenzi na kihayawani za Magufuli hatuzijui? Labda mkawadanganye watu wa vijijini wasiojua lolote, lakini ushenzi wake wote tunaujua.
 
Kwa ushahidi upi? kama siyo kubwabwaja tu hapa
Ww inaonekana utakuwa ni bonge la mzee, maana ndio huwa wanalishwa propaganda za kijinga na kuzimeza kama zilivyo. Kwa taarifa yako wapiga wala hawakufika 10m, na kwa jinsi ile uchaguzi ulivyokuwa wa kipuuzi, ingia hata leo kwenye tovuti ya Tume ya uchaguzi uone hata kama matokeo wamethubutu kuweka. Yaani nchi hii ndani ya hiyo miaka mitano ilikuwa mikononi mwa mtu muovu. Tunashukuru Mungu kwa kutuondolea yule mtu mchafu, na kuleta mabadiliko bila damu kumwagika.
 
Ccm ilimleta Jpm ikampa ilani na jukwaa la kuinadi hiyo ilani. Sasa huo umagufulication ni ilani tofauti na aliyopewa ccm?
 
Nawaonya CCM kwa mara ya kwanza kwamba, kupuuza na kutupilia mbali mtindo wa kuendesha nchi kwa alivyokuja nao hayati JPM, 2025 lazima iwagharimu

Ninao uhakika juu ya hili, endapo CCM Kitaendelea kupuuza yote mema, na misimamo thabiti ya namna alivyokuwa nayo kiongozi wa awamu iliyopita hayati JPM kwa kuitupilia mbali, 2025 siyo mbali, Historia itaenda kuandikwa upya na kwa mara ya kwanza, Tanzania itakuwa mikononi mwa msiowapenda!

Bibafs, kwa chama chochote kitakachokuja na slogani ya Magufulification kitapata kura yangu, na nitakuwa wa kwanza kufanya kampeni ili kumng'oa CCM, naamini stakuwa peke yangu, ni wimbi kubwa la Watanzania watakaounga mkono chama hiko
Niko nawe ktk hii meli. Chama kitakachokuja na slogan ya uongozi alioutia jpm wana kura yangu.
 
tuwekee hapa makosa matano ya lissu aliyokukosea kiasi cha kutaka mwana wa mwenzio afungiwe jiwe la kusagia na kutupwa.

kama unamumia sana na utawala wa mama, nenda chato kalinde legacy kwenye kaburi la yule mshenzi labda kidogo itakupa faraja. vinginevyo kubali tu kuwa nyakati zimebadilika.
aiseeeee
 
sisikii nani katumbuliwa kwenye uzinduzi wa mfugare wala shamba la mahindi[emoji23][emoji39][emoji3][emoji28][emoji2][emoji23][emoji13][emoji38][emoji1787][emoji13]
 
Nawaonya CCM kwa mara ya kwanza kwamba, kupuuza na kutupilia mbali mtindo wa kuendesha nchi kwa alivyokuja nao hayati JPM, 2025 lazima iwagharimu

Ninao uhakika juu ya hili, endapo CCM Kitaendelea kupuuza yote mema, na misimamo thabiti ya namna alivyokuwa nayo kiongozi wa awamu iliyopita hayati JPM kwa kuitupilia mbali, 2025 siyo mbali, Historia itaenda kuandikwa upya na kwa mara ya kwanza, Tanzania itakuwa mikononi mwa msiowapenda!

Bibafs, kwa chama chochote kitakachokuja na slogani ya Magufulification kitapata kura yangu, na nitakuwa wa kwanza kufanya kampeni ili kumng'oa CCM, naamini stakuwa peke yangu, ni wimbi kubwa la Watanzania watakaounga mkono chama hiko
Kura yako hatuitaki anzisha chama chako,nchi imerudi kwa wenyewe tulikosea sana mpaka Mungu akaingilia kati kuonyesha makosa yetu,haturudi nyuma bloo.
 
Nawaonya CCM kwa mara ya kwanza kwamba, kupuuza na kutupilia mbali mtindo wa kuendesha nchi kwa alivyokuja nao hayati JPM, 2025 lazima iwagharimu

Ninao uhakika juu ya hili, endapo CCM Kitaendelea kupuuza yote mema, na misimamo thabiti ya namna alivyokuwa nayo kiongozi wa awamu iliyopita hayati JPM kwa kuitupilia mbali, 2025 siyo mbali, Historia itaenda kuandikwa upya na kwa mara ya kwanza, Tanzania itakuwa mikononi mwa msiowapenda!

Bibafs, kwa chama chochote kitakachokuja na slogani ya Magufulification kitapata kura yangu, na nitakuwa wa kwanza kufanya kampeni ili kumng'oa CCM, naamini stakuwa peke yangu, ni wimbi kubwa la Watanzania watakaounga mkono chama hiko
Magufuri alikua na sera gani nikumbushe!??
 
Mataga bwana yaani kweli mna akili kisoda ndio maana mama anaamua Bora awapatie teuzi wakina lijualikali kuliko zero brain kama nyinyi!

Yaani unataka kila mtu aje na propaganda Kama za mtu pori?
 
Back
Top Bottom